Mpira una dunda mkuu lolote linaweza kutokeaKwa haya makundi kweli africa tutatoboa ata last 16? Kama hawa tunisia ndio sina imani nayo kabisa
Hahaha nilijua kabisa utakuwa team cr7, haya ngoja tuone timu gani itafika mbali1.Brazil
2.German
3. Portugal
Nb: Siwapendi Argentina nitakuwa hater mkubwa wa timu hii najua wamependelewa kupewa kundi la kiboya safari yao mwisho robo fainali.
Wazee wa kubebwa. Wana kikosi kizuri ila kinakosa ukomavu kwani watoto wadogo wapo wengiViva England... It is coming home..
Zoea hii sauti..... Zoea hii sauti..
. Shenzi saana
VAR itakuwepo kama kawaida mkuu
Nina mashaka na kikosibcha Jose Enrique. Wana kikosi kizuri sana cha vijana, wana muunganiko mzuri, wanacheza mpira safi tatizo kubwa la kikosi hiko ni washambuliaji.Spain kufika semi final , ata fainali kama sio kulichukua kombe, Save the Date.
😂😂😂mkiwafunga tu hao Marekani mnapewa kesi ya kumiliki silaha za nyuklia (joking)IRAN TUJUANE MAPEMA KBSA TUTAIPIGA MAREKANI KAMA NGOMA
Qatar hawana tofauti sana na South Africa alivyoandaa World Cup 2010. Hawakutoboa hatua ya makundi na ndio nawaona Qaatar ikiwatokeaKuna kasumba kwamba wenyeji mechi ya kwanza huwa hawapotezi je kwa qatar itawezekana
Hawa jamaa wameingia moja kwa moja hivi kikosi cha mashindano kweli wanacho wanakutana na equador wasije kupigwa 7 bila mechi ya ufunguzi 😃
Hapo kwa Senegal nakuunga mkonoTeam Denmark & Senegal nipo hapa
German mwepesi sana sasa hivi.Sijui... ila Kombe litaenda America, hawa Brazil na Argentina wa sasa ni hatari sana.
Kama ni Ulaya basi Germany.
Hayo ni majibu mepesi mepesi ya sie waafrica kwenye mambo ambayo yanahitaji uandalizi wa maana.Mpira una dunda mkuu lolote linaweza kutokea
Hizi fainal blatter alikula dollari zake akiipeleka Qatar, nchi isyo na sifa Wala vigezo... Eti Kwenye Bid waliishinda uingereza...hadi pombe jamni khaaaWenyeji Qatar wamepiga marufuku mambo kadhaa yafuatayo yasifanyike hadharani kwani ni kinyume na tamaduni zao;
Unywaji wa pombe hadharani
Mapenzi ya jinsia moja
Kupigana mabusu hadharani
sahau kilichowakuta SOUTH AFRICA? Wamshukuru Tshabalala aliyesawazishaKuna kasumba kwamba wenyeji mechi ya kwanza huwa hawapotezi je kwa qatar itawezekana
Hawa jamaa wameingia moja kwa moja hivi kikosi cha mashindano kweli wanacho wanakutana na equador wasije kupigwa 7 bila mechi ya ufunguzi 😃
Pesa inafanya dunia izungukeSasa H
Hizi fainal blatter alikula dollari zake akiipeleka Qatar, nchi isyo na sifa Wala vigezo... Eti Kwenye Bid waliishinda uingereza...hadi pombe jamni khaaa