8-0 so far tumecheza vzur ila sjui kama hiki n kipimo sahii....tumpongeze kocha kaanza na historia mpya.....pia Auba kaweka historia mpya ya kwake binafsi kacheza vzur ,hatric na kachukua mot...
Mm nlienda kuangalia new signing kwanza kabisa papa sokratis na ndugu yake mavo first half walicheza vzur kwa umakin na mawasiliano ya hali ya juu....
Second half Matteo kaingia kacheza vzur so far n nyumbulifu anapiga pass kwenye njia na kwa muda sahii.
Ramsey, mikh bado sjaona mpira wao so far japo wamecheza ila sio wale nliowazoea....
Chambers huyu sasa naona atawapiga watu benchi mwendelezo wake toka second leg last season adi Leo anaonekana kama mature sasa anatulia anacheza na point BA's.....
Karl jenklson nmeona kama kawaida yake fullback teleza kacheza vzur anakaba vzur,pass ,anapandisha timu anachukua nafas anapiga cross nk...kiukwel kama sio udogo wa mechi au kuzidiwa kwa wapinzan Leo huyu jamaa dakika alizocheza kaonyesha kitu.
Jeff kafunga moja ya magoli mazur sana Leo kacheza kwa kiwango chake kilekile alichokuwa anaonekana kule u21 .....
Niles huyu ukiangalia utaona kwann Wenger alimuamin na kwann unai kamwaminishia namba first team....ana akili sana huyu mswahili anajua afanye nn na kwa muda gan..
*Aubaaaaaaa*
*Aubaaaaaaaa*
*Aubaaaaaaaa*
Pia yale mazoezi ile pressing game ya man to man nimeona inaanza Fanya kazi Leo hasa kipindi cha pili....mwanzo walikuwa wnaakaba taratibu ila second half wameongeza nguvu ya kukaba ilo linaonyesha wazi kuwa mazoezi ya wiki moja hayakuwa ya bure yale watu waliokuwa wanahema kama watoto......bado pressing ni ndogo tunahitaji kuongeza juhudi hapa maana first team ilikuwa soft sana kati ila nadhan n kwa sababu waliokuwa pale n watoto tu....tofauti na second half