Asee Myebusi hawa Brentford sio wakitoto kiivyo asee uliona ile playoff final waliyocheza na Swansea?Mzuka wanajamvi!
Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi.
Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku.
Kwa uhakika Arsenal itashinda iyo mechi na kujinyakulia pointi tatu na kuwa timu ya kwanza kuongoza ligi msimu wa 2021/22.
Nawapa hongera za dhati mashabiki wa Arsenal.
Chaliifrancisco
Arsenal siamini kabisa wanashindaga gem kwa kubahatishaAsee Myebusi hawa Brentford sio wakitoto kiivyo asee uliona ile playoff final waliyocheza na Swansea?
Wana striker wao huyo Ivan Toney huwa namfananisha na Didier Drogba.
Hiyo game ya kesho mimi naona Arsenal na Brentford watatoa draw. Kwahiyo still Arsenal ataongoza.
Msimu huu wakwao. Wasipochukua ubingwa nafasi ya pili yao.Arsenal siamini kabisa wanashindaga gem kwa kubahatisha
Wanasajili wachezaji wa sh. 2, Ubingwa wausikie tu kwa majiraniMsimu huu wakwao. Wasipochukua ubingwa nafasi ya pili yao.
Wewe inakuhusu nini?Ila mashabiki wa Arsenal yaani hawana raha na timu yao, isitoshe unakuta mtu ni team Arsenal na team Yanga daa
Hii timu yangu ishajifia siku nyingiArsenal siamini kabisa wanashindaga gem kwa kubahatisha
Unaota weweMsimu huu wakwao. Wasipochukua ubingwa nafasi ya pili yao.
🤣🤣🤣🤣Wanasajili wachezaji wa sh. 2, Ubingwa wausikie tu kwa majirani
Anaongoza kwa point ngapiKesho Arsenal atashuka mpaka nafasi ya mwisho.kwani si mpaka hivi Sasa Arsenal ndiye anaongoza ligi.
Hatuna kipya kakaArsenal msimu huu atutaki maskhara,God bless Arsenal.
Shenz kabisaSamahani mkuu nimepayuka tu,
Ila mkuu amini msimu uliopita kama ulikuwa shabiki wa Arsenal/Yanga uliponea tu kupata SONONOShenz kabisa
Shenz kabisaSamahani mkuu nimepayuka tu,
Mimi duniani nina timu moja tu Arsenal The GunnerzIla mkuu amini msimu uliopita kama ulikuwa shabiki wa Arsenal/Yanga uliponea tu kupata SONONO
Ipo nafasi ya kwanza mpaka kesho saa nne.mechi ikiisha,atakuwa nafasi ya mwisho kabisa baada ya Kula kichapo cha mbwa koko.Anaongoza kwa point ngapi