Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

All 3 goals were from Szczesny and the left back Gibs! Santos could have played better!
 
Poleni wakuu wenzangu, tuwaombee. Dua mbaya newcastle na spurs sasa.



*Pia poleni wapenzi wa soka wote kwa msiba Rashid Yekin. Mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
sasa inabidi 2mwombee njaa newcastel na spurs wagongwe ili 2weze kwenda champions league
 
One of the teams in the EPL whose many Players and team Manager are less serious must be ARSENAL! Who also call themselves GUNNERS!
 
Na ndio maana wengine wanadai, kwa mtindo huu, Arsenal hatutaweza kushinda vikombe vya aina yoyote ile, hatuna winning mentality, hatuko makini, tunadharau timu pinzani hata kabla hatujacheza nazo na tukipata kagoli ka kuongoza mchezo tunajisahau kabisa!

Ni disaster kwa kweli....!
 
Pole O-C na gunners wengine..mlitakiwa mshinde leo!
Asante BJ, kusema kweli presha za mwisho mwisho hizi zinaboa sana.

Kweli kabisa tulitakiwa kushinda lakini wala hatukupigania ushindi. Beki leo ilikua mbovu sana.

*vipi lakini unaendelea salama?
 
timu hii kama una ugonjwa wa moyo basi usitizame naomba kuuliza yule Ramsey anafanya nini akiwa uwanjani hawezi kukaba wala kuchezesha sasa sijuwi maelezo ya wenger ni kiungo wa aina gani hata timu za mchangani sishangai akiwa benchi, kwanini Wenger hafanyi mabadiliko mpaka dakika ya 70? hata kama mchezaji ameboronga tena akiwa Ramsey ndio kabisa, leo hapa nina marazi ya moyo
 
hta v.Persie tumlaumu katika shorts 7 mbili tu ndio katupia... na pia nadhani imefika time wenger achezeshe strikers wawili... mliona tulivobadilika chamarck alipokuwa na v.persie...!!

Song anasahau jukumu lake na kwenda mbele zaidi na pia ajifunze kufunga .... mbona arteta anajaribu some times ..??

gervinho - mhh!! mara network zinarudi mara zinapotea

Ramsey - wenger ampeleke on loan ili arudishe confidence .. ameshindwa kuziba pengo la arteta

angalia forward yetu - park , vela , bendtiner , chamarck , v. persie!! - it is completely a joke ... kwani scouts wa arsenal wanashindwa ku spot talents kama kina Ba, cisse .. what happened kwa scouts walio spot talents za " invisible "
 
ramsey sio apelekwe loan bora kama kuna timu wanamtaka wapewe bure mimi nashangaa eti ni captain wa timu ya taifa
Song amepewa kibarua kuenda mbele lakini kashindwa ku shoot
Timu ilikuwa kati alipokuja Chambeleon ndio ilipata uhai kwani Song alirudi nyuma,
Strikers wawili sio utani ndio jibu la ubutu wa Arsenal
Week end hii wameniharibia huenda kesho nikapelekwa ICU baada ya result za kesho
 
Back
Top Bottom