Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Shoga ITS A FREE COUNTRY SINCE 1961 isitoshe mtu mzima hata siku moja habembelezwi! You want in, you are in hujisikii kafie mbele vile vile! Hupunguzi wala huongezi chochote!
Hahahahaaaa! Huyo ASKutasame ni FATHER OF THE NATION, DUME LA MBEGU HILO, Usichukue pointer kwake! Hahaaaaaa! Doc i see youuuuuuuuuuu!
hahahahahaha!!!! umenichekesha sana.
ha ha ha sasa mdaiwa kama hapokei simu tena je? anaonekana tu kwenye thread za watu? deni litamuandama hadi huku....
Hahahaha jiwe likirushwa ukisikia uwiiiiiii jua lishampata MTU. Party njema team watermark.ITS A FREE COUNTRY TUTAWEKA NYUZI MPAKA MWISHO WA DUNIA IKIBIDI! Jamvi huru hili kila mtu anafanya anacjojisikia!
anabadili ID halafu anashinda jukwaa la siasa. mmu hammuoni tena.
Tulishamalizana wenyeweee!Mbona maneno makali kiasi hicho??
Hahaaaahaaaaa! Jiwe limerushwa hadharani hapa na ndo nimelidakaaa! NASHUKURU KWA WEMA WA HII PARTY! We kaa ndani tu kama utumbo inahusuuuuu? Hahaaaa! TEAM WAFU ZIKENI WAFU WENU! Halooooo!Hahahaha jiwe likirushwa ukisikia uwiiiiiii jua lishampata MTU. Party njema team watermark.
Huyu Mtambuzi atakuwa ni mmoja wa Moderator, wengine wakiweka uzi kama huu utapelekwa chit-chat haraka sana, ila huyu jamaa thread zake huwa zinaishia MMU tu! halafu pia ni mbinafsi sana. Anawa-tag watu wake halafu anasema na.,"..na wengineo" kwani hao aliowa-tag hawapo kwenye hao wengineo?
Are you invited?
Huyu Mtambuzi atakuwa ni mmoja wa Moderator, wengine wakiweka uzi kama huu utapelekwa chit-chat haraka sana, ila huyu jamaa thread zake huwa zinaishia MMU tu! halafu pia ni mbinafsi sana. Anawa-tag watu wake halafu anasema na.,"..na wengineo" kwani hao aliowa-tag hawapo kwenye hao wengineo?
Are you invited?
Hahaaaaaa! Wala hayupo hivo kabisaaa kizee cha watu! Yupo peace sanaaa humu! Hujamjua tu!Huyu Mtambuzi atakuwa ni mmoja wa Moderator, wengine wakiweka uzi kama huu utapelekwa chit-chat haraka sana, ila huyu jamaa thread zake huwa zinaishia MMU tu! halafu pia ni mbinafsi sana. Anawa-tag watu wake halafu anasema na.,"..na wengineo" kwani hao aliowa-tag hawapo kwenye hao wengineo?
Are you invited?
Mbona kama una lako jambo?
Hahahaaa! Uko Fastaaaaaa! Nakuangalia tu!
Hahaaaaaa! Wala hayupo hivo kabisaaa kizee cha watu! Yupo peace sanaaa humu! Hujamjua tu!
Si umeliona.