Spain kufika semi final , ata fainali kama sio kulichukua kombe, Save the Date.
Nina mashaka na kikosibcha Jose Enrique. Wana kikosi kizuri sana cha vijana, wana muunganiko mzuri, wanacheza mpira safi tatizo kubwa la kikosi hiko ni washambuliaji.

Kwa kumtegemea Morata sidhani kama wanaweza wakafika mbali
 
Kuna kasumba kwamba wenyeji mechi ya kwanza huwa hawapotezi je kwa qatar itawezekana
Hawa jamaa wameingia moja kwa moja hivi kikosi cha mashindano kweli wanacho wanakutana na equador wasije kupigwa 7 bila mechi ya ufunguzi 😃
Qatar hawana tofauti sana na South Africa alivyoandaa World Cup 2010. Hawakutoboa hatua ya makundi na ndio nawaona Qaatar ikiwatokea
 
Sasa H
Wenyeji Qatar wamepiga marufuku mambo kadhaa yafuatayo yasifanyike hadharani kwani ni kinyume na tamaduni zao;

Unywaji wa pombe hadharani

Mapenzi ya jinsia moja

Kupigana mabusu hadharani
Hizi fainal blatter alikula dollari zake akiipeleka Qatar, nchi isyo na sifa Wala vigezo... Eti Kwenye Bid waliishinda uingereza...hadi pombe jamni khaaa
 
Back
Top Bottom