Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa huyu 'mtoto wa shamba' whats all the fuss about Arsenal? Go back to your thread and discuss whether Glazers will save you from debts maana ndo mmeanza kushuka rasmi. Watch this space

USHAMBA UNAMSUMBUA alafu hajulikani katokea wapi????? kakomaliaaaa umanjunjunwake..........go and tell the red nose coach to leave away RVP coz he is'nt coming dude!!!!!
 
Yaani wewe kweli mpira hujui kaa kimya tuu..unasema spurs na man utd wana kocha wazee.. Kwanza nikufahamishe kocha wa spurs ni AVB ana miaka 33 afu kama umesahau wenger ana zaidi ya miaka 60 sa mbona unasema spurs na man u ndo wana kocha wazee kweli hujui mpira we ni zero bora ukae kimya. We unasema arsenal mnanunua players kwa hela yenu niambie henry sol campbell jose reyes mlinunua kwa kiasi gani hiyo? Mkubali kua arsenal hakuna kitu poleni.

hiyo miaka huwa haiongezeki sio?? tangu mwaka jana yeye umri umesimama??
 
mtotowamjini naona umevamia thread yetu! kuna wenyeji hapa umepiga hodi! Oxlade-Chamberlain BAK Questt Richard Ng'wanza Madaso Rejao Balantanda Wacha1 mpeni orientation kijana
Oooh...msimu ndio huooo...
Tuwe na mategemeo gani wakuu. Natumaini msimu huu tutauanza vizuri. Naona lawama kwa Wenger zimeisha tofauti na mwanzoni mwa misimu mingine!!

Nawatakia msimu msimu mwema na afya tele, tuwe tunakutana hapa hapa kijiweni kwetu!!

Once a gunner and Always a gunner!!
 
Last edited by a moderator:
USHAMBA UNAMSUMBUA alafu hajulikani katokea wapi????? kakomaliaaaa umanjunjunwake..........go and tell the red nose coach to leave away RVP coz he is'nt coming dude!!!!!

:biggrin1: hahaa watch this space... Hata nyie mnakaribishwa kule...podolski namuona kaanza na mbwembwe lkn premier lg ni tofauti.. Mkipata nafasi ya sita mwaka huu nitawapeni hongera sana
 
:biggrin1: hahaa watch this space... Hata nyie mnakaribishwa kule...podolski namuona kaanza na mbwembwe lkn premier lg ni tofauti.. Mkipata nafasi ya sita mwaka huu nitawapeni hongera sana

A fortune teller on action...kapambane na majirani zako City kaka! Nafasi ya 6 haijawahi tokea nadhani unawatabiria Newcastle ni Cops...unatafta Umaarufu watoto wa kitaa wanasema Unauza Sura! Timu lako lenyewe Bovu
 
RVP nasikia huyoo Manure...............

Mwache aende tu, atuondolee rabsha. Vijana wa kazi wapo. Na bahati mbaya, akishaondoka anakua mpita njia kama Adebayor. Hakuna kwingine watakapomthani kama hapa. One season or two and he will be shown the way out!
 
By Viper
mtotowamjini naona umevamia thread yetu! kuna wenyeji hapa umepiga hodi! Oxlade-Chamberlain BAK Questt Richard Ng'wanza Madaso Rejao Balantanda Wacha1 mpeni orientation kijana
Oooh...msimu ndio huooo...
Tuwe na mategemeo gani wakuu. Natumaini msimu huu tutauanza vizuri. Naona lawama kwa Wenger zimeisha tofauti na mwanzoni mwa misimu mingine!!

Nawatakia msimu msimu mwema na afya tele, tuwe tunakutana hapa hapa kijiweni kwetu!!

Once a gunner and Always a gunner!!

Nasikia cozorla anaweza asicheze katika game yetu ya kwanza na black cats pale emarates sababu he will be on the other side of the world for international duty
 
Last edited by a moderator:
Mwache aende tu, atuondolee rabsha. Vijana wa kazi wapo. Na bahati mbaya, akishaondoka anakua mpita njia kama Adebayor. Hakuna kwingine watakapomthani kama hapa. One season or two and he will be shown the way out!

Arsenal supporters washamwambia once he leave his history will go with him...
 
RVP nasikia huyoo Manure...............
Bora atimke tu manake naye ametusumbua sana. Kama anadhani akiondoka Arsenal tutasimama ajaribu. Na nimjuavyo Professor wa ukweli Wenger, RVP akibaki tu Arsenal msimu mzima atasugua benchi dunia nzima!!!!!!
 
Nasikia cozorla anaweza asicheze katika game yetu ya kwanza na black cats pale emarates sababu he will be on the other side of the world for international duty

Leo ndo mechi za kimataifa zinachezwa. So I believe jumamosi atakuwepo ila anaweza asianze. Let's wait and see
 
Leo ndo mechi za kimataifa zinachezwa. So I believe jumamosi atakuwepo ila anaweza asianze. Let's wait and see

Atakua mchezaji wa utd by saturday afternoon...hilo msijali....kwa sababu akicheza na nyie mnaweza kutuumizia mchezaji wetu mtarajiwa :biggrin1:
 
Terms agreed for Van Persie transfer

Arsenal Football Club can confirm that terms have been agreed for the transfer of Robin van Persie to Manchester United.

Van Persie will travel to Manchester on Thursday in order to agree personal terms and complete a medical ahead of the proposed move.
Further updates will feature on Arsenal.com in due course.

Terms agreed for Van Persie transfer | News Archive | News | Arsenal.com

with no service from song and walcot .. i dont think he will score more than 10 goals ..

tunamtakia maisha mema...
 
with no service from song and walcot .. i dont think he will score more than 10 goals ..

tunamtakia maisha mema...

Atafunga magoli kama kawaida. Kaamua kuondoka poa tu, sie tunasonga mbele haina haja kuangalia nyuma.

Naitakia msimu mwema wenye mafanikio makubwa timu yetu chini ya uongozi wa captain wetu mpya Varmelen.

Pamoja Gooners.
 
Atakua mchezaji wa utd by saturday afternoon...hilo msijali....kwa sababu akicheza na nyie mnaweza kutuumizia mchezaji wetu mtarajiwa :biggrin1:
mtotowamjini unakalia nini?! anazungumziwa Carzola wee unaleta habari za RVP huyo hata aondoke leo hatuhangaiki, nadhani uliona mechi ya juzi!!
 
Last edited by a moderator:
Atafunga magoli kama kawaida. Kaamua kuondoka poa tu, sie tunasonga mbele haina haja kuangalia nyuma.

Naitakia msimu mwema wenye mafanikio makubwa timu yetu chini ya uongozi wa captain wetu mpya Varmelen.

Pamoja Gooners.

mkuu van anatisha kwa style ya uchezaji wa arsenal tu

1) lone striker

2) pass

united hawana mchezo huo... watch this space mkuu atapata tabu tu! hatokuwa mfungaji bora wa league hato shine kama alivyokuwa goners ...

from hero to zero
 
Back
Top Bottom