Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,545
- 63,023
I suggest he should have ended his Gemany citizenship too..!Mesut Ozil ameamua kuachana rasmi na timu yake ya Taifa(Germany) baada ya mvutano wa muda mrefu kutokana na picha yake aliopiga na Raisi wa Uturuki Erdogan,Leo Ozil ametoa statement ya kuachana na timu akilalamika kubaguliwa kutokana asili yake pamoja na kua yeye ni muislamu na pia amefedheheshwa na lawama toka kwa waandishi wa habari wa Germany wanatoa lawama kua yeye ndio sababu timu yao kutolewa mapema kwenye kombe la Dunia
Nita share hiyo statement soon.
Every Geramany has a negative eye on ozil now..