Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mtotowamjini unakalia nini?! anazungumziwa Carzola wee unaleta habari za RVP huyo hata aondoke leo hatuhangaiki, nadhani uliona mechi ya juzi!!

Kama hamumtaki si mtupe jamani? Huyo carzola ndio atafunga 20goals plus kwenye premier lg? Nyie vp hamna rvp sioni yoyote atakayeweza funga magoli yote hayo
 
Kama hamumtaki si mtupe jamani? Huyo carzola ndio atafunga 20goals plus kwenye premier lg? Nyie vp hamna rvp sioni yoyote atakayeweza funga magoli yote hayo

who knew Koscielny? Varmaelen,Oxlade,Song,Hleb,Ade,Nasri na Traitor RVP watakuja wataondoka Nobody is bigger than a Club! We move on
 
Robin Van Persie alikosea sana aliporopoka kuhusu kutosaini mkataba mpya na timu ambayo imemhudumia kwa muda wote aliokuwa majeruhi na ni msimu uliopita tu aliweza kuepuka majeruhi na kuweza kutufungia magoli 30.

Van Persie alinunuliwa kwa kiasi kisichozidi paundi milioni 3 na sasa anauzwa kwa Man United akiwa na hatihati ya rekodi yake ya majeraha kwa kiasi cha paundi zaidi ya milioni 20, hili ni jambo muhimu sana kuliangalia.

Van Persie akiumia huwa anaumia kwelikweli, na huchukua muda mrefu kupona na ni muhimu Man U wakaangalia hilo na sio kumchezesha sana kila mechi na kuonekana wapo "desparate" na matokeo.

Sasa anaepiga kelele pasipo kuangalia haya masuala ya kufanya manunuzi ya kitalu halafu ukakipanda na kuweza kuotesha mti mzuri unaochanua kwa kutoa matawi mengi ya faida sijui ni timu ipi inayoweza kufanya hivyo.

Wale wote wanaopiga kelele hapa wasio wapenzi wa Arsrnal ni kheri waache huu wivu.

Ila wakumbuke Man United inapoteza milioni 65 kwa miaka minne ya mkataba wa Van Persie.
 
mkuu van anatisha kwa style ya uchezaji wa arsenal tu

1) lone striker

2) pass

united hawana mchezo huo... watch this space mkuu atapata tabu tu! hatokuwa mfungaji bora wa league hato shine kama alivyokuwa goners ...

from hero to zero
Yeah mkuu, mfumo wa Arsenal wa uchezaji ulimbeba sana. Kila mtu alikuwa akipata mpira even if yupo kwenye sehemu nzur ya kuscore alikuwa anamuangalia kwanza Van P!

Kumbuka kwa mfumo wa uchezaji wa Arsenal, Adebayo alikuwa na 25 goals pamoja na kosa kosa zake zote. Chamakah wakati van P akiwa majeruhi, alifikisha 14 goals ni 14 matches!
 
Pilipili ya shamba...........

Hivi si mna Jukwaa lenu?,si mkachangie huko na mtuache na Arsenal yetu?,mmelisahau Jukwaa lenu na limeshaanza kupotea na badala yake kutwa kucha m(u)po kwenye Jukwaa la Arsenal......Tuacheni jamani tupate fursa ya kuijadili timu yetu......Hiyo habari ya kukosa mtaji sidhani kama inaku(wa)husu mkuu.......Tuachie sisi.....

Ya Ngoswe.................



Hii ni public forum, kila mtu anaruhusiwa kuchangia bila kujal itikadi. After all, this's "Strictly Come Dance with Fat Arses Forum", so expect us on here.
 
USHAMBA UNAMSUMBUA alafu hajulikani katokea wapi????? kakomaliaaaa umanjunjunwake..........go and tell the red nose coach to leave away RVP coz he is'nt coming dude!!!!!



Hahahahaaaaaaa!! You can say it again, louder!! Delusion!!!!
 
mkuu van anatisha kwa style ya uchezaji wa arsenal tu

1) lone striker

2) pass

united hawana mchezo huo... watch this space mkuu atapata tabu tu! hatokuwa mfungaji bora wa league hato shine kama alivyokuwa goners ...

from hero to zero

Kuhusu kuwa mfungaji bora ni swala lingine mkuu, lakini kama atakuwa fit anakipaji cha kutosha kuwa effective ndani ya Man United bila kutegemea mfumo wa kucheza.

Na pia Ferguson ana uwezo wa kubadilisha style hili Van Persie aweze kutoa mchango wake vizuri.

Van Persie ni mchezaji mzuri, bahati mbaya kaona kwamba malengo yetu hayaendani na yake, muhimu ni kumshukuru kwa mchango wake japo katupa shukrani ya punda baada kumuuguza kwa mda wote huo.

Pamoja sana na kama kawaida Arsenal itaweza kugombea nafasi ya juu bila Van Persie.
 
with no service from song and walcot .. i dont think he will score more than 10 goals ..

tunamtakia maisha mema...



Hahahahaaaaaa! Fat Arses mna mambo sana! You sound bitter as usual.
 
Hahahahaaaaaa! Fat Arses mna mambo sana! You sound bitter as usual.
Nashangaa hii nguvu ya kukaa kwenye hili jukwaa unaipata wapi!

Piss ant endelea kuuguza majeraha ya juzi ya litimu lako libovu chelshit!!
 
Atafunga magoli kama kawaida. Kaamua kuondoka poa tu, sie tunasonga mbele haina haja kuangalia nyuma.

Naitakia msimu mwema wenye mafanikio makubwa timu yetu chini ya uongozi wa captain wetu mpya Varmelen.

Pamoja Gooners.



Fantastic!! Very mature and sensible comment, some gooners need to learn a few things from you.
 
Nashangaa hii nguvu ya kukaa kwenye hili jukwaa unaipata wapi!

Piss ant endelea kuuguza majeraha ya juzi ya litimu lako libovu chelshit!!




Be respectful and bow down when you're speaking to the King of Europe. You seriously needs to see your doctor, it's obvious that the dust at Emirates Library have caused malfunction in your brain cells.
 
Be respectful and bow down when you're speaking to the King of Europe. You seriously needs to see your doctor, it's obvious that the dust at Emirates Library have caused malfunction in your brain cells.

hahahahaha Peasant umerudi thread lenu linakufa kule... mnalifukua mkishinda tu ... mkuu sema tukupige ngapi msimu huu! hahaha.......

ona flop jingine in the making! pass ya kisigino inamshinda

hazarderp.gif

 
Let us be realistic and Honest

Rvp kuondoka si ishu sana we are used to it ishu ni kwenda MANURE kwani hatujawauzia player since 1981

upande wa pili Arsene amefanya biashara nzuri kwani 2003 alimpata kwa £2.75mil pale fayenood na kamuuza £24 mil na tukumbuke he is 29yrz old+injury prone(plastic bones)+1 year remaing on the contract

yet hakuna season tulipoteza wachezaji bora kama mwaka 2005-2006 Vieira na Edu(free to valencia) still tukafika UCL final kitu ambacho hakuna aliyetegemea, mwaka jana Cesc na Na$ri waliondoka na tukayumba mechi 10 za mwanzo ila 3rd place tukaipata kuliko hata chelsea na Liverpool waliotumia pesa lukuki na bado wakawa nje ya UCL zone

Rvp ni mchezaji mzuri ila kwa Pesa aliyonunuliwa "ARSENAL WAMEULA" kwani jamaa hana Resale value pale hata akiflop au akaumia kama Wale double Owen..

Henry aliondoka 2007 still Adebayor akafunga goli 30 season iliyofuata then Hakuna cha kutukatisha tamaa wengine watastep na watafanya Vizuri

Mwakani kuanzia 2013 na kuendelea UEFA wata implement FINANCIAL FAIR PLAY rules timu italipa mishahara na Transfers kwa pesa za Ticket,jezi,wadhamini,mapato ya Television na Trophies+UCL hakuna pesa za mafuta tena hapo wala mkwanja wa Mifukoni...akina Flamoney,na$ri,greebayor...enzi zao zitaisha mishahara ya Kufru pale City,chelsea itatoka wapi?

CLUB ni kubwa kuliko mchezaji Kila la heri RVP ila suala la ambition ni Uongo umefuata Pesa za mshahara wa £220,000 kwa wiki kwani Tumesajili 3 world class players

La RVP limekwisha tuanze ligi Jumamosi bila kinyongo
 
We are shocked for RVP to sign for our Scondolous enemy team but this happened before...Remember Luis figo from Barca to R.madrid in 2001, Fernando Torres from Liverpool to chelsea, Alex mcleash from coaching birmingham to Aston Villa,Sol campbell from Spurs to Arsenal in 2001 any many Others

Hakuna jipya chini ya jua
 
Arsenal kumuuza Van Persie ni sawa na serikali Dhalimu ya CCM inavouza rasilimali zetu...

Rasilimali zingetusaidia sisi na vizazi vyetu vijavyo.
Van Pesa angewasaidi msimu huu na hata msimu ujao.
 

Terms agreed for Van Persie transfer

Arsenal Football Club can confirm that terms have been agreed for the transfer of Robin van Persie to Manchester United.

Van Persie will travel to Manchester on Thursday in order to agree personal terms and complete a medical ahead of the proposed move.
Further updates will feature on Arsenal.com in due course.

Terms agreed for Van Persie transfer | News Archive | News | Arsenal.com

daah hii siyo nzuri jamaa anatimkia man u
 
Another captain abandons sinking ship!!
Viera
Henry
Fabregas
RVP
Who's next?!
Jirani......Binafsi namtakia RVP kila la heri.....Kwa miaka 8 aliyokaa Arsenal na kwa umri alionao sasa(miaka 29 anaelekea miaka 30) si mbaya akiamua kuondoka maana umri nao ndo unamkimbia....So si vibaya akaamua kujaribu kwenda katika timu nyingine......Captain ni kama mchezaji mwingine yeyote tu na hao wawili wa mwisho hawakuwa na msaada wowote ulioisaidia Arsenal kuchukua mataji so kwangu mimi kuondoka kwao naona pouwa tu.....Cha msingi ni kwa Arsenal kukaa na kujipanga nini cha kufanya maana tayari wamewasajili washambuliaji ambao ni wa daraja la RVP(Giroud na Podolski)....Nadhani ni wakati muafaka kwa new signings Santi Carzola, Olivier Giroud na Lukas Podolski kuonesha vitu vyao adimu...

Cha msingi ni Man Utd kuomba RVP asirudiwe na lile tatizo lake la majeruhi la muda mrefu ambalo lilimfanya awike msimu mmoja tu(wa 20122/2012) kwa miaka 8 Highbury/Emirates.....

Kila la heri kwa RVP......

COYG......

Once a Gunner, Always a Gunner.....
 
Arsenal kumuuza Van Persie ni sawa na serikali Dhalimu ya CCM inavouza rasilimali zetu...

Rasilimali zingetusaidia sisi na vizazi vyetu vijavyo.
Van Pesa angewasaidi msimu huu na hata msimu ujao.
RVP kaikuta Arsenal na kaiacha Arsenal na Arsenal inaendelea na itaendelea kuwepo.......Ni kipi kinachokufanya usikitike kwa RVP kuondoka?......

Binafsi niliumia kwa Patrick Vieira na Thierry Henry(waliotuletea mataji na mafanikio lukuki) kuondoka lakini si kwa RVP na Cesc Fabregas,hawa hawajaisadia lolote Arsenal,kuondoka kwao hakuja/taipunguzia lolote Arsenal mkuu......kw umri alionao RVP na kwa hali(ya majeruhi) aliyonayo ana miaka miwili kama sio mmoja wa kuwika(endapo hatakumbwa na majeruhi).....Kiwango tulichomnunua RVP kutoka Fayernood(Paundi 2.75 millioni) ni kidogo sana ukilinganisha na kiwango tulichomuuza(Paundi 22 millioni) so kumuuza RVP kwa Man Utd ni bonge la faida mkuu wangu na pesa tuliyoipata baada ya kumuuza inaweza kutusaidia kuongeza angalau beki mmoja ama kiuongo mmoja(Yan M'Villa?) wa nguvu kabla dirisha la usajili halijaisha......

Kila la heri kwa RVP......

COYG......

Once a Gunner, Always a Gunner....
 
Back
Top Bottom