TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,829
- 11,203
halima ni mbunge wangu... nilimpigia kura ya ndiyoNdo mama mkwe wako eh?.......... maana hapa twamzungumzia Ma mkwe ati.
Asa udereva wa week end tu ....hapa nasikia harufu ya chakachuzi ya penzi a.k.a Infii
sasa ntamuomba udereva wikendi, hata kama ni dodoma ntaenda tukale nyamachoma na ndugu yangu kaizer na MJ