Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,520
- 37,929
Sema we kajamaa
Safi sana unaifanya kazi yako ya ushushushu vyema
Safi sana unaifanya kazi yako ya ushushushu vyema
Mi mwenyewe nilishawaambiaga hii kitu mzee baba.,waka kana.Huku hizo zote na huyo sulphur ni yake
Huyo Ibrahim ndio nani tena?Ni za Ibrahim
Mkuu, mbona mimi sio shushushu? Mbona mimi ni kijana wa kawaida sana huku mtaani?unaifanya kazi yako ya ushushushu vyema
Balozi yetu inayohusika na nchi hizo ndiyo ya kuwapa hao watz taarifa muhimu kama hizoSijui ila Wizara sasa ndio inapaswa kusema ili watanzania wawe na peace of mind kuwa hakuna roho za wenzao ambazo zipo rehani kule.
ok nmekumbuka ziko kwenye jumuia ya kisovieti
Haina ubalozi hizo nchi za ajabu hivyo, probably hata Magufuli hazujui hizo nchikwani Tanzania haina ubalozi huko Armenia au Azerbaijan?
nadhani swali hili wangeulizwa mabalozi wa huko nategemea watakuwa na cha kujibu
Sisi wananchi tulimpigia kura mbunge wetu ambaye ndiye waziri na sio balozi. Kwa hiyo sisi tunaihoji ofisi ya waziri kisha yeye ndiye amuulize balozi wake.Balozi yetu inayohusika na nchi hizo ndiyo ya kuwapa hao watz taarifa muhimu kama hizo
Ubalozi upo na hakuna nchi ya ajabu hata moja hapa duniani mkuu...Haina ubalozi hizo nchi za ajabu hivyo,
Una uhakika gani mkuu?probably hata Magufuli hazujui hizo nchi
Ndivyo tunavyokuona,wewe ni shushushuMkuu, mbona mimi sio shushushu? Mbona mimi ni kijana wa kawaida sana huku mtaani?
Hapana mkuu. Mnakosea sana kuniona mimi shushushu. Mimi ni kijana wa kawaida sana ndugu yangu.Ndivyo tunavyokuona,wewe ni shushushu
Bahati mbaya sana imetokea nakuona hivyo tu huna cha kunibadilisha juu ya hilo, sorryHapana mkuu. Mnakosea sana kuniona mimi shushushu. Mimi ni kijana wa kawaida sana ndugu yangu.
tamko hutolewa pale nchi inapoguswa maslahi yake.hivyo vinchi vya 12sqkm viache vimalizane ndio maana stalin alikua anawapeleka milimani hukoWizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani?
Nimesema probably, Sababu hayupo vizuri Sana kwenye geographyUna uhakika gani mkuu?
Tanzania Ina balozi Azerbaijan? Anaitwa Nani?Ubalozi upo na hakuna nchi ya ajabu hata moja hapa duniani mkuu...
Mkuu Hahaha wale walisaidiwa kwenda hadi makwao...Kulitokeaga vurugu hapo msumbiji wabongo wakanyanganywa mali zao na kuumizwa,mzee baba akatoa tamko acha wakipate pate tu kwani wameenda kufanya nini huko Msumbiji.
Ninakuomba sana ubadili mtazamo wako juu yangu please please bro...Bahati mbaya sana imetokea nakuona hivyo tu
Upo sahihi kabisa mkuuSi kweli. USSR ilikwisha vunjika enzi za Yeltisn. Hizo sasa ni nchi mbili tofauti
You need to change your views on me bro.Sema we kajamaa
Safi sana unaifanya kazi yako ya ushushushu vyema