Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi ambazo zimebakia ni kama zifuatazo:

Sat 28 Apr 2012 - Premier League
  • Stoke v Arsenal 15:00

Sat 5 May 2012 - Premier League

  • Arsenal v Norwich 12:45

Sun 13 May 2012 - Premier League

  • West Brom v Arsenal 15:00

Hizi ni 9 points.
 
Mechi ambazo zimebakia ni kama zifuatazo:

Sat 28 Apr 2012 - Premier League
  • Stoke v Arsenal 15:00

Sat 5 May 2012 - Premier League

  • Arsenal v Norwich 12:45

Sun 13 May 2012 - Premier League

  • West Brom v Arsenal 15:00

Hizi ni 9 points.

Mechi zote ngumu hizo. Tumefanya maisha kuwa magumu sasa.
 
Mnh, Richard tusijipe guarantee....
Fingers crossed, matokeo mabaya ya Spurs na
Toons ndio relief yetu...
 
Mnh, Richard tusijipe guarantee....
Fingers crossed, matokeo mabaya ya Spurs na
Toons ndio relief yetu...

Mtazamo wangu ni kwamba timu sasa imechoka sana kutokana na kazi ngumu ya second half of the season na kwahio nawapa credit. Ila kuna mechi ambazo Arsenal ingeweza kushinda kama ile na Swansea na Fulham na leo hii tungekuwa mbali zaidi ya Newcastle na Tottenham.

Nafikiri mzee Wenger atatumia vizuri kitita cha fedha ya usajili ambazo ameahidiwa na bodi ya wakurugenzi kwamba atafanyia usajili msimu ujao.

Ila kwa kweli kwenye midfield tutamkumbuka sana Mikel Arteta, kwani ametusaidia sana. Nae Van Persie inabidi atie saini mkataba mpya kwani anazua maswali mengi kutoka kwetu hopeful na kwa kuzingatia juzijuzi alionekna akiingia kwenye hoteli ambayo Barcelona wamefikia ingawa yeye amesema alikwenda kumsalimu rafiki yake Ibrahim Afellay.
 
[TABLE="class: football"]
[TR]
[TD="class: col1"]1[/TD]
[TH] Manchester United[/TH]
[TD]34[/TD]
[TD]26[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]54[/TD]
[TD]82[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]2[/TD]
[TH] Manchester City[/TH]
[TD]34[/TD]
[TD]24[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]58[/TD]
[TD]77[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]3
[/TD]
[TH]Arsenal
[/TH]
[TD]35[/TD]
[TD]20[/TD]
[TD]5[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]24[/TD]
[TD]65
[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]4[/TD]
[TH] Newcastle United[/TH]
[TD]34[/TD]
[TD]18[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]62[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]5[/TD]
[TH] Tottenham Hotspur[/TH]
[TD]33[/TD]
[TD]17[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]19[/TD]
[TD]59[/TD]
[/TR]
[TR="class: alt"]
[TD="class: col1"]6[/TD]
[TH] Chelsea[/TH]
[TD]34[/TD]
[TD]16[/TD]
[TD]10[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]18[/TD]
[TD]58[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



Tuna mechi moja zaidi ya timu zinazofukuzia champions .Nakubaliana na wale wanaosema tumefanya haliyetu bado kuwa ngumu wakati uhakika tunge kuwa nao tayari
 
Poor results. I'm quite sure we will bounce back. Diaby will find his feet. Benayoun will also help us. I think RvP is too tired. Wenger should give Chamakh/Park a chance, at least for 60 minutes then Persie to join later to add firepower. I still believe third is ours. Wenger knows best. Cheers gooners 🙂
 
Mechi ambazo zimebakia ni kama zifuatazo:

Sat 28 Apr 2012 - Premier League
  • Stoke v Arsenal 15:00

Sat 5 May 2012 - Premier League

  • Arsenal v Norwich 12:45

Sun 13 May 2012 - Premier League

  • West Brom v Arsenal 15:00

Hizi ni 9 points.
Sioni mechi rahisi hata moja hapo sasa ni bora ucheze na ManU ,City,Chelsea au Liverpool kuliko kucheza na timu vibonde
 
RobinvanPersie_2754538.jpg
Robin van Persie: Named PFA Player of the Year . Photo from skysports

Hongera sana Captain wetu mwenye mapenzi ya kweli na timu yetu.

Na kutakia kila la kheri kwenye kuendeleza kipaji chako na asante sana kwa mchango wako wote.
 
RobinvanPersie_2754538.jpg
Robin van Persie: Named PFA Player of the Year . Photo from skysports

Hongera sana Captain wetu mwenye mapenzi ya kweli na timu yetu.

Na kutakia kila la kheri kwenye kuendeleza kipaji chako na asante sana kwa mchango wako wote.

Robin has been outstanding through out of the season and yet he is going to win football writers association best footballer award this season without a doubt...and may be a golden boot if he can fire at least three more goals and also his next opponent if will stop scoring cheap penalties
 
Robin has been outstanding through out of the season and yet he is going to win football writers association best footballer award this season without a doubt...and may be a golden boot if he can fire at least three more goals and also his next opponent if will stop scoring cheap penalties

Kachukua hio award pia mkuu,kama ulivyosema.

Namuombea achukue na kiatu sasa.

Pamoja.
 
Poor Cesc Fabregas......

Alitegemea kupata vikombe vya La Liga na UCL akiwa Nou Camp/Catalan.......Vyote kavikosa
 
Arsenal team to face Stoke: Szczesny, Sagna, Koscielny, Vermaelen, Gibbs, Song, Ramsey, Rosicky, Gervinho, Van Persie, Benayoun

Arsenal substitutes: Fabianski, Diaby, Santos, Chamakh, Squillaci, Oxlade-Chamberlain, Coquelin
 
Back
Top Bottom