:nono::nono::nono::nono::nono:Kamanda hujajibu ile message niliyokutumia ....
Ipi kamanda?......naomba nikumbushe
Babu.....umesema mpaka apate nini??
Shkang
Mh Babu hebu nenda kwa Mdee kidogo nasikia anakuhitaji ukamsaidie kuhakiki matokeo. Niache na binamu Acid hapa tunapanga suprise party for you........:smile-big::nono::nono::nono::nono::nono:
Hey............
Babu is here......watching:doh::doh::doh:
Mh Babu hebu nenda kwa Mdee kidogo nasikia anakuhitaji ukamsaidie kuhakiki matokeo. Niache na binamu Acid hapa tunapanga suprise party for you........:smile-big:
mwanajamii upo juu nimekupenda bure yani hope mambo ya family we ni mzoefuHahahahah umenichekesha sana mwenzio niko kinasaha zaidi jamani Mbu... hiyo ni kukufanya utue moyo wako ili nasaha zikuingie ipasavyo lol
Suluhisho my dia ni wewe kuwa karibu na mkeo.. kwanza kuisoma situation ya mama ukiona kama kuna ka-beef baridi kaa na wifi kwa upendo tena ikiwezekana toka naye dinner mwambie unaelewa matatizo ya mama (hata kama huyaelewi) mwambie unayaelewa na unayapuuza so na yeye ajaribu kuyachukulia kiulaini kwa kutoyafuatilia mambo ya mama...... tena sometimes mama akifanya cha kufanya we jitie hutilii maanani.
Kuna wamama wengine hawapendi kuona hata mkwe wao anatolewa out, ananunuliwa kitu kizuri ni kawaida. Ukitaka mtoa out mwambie ajipange mkutane juu kwa juu ili msimkwaze mama au wewe ndo umwage mama ukitoa sababu ambazo si za kuamsha tamaa au wivu. Jitahidi kumpa wifi pesa angalau awe anamnunulia mama zawadi na siku moja moja amtoe out na wajukuu kama anao. Kuwa karibu na mkeo ila usionyeshe kuwa mama unamtenga, mweleweshe mkeo ili naye awe anakusapoti pale unapokuwa na mama.,,,,, Mhakikishie kuwa yeye ni mkeo na wewe ni mumewe na yule ni MAMA YAKO tu yaani Mke wa BABA yako.
gudi laki
................ Hahahahahahah duh huyu wako kiboko loh yaani hapa anataka kuonyesha kuwa umempa kidogo loh ndio wale ambao wakipewa chakula wanaficha then akija mtoto wake anasema kanyimwa chakula loh...... umenichekesha eti shuttle alopanda ndilo ulopakiza vya kwenda kwa mamako loh kweli alikutifua... Mimi sipati picha ningepata mama mkwe wa hivyo ningekondaje maana kusema siwezi loh............ I wish
kuanzia nilivyomfanyia hivyo, alivyofika kwake, hata kumpigia kumuuliza umefika salama ckumpigia, yaani alijua nimechukia sana tena sana na nilimwambia mwanae kwamba nimechukia sana kitendo mamako alichonifanyia, mie ukiniumiza lazima na mie nikuumize tu kwa namna moja au nyingine, alikuwa anacal mfululizo kujikosha coz mwanae alimwambia kwamba kitendo alichokifanya sio kizuri, ilikuwa nikijckia napokea nicpojickia cpokei, nikiambia anaumwa nitamcal baba kumuuliza hali ya mkewe na sio yeye, kuna cku baba alishtukia hali ya utofauti ikabidi amuulize mwanae, mwanae akamwambia mama alifanya hivi na vile ndio mana mke wangu amechukia, yule mama ana mume mstaarabu sana, baba alifanya kunical kumwombea mkewe msamaha...mpaka leo mie na mama hatupo vzr anajitahidi kunirudisha kwenye hali ya zamani lakini wapi, wacha nimchunie apate kujua anavyotufanyia sio vzr, sasa MJ1 hiyo ni kwa mie kichwa ngumu, mke mwenzngu(mke wa mdogo wake mr) ana roho ndogo kama yako, mama akifika kwake mdada wa watu anaumwa kabisa, yaani sio nn ni ile hofu ya kutokujua anakuja na lipi jipya bac mdada na ka homa kanampata....lol
mwanajamii upo juu nimekupenda bure yani hope mambo ya family we ni mzoefu
...ddddoooooossshhhh!
Pole sana Nyamayao,...lakini naomba nikuulize hapo penye wekundu;
kwanini wewe Nyamayao umefikiria na kutamka hivyo?
Kitu gani kimekupelekea ku influence judgment yako kwenye hisia hiyo?
Aksante Mwasu wajua kila kitu tunajifunza na maisha halisi tunayoishi au yanayotuzunguka. I happened to live longer lol yes long enough to grasp some of the important issues..... but si mzoefu kiviiiiile
Ahaaaaa huyu alizidi mwenzangu bado kidogo angeulizia 'unatoa dozi' mara ngapi kwa wiki ili aone kama mwanae anapunjwa au anaoverdoziwa ah......... pole mwali but bora ulivyoweka distance maana angekupandia kichwani huyo.Mbu....mama nilikuwa nampenda sana, nilikuwa nimeamini kuwa ni kama mama yangu mzazi, kumbe nilijidanganya na yeye akawa ameficha makucha kwa wakati huo, alikuwa akinikosoa hiki na kile mie naona sawa ngoja nifanye atakavyo, hivi na vile nafanya nikiamni ni kama mama yangu ananirekebisha, ni kosa nililofanya!...alitaka kunifanya nicjiamni kwenye maisha ya ndoa, kwamba niliolewa mdogo so ctaweza kumuhudumia mume, niliolewa vichochoroni bila yeye kushirikishwa?...alijua hilo kwann hakumwambia mwanae kwamba haifai? sasa kutaka kunipangia vitu vya kufanya ndani kwangu, ki ujumla na mr pia, leo utaambiwa mwanangu anapendaga kula cjui makande hebu mpikie, kesho utaambiwa mwanangu cjapenda alivyovaa akaenda kazini lile shati ni baya alinunua mwenyewe kweli, au ulimnunulia, kesho utaambiwa hivi, ukirudi kutoka job kaka( h/boy) atakuwambia mama alikuwa ananihoji hivi na vile, yaani mambo kibao, h/boy ndio akawa mtu wake wa karibu ili tu amwambie tunaishije hapo ndani....na alishanitamkia mwenyewe japo mwanae kaoa lakini kwake yeye bado ni mtoto na anahitaji muongozo wake wa maisha yeye kama mamake...Mbu kakangu ni mambo kibao sana, cku hizi alivyoona cna tyme nae bac imekuwa ahueni kwangu...cpati tena usumbufu wa mwanzo na nitaendelea na mcmamo huo huo.
pole mwaya ............na wamama wa zamani huwaambii kitu ati mume kasema we usitii......kaka Mbu umeniuliza chanzo cha mvutano, ni vijimambo vingi sana katika kutaka kuingilia mambo yangu ya ndani, na iliponitibua zaidi ni wakati nilipokofofishana na mr kwa kutaka niache kazi, baada ya kukosana amani ndani kwa karibia miezi 6 nikaja ambiwa chanzo ni mama yake kumshikia bango mr kwamba natakiwa niwe mama wa nyumbani, hilo tuliliongea na mr na tukasuluhisha kila kitu, baada ya hapo sasa mama akaanza kwamba cmtii mume wangu coz akitoa maamuzi ndani siyafatilii, hapo tulishaongea na mr kila kitu kuhusu mama, na akanipa support kubwa sana baada ya ule utata uliotokea, bac kwasasa support yake ndio inanipa moyo.
Ndo mama mkwe wako eh?.......... maana hapa twamzungumzia Ma mkwe ati.my vote counted for Halima na sasa nataka nimuombe kazi ya udereva sikuz a wikendi tu
my vote counted for Halima na sasa nataka nimuombe kazi ya udereva sikuz a wikendi tu
mmh haya mambo ni magumu jamani ni kweli mama mkwe mara nyingi huwa ni wakorofi lakini na hao waolewaji jamani sijui huwa na dhana kwamba ndugu wa mume ni wabaya tu unakuta mtu ameolewa hajafanywa lolote na mawifi wala mama mkwe na anapendwa jamani ataanza visa mpka mnajiuliza ni kitu gani hiki,so hii mambo nadhani ipo pande mbili ingawa kwa upande wa mume huwa ni zaidi.nimeipenda hii topic mwanajamii thanx kwa ushauri tutaumia kuwapelekea hata marafiki