Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Ngoja wanadiplomasia waje mzee baba. Mimi bado kilaza wa mambo haya.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan? Kuna mapigano makubwa ya kijeshi katika ya nchi hizo?
View attachment 1584584
Mgogoro huu inasemekana ni wa muda wa karibu miongo minne. Lakini ulikuja kuwa mkubwa sana baada ya nchi hizi mbili kupata uhuru wao kamili miaka ya 1990 na kuendelea.
Inasemakana Russia inawaunga mkono Armenia huku Uturuki ikiwaunga mkono Azerbaijan. Jumapili hii ya juzi ya tarehe 27 September 2020 kumetokea kurushiana risasi, ndege kuangusha vifaru kulipuliwa mpakani mwa nchi mbili huku kisa cha haya ikiwa ni sehemu ya Nagorno-Karabakh inayogombaniwa na nchi hizi.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Msumbiji hapo ni karibu sana ila kule ni Ulaya mkuu. Kule ni mbali sana aisee.Kulitokeaga vurugu hapo msumbiji wabongo wakanyanganywa mali zao na kuumizwa,mzee baba akatoa tamko acha wakipate pate tu kwani wameenda kufanya nini huko Msumbiji.
Mzee baba ndio nani?Kulitokeaga vurugu hapo msumbiji wabongo wakanyanganywa mali zao na kuumizwa,mzee baba akatoa tamko
Wait&see.Kulitokeaga vurugu hapo msumbiji wabongo wakanyanganywa mali zao na kuumizwa,mzee baba akatoa tamko acha wakipate pate tu kwani wameenda kufanya nini huko Msumbiji.
Sijui ila Wizara sasa ndio inapaswa kusema ili watanzania wawe na peace of mind kuwa hakuna roho za wenzao ambazo zipo rehani kule.Kuna watanzania wanoishi katika hizo nchi?
kwani Tanzania haina ubalozi huko Armenia au Azerbaijan?Msumbiji hapo ni karibu sana ila kule ni Ulaya mkuu. Kule ni mbali sana aisee.
Ubalozi wa Tanzania nchini Russia kama sijakosea...kwani Tanzania haina ubalozi huko Armenia au Azerbaijan?
Sisi tunamuuliza Waziri kwa maana yeye ndiye Mbunge wetu na Top Political Figure ndani ya wizara anayepaswa kumhoji balozi wake. Balozi sio mbunge wetu.nadhani swali hili wangeulizwa mabalozi wa huko nategemea watakuwa na cha kujibu
Mkuu, sasa mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe?Wait&see.
ok nmekumbuka ziko kwenye jumuia ya kisovietiUbalozi wa Tanzania nchini Russia kama sijakosea...
Nimeuliza nini na nimejibu nini?Mkuu, sasa mbona unajiuliza na kujijibu mwenyewe?
Waziri ndiye mbunge wetu ambaye sisi tumempigia kura ili aende kusimamia usalama pamoja na maslahi yetu. Sisi hatukumpigia kura balozi.Ubalozi unaohusika na eneo hilo hauwezi kutoa tamko au taarifa?
Soma comment yako #10Nimeuliza nini na nimejibu nini?
Sawa mkuu.ok nmekumbuka ziko kwenye jumuia ya kisovieti
Kumbe wait&see ni kujiuliza na kujijibu mwenyewe?Sikujua arifu.Nimeuliza nini na nimejibu nini?
Ninamaaisha una-reply comments zako mwenyewe. Yaaani kama vile unajitekenya na kucheka mwenyewe.Kumbe wait&see ni kujiuliza na kujijibu mwenyewe?Sikujua arifu.