Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

WTF with Arsenal... Song naye nasikia kashatimua hadi nakwenda mitamboni..... kila msimu ni tearing down and rebuilding.. hii nyumba haitafika katika lenchi. Tujitayarishe mwakani Vermealen, Koscielny, Szczseny nao watatimua.
 
Song isn't expected to play tomorrow as his deal is being finalized with Barca. In the meantime Nuri Sahin anakuja kwa mkopo, deal inategemewa kukamilika next week.

I think Wenger atanunua permanent DM. Kuna habari kuwa timu toka London imetuma bid kumchukua M'villa (who wants CL football). Tusubiri habari zaidi.
 
WTF with Arsenal... Song naye nasikia kashatimua hadi nakwenda mitamboni..... kila msimu ni tearing down and rebuilding.. hii nyumba haitafika katika lenchi. Tujitayarishe mwakani Vermealen, Koscielny, Szczseny nao watatimua.

Song alikua anataka mkataba mpya na MNONO. Sijajua kiasi gani lakini his ego made him feel that he has to get double or more than what he gets now. Wenger was mad at this and said he could go (although) he has 3 years left. The fee agreed is around 20m pounds.
 
Na hilo ndio tatizo la Wenger. Hataki kuwalipa wachezaji mishahara mizuri lakini yeye analipwa mshahara mkubwa sana kuliko wachezaji wake wote(alikuwa kocha anayelipwa vizuri kuliko wote kabla Mancini hajasign mkataba mpya few weeks ago). Sasa wachezaji wametia akili, kinachoendelea ni kuitumia Arsenal kama daraja, wakishakuwa wazuri wanatokomea.
Board ya Arsenal pia wanaonekana ni wepesi wa kuuza wanapoonyeshwa top dollar, hawafikirii kuhusu timu itafanya vipi. Mwisho wa siku washabiki ndio wanaumizwa kwa kulipia ticket ghali kabisa kuona timu ya average players ikicheza.
 
Huu mwaka nadhani utakuwa kama miaka mingine tu ya kushindwa kwetu, Huyu babu conservative hajifunzi hata kidogo kutokana na makosa yake ya kila msimu!
 
Song alikua anataka mkataba mpya na MNONO. Sijajua kiasi gani lakini his ego made him feel that he has to get double or more than what he gets now. Wenger was mad at this and said he could go (although) he has 3 years left. The fee agreed is around 20m pounds.

Song ni mchezaji mzuri lakini nina wasiwasi kama atacheza pale Barca yasije mkuta ya HLEB bora RVP amekwenda kuanza 1st eleven

kuna jambo hapa Kumpoteza RVP ni big loss ila not Song kwani he is easily replacable kama watamleta Typical Defensive Mildfielder kama "TIOTE" ambae anaweza ku tacke na kuwin 50-50 balls

Last season Tuliruhusu Magoli 49 na kosa ilikuwa ni Defensive mildfielder kuexpose defence kwa kupanda sana ku assist mashambulizi

Kwa mtizamo wangu tukimpata mchezaji ambae ni Good tackler,defensive minded, little dribbler, na Mwenye nguvu kama alivyo Lass Diarra,Makelele,flamini,Ambrossini,Davids au Tiote mfano wa hawa Itakuwa Poa sana!

To me song is overatted player, he is good but not even like Scott Parker in defensive Duties.

NOTE: he should be replaced, they shouldn't rely on Coquellin nor Frimpong
 
Jaribu kuwa mkweli, sio issue ya SWP. Ukweli ni kwamba hakuna cha kusifia toka hiyo 2005 unayosema, huo ndio mwaka wa mwisho mmepata kombe la FA. Wright sio mnafiki kama washabiki wengi wa Arsenal, anasema kitu kilivyo. Wewe unaweza sema mmefanya nini tangu 2005 mbali na kuhamia hapo Library?

Peasant bhana umepata pa kumwagia makombora yako haya si tumekubali

Arsenal wamenunua World class players mbona jamani hata hilo hajalisifia? Unajua ni kweli hatujashinda kitu kwa 7 years lakini si kweli kuwa Arsenal ni kuwananga tuuu tena eti ni Legend..
 
Na hilo ndio tatizo la Wenger. Hataki kuwalipa wachezaji mishahara mizuri lakini yeye analipwa mshahara mkubwa sana kuliko wachezaji wake wote(alikuwa kocha anayelipwa vizuri kuliko wote kabla Mancini hajasign mkataba mpya few weeks ago). Sasa wachezaji wametia akili, kinachoendelea ni kuitumia Arsenal kama daraja, wakishakuwa wazuri wanatokomea.
Board ya Arsenal pia wanaonekana ni wepesi wa kuuza wanapoonyeshwa top dollar, hawafikirii kuhusu timu itafanya vipi. Mwisho wa siku washabiki ndio wanaumizwa kwa kulipia ticket ghali kabisa kuona timu ya average players ikicheza.

Kuna issue moja pale Arsenal wala si suala la mshahara Maana hata Timu yako mishahara iko kama Arsenal wanaopata mlungula mkubwa ni Terry,Torres na Lampad wengine kawaida kwenye £60,70,80 ni tofauti saana na Man city karibu wachezaji wote wa 1st wana £laki moja na zaidi except Joe hart,richards na Zabaleta...timu nyingine ni Anzhi Makachkala ya Urusi na PSG..hata United Nao ni kama watu 4 tu wengine uko Moderate

Peasant elewa Kuna jambo moja Barca na Madrid players wengi wanaziota kuzichezea then ikija offa wanakuwa Flattered kwenda kumbuka Gudjonson alikataa kusign mkataba mpya akakimbilia Catalunya yaliyomkuta unayajua, the same to Hleb,petit, Zlatan

Emergence ya Abramovich na Later Sheikh mansoor wamei weaken timu yetu,Aston villa hao ndo hawana hali kabisa

Kwa mpango huu Financial Fair play itasaidia sana next season kwani wachezaji kukimbilia mishahara mikubwa litatoweka litabaki la Club status na Ambition

Mtani thread yenu imedorola umegandamana humu chukua kadi bathi Lol
 
Wakuu except Arsenal fans mambo yanaendaje naona kila mara kuna uvamizi!

Sasa hili la Song lilikuwa likitarajiwa, na kwakuwa Fabregas yupo pale Barca, imekuwa ni jambo rahisi kumshawishi kwenda Spain.

Lakini Wenger sio kwamba haoni kila kinachoendelea na ni mtu ambae ana mtandao mkubwa tu ambao umetapakaa duniani kote kwahio anazo "options" na kwenye sehemu ya kiungo kuna wachezaji wa kutosha na ndio maana anamwachia Song aende.

Kama nilivyoleta habari ya ujio wa Santiago Cazorla na Nuri Sahin katika timu ya Arsenal, kwa sasa kunafanyika mazumgumzo zaidi na Real Madrid kuhusu Sahin na kama atakubali kwamba aje kwa mkopo halafu baadae iwe mkataba kamili hilo ndilo linalofanyiwa kazi.

Pia kama si tabia ya M'villa akiwa "off field" ya hasira na ugomvi Wenger alikuwa amsajili baada tu ya kumsajili Olivier Giroud lakini akasita kidogo na kuachia suala hilo kwa muda na sasa anaweza kwenda tena Rennes kwa mazungumzo tena.

Lakini pia kuna uwezekano wa Arsenal kwenda tena Belgium katika timu ya Anderlecht kumsajili Lucas Biglia ambae pia ni mchezaji wa kiungo ulinzi. Biglia ni mchezaji wa kimataifa wa Argentina na ana umri wa miaka 26. Ana urefu wa futi 5' 10", ana nguvu na ni makini kwenye "marking".

Kwahio ni suala la kupiga simu tu tena kwa mchezaji kama huyu ambae anagharimu kiasi cha paundi milioni 8 tu.

Lakini mwisho wa siku ni kwamba Arsenal itasajili Nuri Sahin au Yann M'villa kuziba pengo la Alex Song Bilong, na pia Arsenal kuna pesa ya kutosha kufanya manunuzi kwani faida tuliyopata mwaka huu ni zaidi ya paundi milioni 45!
 
Wakuu except Arsenal fans mambo yanaendaje naona kila mara kuna uvamizi!

Sasa hili la Song lilikuwa likitarajiwa, na kwakuwa Fabregas yupo pale Barca, imekuwa ni jambo rahisi kumshawishi kwenda Spain.

Lakini Wenger sio kwamba haoni kila kinachoendelea na ni mtu ambae ana mtandao mkubwa tu ambao umetapakaa duniani kote kwahio anazo "options" na kwenye sehemu ya kiungo kuna wachezaji wa kutosha na ndio maana anamwachia Song aende.

Kama nilivyoleta habari ya ujio wa Santiago Cazorla na Nuri Sahin katika timu ya Arsenal, kwa sasa kunafanyika mazumgumzo zaidi na Real Madrid kuhusu Sahin na kama atakubali kwamba aje kwa mkopo halafu baadae iwe mkataba kamili hilo ndilo linalofanyiwa kazi.

Pia kama si tabia ya M'villa akiwa "off field" ya hasira na ugomvi Wenger alikuwa amsajili baada tu ya kumsajili Olivier Giroud lakini akasita kidogo na kuachia suala hilo kwa muda na sasa anaweza kwenda tena Rennes kwa mazungumzo tena.

Lakini pia kuna uwezekano wa Arsenal kwenda tena Germany katika timu ya Anderlecht kumsajili Lucas Biglia ambae pia ni mchezaji wa kiungo ulinzi. Biglia ni mchezaji wa kimataifa wa Argentina na ana umri wa miaka 26. Ana urefu wa futi 5' 10", ana nguvu na ni makini kwenye "marking".

Kwahio ni suala la kupiga simu tu tena kwa mchezaji kama huyu ambae anagharimu kiasi cha paundi milioni 8 tu.

Lakini mwisho wa siku ni kwamba Arsenal itasajili Nuri Sahin au Yann M'villa kuziba pengo la Alex Song Bilong, na pia Arsenal kuna pesa ya kutosha kufanya manunuzi kwani faida tuliyopata mwaka huu ni zaidi ya paundi milioni 45!

kukusahihisha Andeletch iko Belgium sio Germany
 
Update.

Suala la Alex Song.

Mchezaji huyu baada ya mazoezi asubuhi ya Jumamosi alikwenda kumwambia mzee Wenger kwamba anataka kwenda Barcelona.

Hivyo Jumamosi mchana akaondoa vitu vyake vyote katika makabati ya wachezaji na hatocheza Jumamosi ijayo katika mechi na Sunderland.

article-1345194801929-1484705A000005DC-488917_636x346.jpg

Song akikabiliana na mchezaji wa FC Cologne Chong Tese (jina halisi Jong Tae-Se anaetokea Korea Kaskazini) katika mechi ya kujipima nguvu nchini Ujerumani Jumapili iliyopita ambapo Arsenal ilishinda kwa magoli 4-0.

Hivyo "deal" la paundi milioni 17 litakamilika ifikapo Alhamisi ijayo.
 
Nuri Sahin anataka kuja Arsenal ila Mourinho (friends with Brendan Rodgers) anataka aende Liverpool. Lakini uamuzi wa mwisho ni wa mchezaji na kwa nilivyosikia dogo ilikua asign Liver lakini watu wa Arsenal wamempigia wakamwambia subiri tumalizane na Song alafu tuje kukubeba dogo akakkubali ndo maana move ya Liver ikawa ime'stall so we expect anaweza kuja kwa mkopo kuanzia next week
 
Arsenal basically are fallin apart.. Hakuna mchezaji anataka kukaa pale tena washachoka na policy za kizee wenger.. Ningemshauri ajiuzulu amwachie mtu mwingine club huwezi kua manager wa club afu wachezaji wanakukimbia.. afu washabiki wa arsenal wanawalalamikia wachezaji wanao ondoka badala ya kumlalamikia wenger wajiulize kwann wachezaji hawakai arsenal kila mtu anakula kona?

imagejpeg
 
Msimu uliopita hajacheza, sawa. Je unajua kabla ya hapo kaitumikia Arsenal muda gani? Usiongee tu ili mradi uonekane unajua.
:biggrin1: sio kwamba naonekana ninajua ni kwamba ninajua.. Wilshere ananikumbusha abou diaby, na yeye hamalizagi game 3 yuko majeruhi..tatizo la policy ya kuaa na wachezaji wa dogo ndio hiyo kuumia kila wakati.. Sisi pia kuna dogo tom cleverley na yeye ka wilshere sema season hii kaanza fresh kidogo ndo maana fergie ananunua old players maana young players kama wilshere diaby na hata sisi akina smallin jones fabio da silva hawachezi zaidi ya game 10 wako nje premier lg ngumu its too physical for some players to handle
 
Things to be happy with -

1 ) no body can buy arsene wenger..

2) Arsenal will play today

Haters mtaongea sana kumlaumu wenger ... Najua hata wenger akisema naondoka leo .. haters mtajazana hapa na kudai tumekimbiwa na kocha.. tunashuka daraja... tushawazoea...
 
:biggrin1: sio kwamba naonekana ninajua ni kwamba ninajua.. Wilshere ananikumbusha abou diaby, na yeye hamalizagi game 3 yuko majeruhi..tatizo la policy ya kuaa na wachezaji wa dogo ndio hiyo kuumia kila wakati.. Sisi pia kuna dogo tom cleverley na yeye ka wilshere sema season hii kaanza fresh kidogo ndo maana fergie ananunua old players maana young players kama wilshere diaby na hata sisi akina smallin jones fabio da silva hawachezi zaidi ya game 10 wako nje premier lg ngumu its too physical for some players to handle

wewe subiri kipute jioni hii ndo uje kuongea... hata wenger akiondoka utarudi na kudai tunakimbiwa na makocha... wenger yupo na haondoki ..
 
:biggrin1: sio kwamba naonekana ninajua ni kwamba ninajua.. Wilshere ananikumbusha abou diaby, na yeye hamalizagi game 3 yuko majeruhi..tatizo la policy ya kuaa na wachezaji wa dogo ndio hiyo kuumia kila wakati.. Sisi pia kuna dogo tom cleverley na yeye ka wilshere sema season hii kaanza fresh kidogo ndo maana fergie ananunua old players maana young players kama wilshere diaby na hata sisi akina smallin jones fabio da silva hawachezi zaidi ya game 10 wako nje premier lg ngumu its too physical for some players to handle

Si kweli unayosema...ni mtizao wako tu! Mchezaji akiwa ni injury prone haijalishi Umri Lets go back to history wachezaji kama Steven Gerrald,michael owen,Fowler,heskey,beckham,giggs,scholes,A cole,Lampard,Terry to mention few of them Wamecheza muda sana hapo kwenye Physical League Wameanza kuwa "vimeo vya majeraha" Baada ya kuzeeka

Rooney,Milner,Nz'obia,Cr7 wamekaa EPL muda na wakawa Injury Free hapo vipi?

Essien kaja ni dogo(japo huwa hawaaminiki umri wao) Kawa kijeba kawa anashinda na SICK SHEET,Carragher yaleyale...acha kudhani Tumeanza kutizama League mwaka 1999 kama wengi Man Utd Glory Hunters chelshit hao ndo usiseme toka Pesa za Oil zije pale 2003 kelele kibao

Namtetea Wenger 100% alijaribu kuwekeza kwa Vijana Japo amefeli..na Vijana hawapigani vya Kutosha na wanakuwa Easily persuaded to leave Tizama timu ambayo anatengeneza sasa ya watu wa 25+ Sagna,TV5,Koscienly,arteta,santos,per,Cazorla,Podoski,Giloud,arshavin & uncle Tomas rosicky

Arsenal ni club inaendeshwa kwa pato binafsi na kumbuka deni lilikuwa karibu £390 mil hapo angekuwa anafanya Crazy buy tungekuwa kama Glasgow Rangers(3rd division huko scotland) au AC MILAN sababu ya kuspend nje ya Uwezo, then ulitaka tubakie Tiny stadium Highbury?

Next year no more silly exodus kwa Sheria mpya za Financial fair play timu zinazotegemea Mwekezaji zitakoma kwa kuanzia pale Chelshit na Man city watakuwa wapole hao back to 2000's Arsenal and man u dominance

Kwa kifupi its a transitional period itaisha when we will be forced by Platini's rules to operate on Real world financial reality
 
:biggrin1: sio kwamba naonekana ninajua ni kwamba ninajua.. Wilshere ananikumbusha abou diaby, na yeye hamalizagi game 3 yuko majeruhi..tatizo la policy ya kuaa na wachezaji wa dogo ndio hiyo kuumia kila wakati.. Sisi pia kuna dogo tom cleverley na yeye ka wilshere sema season hii kaanza fresh kidogo ndo maana fergie ananunua old players maana young players kama wilshere diaby na hata sisi akina smallin jones fabio da silva hawachezi zaidi ya game 10 wako nje premier lg ngumu its too physical for some players to handle

Mishahara ambayo inalipwa chelsea (to some few players na City) ni ulimwengu wa kwao

kaka deni la uwanja limebakia £90 mil yasemekana italipwa pole pole for next ten years

Wanaojua hali ndani ya board ya Arsenal watakwambia

yamewakuteni mpaka mmeenda IPO newyork stock exchange mpate mtaji, mafans wengi wa Man utd wa Uingereza hawampendi huyo Glazer kwa kuiingiza timu kwenye financial constraints
 
Back
Top Bottom