Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

zp_1213homekit_12_7021.jpg


zp_1213homekit_13_8623.jpg


zp_1213homekit_17_3331.jpg
 
Dah dua lakuku limempata Toteham na New Castle kazi kwetu mechi ya mwisho tushinde tujihakikishie nafasi ya Tatu ya kucheza club bingwa Ulaya
 
wakuu! nasikia CITY wanajitayarisha kutoa offer 30 Million for Van. persie!!.... mi nadhani wenger achukue hizo hela.. van. kabakiza mwaka mmoja.. ! atafute partner wa podoski au turudishe yule dogo aliyekosa leseni tukampeleka ufaransa! hizo pesa awanunue yohan cabaye & Ba! wa newcastle ! kama rumors zinavosema hao vijana ni next target ya wenger baada ya kukamilisha usajili wa M villa ndani ya hizi wiki mbili, angalia sasa .. Tuna M,villa... song.. wilshere .... arteta.....!walcot.. OX.... gervinho ata improve.... ramsey apelekwe loan bolton! .... miyachi arudi....! mbona tutakusanya vikombe msimu ujao.... midfield itakuwa ina rotate so hawatakuwa wanachoka!

Muisrael na rosisky wabaki kama spare .. chamark.. djourou... diaby.... arshvin.. aueze!
 
Exactly hilo ni bonge moja la idea brazah Wenger akilifanyia kazi season hijayo 2takuwa hatushikiki
 
Na RVP katia ngumu mazungumzo yake na wenger, ngoja tusubiri ili biashara ijulikane mapema sio jioni kama msimu uliopita
 
Na RVP katia ngumu mazungumzo yake na wenger, ngoja tusubiri ili biashara ijulikane mapema sio jioni kama msimu uliopita

RVP anataka kuona Wenger akiongeza world class players kikosini ndipo adondoshe sign. Sidhani kama anataka kushuhudia benchi likipwaya kama siku tulocheza na Milan pale Emirates. Wenger anajua anachopaswa kufanya, tusubiri tuone.
 
The gunners need to prove the world that they can mix it on football battlefields next season. 2011/2012 season of ups and down, high and slow. Gunners let's hope Van Persie wl stay
 
The gunners need to prove the world that they can mix it on football battlefields next season. 2011/2012 season of ups and down, high and slow. Gunners let's hope Van Persie wl stay

Kwa mshahara anao dai mwache aende zake! 250k per week amekuwa messi... angekuwa na umri mdogo at list angekuwa worth kwa hizo pesa..
 
Kwa mshahara anao dai mwache aende zake! 250k per week amekuwa messi... angekuwa na umri mdogo at list angekuwa worth kwa hizo pesa..

Hata mi naona aende zake tuchukue pesa, tununue jembe lingine. Analeta nyodo wakati hajawahi kucheza full season, misimu 7 iliyopita amekua mtu wa kuumia-umia na kocha kamvumilia. How does he forget that?
 
7047812127_8002ecd39b_b.jpg



2012 UEFA CHAMPIONS!!!!

Trophy-Celebrations-Chelsea-Champions-League-_2767954.jpg


16231532.jpg





khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!

breath

khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
 
The first and only London club to win UEFA Champions league. BLUE is the colour.

Winners-Trophy-Chelsea-Champions-League-final_2767955.jpg



The General!!!!

Roberto-Di-Matteo-Celebrations-Chelsea-Champi_2767967.jpg



Roman-Abramovic-Celebrations-Chelsea-Champion_2767966.jpg



John-Terry-Trophy-Chelsea-Champions-League-fi_2767962.jpg
 
Back
Top Bottom