Hilo bana ni jembe haswaaaaa........Tuna imani na Santiago Cazorla.
Mkuu bado sina imani na defense yetu naona bado haijatulia ukilinganisha na idara zingine
Mkuu, hali hio haitatokea tena wachezaji wa Arsenal kwenda Man City hio sahau kabisa.
Halafu mameneja wa Spurs na Man U pia ni wazee mbona hawabadilishwi?
Sisi Arsenal ndio tunampa imani Wenger na mipango yote anayofanya na sasa tunanunua wachezaji kwa pesa yetu wenyewe kutoka kwenye akiba tena bila kutegemea pesa ya mtu, hio ndio modern world ya footbal.
Ni hao Man City na wenzao wanataka kuharibu ingawa sasa Mancini ameambiwa ni lazima auze wachezaji kwanza kabla ya kununua.
Sasa tuone Man City watauza nani na watanunua nani.
Yaani wewe kweli mpira hujui kaa kimya tuu..unasema spurs na man utd wana kocha wazee.. Kwanza nikufahamishe kocha wa spurs ni AVB ana miaka 33 afu kama umesahau wenger ana zaidi ya miaka 60 sa mbona unasema spurs na man u ndo wana kocha wazee kweli hujui mpira we ni zero bora ukae kimya. We unasema arsenal mnanunua players kwa hela yenu niambie henry sol campbell jose reyes mlinunua kwa kiasi gani hiyo? Mkubali kua arsenal hakuna kitu poleni.
mkuu TV5 + boss Kozer , Per ... wanatosha hao mimi ninapoona tatizo ni RB & LB hakuna backup zenye experience ili tutafika tu madogo wanao cover they have got a promise future
Sasa mkuu, Wenger umesema miaka yake, na Ferguson ana miaka mingapi, si ni zaidi ya 70?
Anyway, nilikuwa namzungumzia Harry Redknap ambae Spurs walimtimua kwa sababu za kiitikadi kati yake na bwana Levy.
Huyo AVB ni "gamble" tu sidhani kama "ambitious" Spurs watafikia malengo wanayoyataka ya kucheza Champions League.
Wewe ndio huonekani kuufahamu mpira wa wenzetu walioendelea unaendeshwaje na hufahamu model ya uendeshaji timu ya Arsenal na siwezi kaa hapa kuanza kubishana nawe.
Ni mpaka Spurs wakiwa na "stadium capacity" kufikia Arsenal ya watu 60,000 ndio tutaweza kujadiliana.
Pilipili ya shamba...........
Sasa toka mmehamia emirates kutoka highbury mmeshinda makombe mangapi?!! Toka mmepata hiyo stadium portsmouth birmingham wameshinda makombe zaidi yenu... Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi :biggrin1:
Wakuu August 18 hio kama utani, tuanze kuoana kandanda safi kutoka kwa vijana wa emirates.
Tutaonana Jumamosi kama kawaida,inshallah.
Season njema kwa Gooners wote.
.
Wakuu August 18 hio kama utani, tuanze kuoana kandanda safi kutoka kwa vijana wa emirates.
Tutaonana Jumamosi kama kawaida,inshallah.
Season njema kwa Gooners wote.
.
we jamaa unawatafutia watu life BAN yaani unawashwa washwa na Arsenal etiiii.....kaendeleze thread yenu hukooo hatukuhitaji hapa kijiweni au UNATAFUTA UMAARUFU kama Faiza foxy (R.I.P)????
Sasa toka mmehamia emirates kutoka highbury mmeshinda makombe mangapi?!! Toka mmepata hiyo stadium portsmouth birmingham wameshinda makombe zaidi yenu... Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi :biggrin1: