Are we fighting an Endless Battle?.....

Ok back to the topic

MJ1 umeleta mada nzito sana aisee... its our natural deed kuwa tulivyo na mara nyingi ukiona mwanaume anakua anabehave kivingine, utakuata hata social life yake inakua kimtindo sana

Kama una mtoto wa kiume, mchunguze akianza nursery, haitazidi wiki atakuja na kukwambia mom nina rafiki na atamtaja binti, lakini akiwa na marafiki wa kiume wenzake hata hamsini inakua very rare kuja na pride nuyumbani...

ila kwa upande wa akina dada kusema kwamba wanainfidelate simply because they miss something, hiyo ntaiqualify kwani kuna watu wameumbwa kutotulia tu
 
wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze infidelity

you can't go against mother nature na sisi hatuna ubavu huo kabisa
 
Nikiwa kama mshauri mkuu bora uwe mlokole wa kisasa.

Hivi ni vijimambo tu kikubwa uzima.

Usisahau Chuda Raha

Ni kweli Fidel ni vijimambo tu ila nikikumbuka nguvu nilizokuwaga nazitumia kupingana na hii...... ningezitumia shamba saa hizi ningekuwa mkulima tajiri.

But nafikiri bado kuna umuhimu wa kuendelea kugangamala kwenye vita hii kwani tukiwaruhusu kiwazi mbona itakuwa balaa??
 
Ok back to the topic

MJ1 umeleta mada nzito sana aisee... its our natural deed kuwa tulivyo na mara nyingi ukiona mwanaume anakua anabehave kivingine, utakuata hata social life yake inakua kimtindo sana

Kama una mtoto wa kiume, mchunguze akianza nursery, haitazidi wiki atakuja na kukwambia mom nina rafiki na atamtaja binti, lakini akiwa na marafiki wa kiume wenzake hata hamsini inakua very rare kuja na pride nuyumbani...

ila kwa upande wa akina dada kusema kwamba wanainfidelate simply because they miss something, hiyo ntaiqualify kwani kuna watu wameumbwa kutotulia tu

Na ndio maana nikawa namwabia FL1 kwamba you can't go against mother nature its there to stay
 
The Following 9 Users Say Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:

Acid (Today), Asprin (Today), bacha (Today), Bigirita (Today), Fidel80 (Today), PakaJimmy (Today), Roya Roy (Today), Teamo (Today), The Finest (Today)

Wanachama hai wote wameipongeza hii yuziful sredi. Ni vile tu mtu hawezi jigongea, MJ1 naye angeigongea..... Hii sredi ni veri yuzifuli asee!
 
Wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze Infidelity

Binafsi sina nguvu za kubishana na necha...ni suala la kuacha necha ichukue nafasi yake tu basi....
Jogoo angeweza kuzungumza angeniunga mkono...
 
Wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze Infidelity
FL1 Inasemekana kwenye kitabu kuwa .... Men want to see beyond the Stars, Not necessarily because they no longer love their wives, but because of the excitement that goes with hunting and discovery...........
 
Me loves my wife....miaka kumi rasmi leo....ngoja nikaazishe sredi LOL!
 
Ok back to the topic

MJ1 umeleta mada nzito sana aisee... its our natural deed kuwa tulivyo na mara nyingi ukiona mwanaume anakua anabehave kivingine, utakuata hata social life yake inakua kimtindo sana

Kama una mtoto wa kiume, mchunguze akianza nursery, haitazidi wiki atakuja na kukwambia mom nina rafiki na atamtaja binti, lakini akiwa na marafiki wa kiume wenzake hata hamsini inakua very rare kuja na pride nuyumbani...

ila kwa upande wa akina dada kusema kwamba wanainfidelate simply because they miss something, hiyo ntaiqualify kwani kuna watu wameumbwa kutotulia tu

.... Mh aksante but inasikitisha hii nature inavyopendelea upande mmoja..... Kweli aliye nacho ataongezewa na yule asonacho atanyang'anywa hata kile kidogo alonacho.....
 
thats the creation of god,but all in all i proud to be a woman
 
Sasa wanaume mbona mnawasemea kina dada jamani?...... Is it kwamba nimewapa green light au?.... ah

But If it is this true basi ninawaomba mjitahidi kuwafulfill mawifi zangu ili wasitoke kutafuta nje kwa kumiss something !!
sisi wala hatuna wasiwasi, they will never find it as a package, and if they are lucky, it never last.....it is all about packaging and the product is the same. REMEMBER that.

Mwanaume mwenye vitu vyote ambavyo mwanamke anavitaka ujue huyo ni biological error!
 
Hahaha Bigirita aksante
 
Ni kweli Fidel ni vijimambo tu ila nikikumbuka nguvu nilizokuwaga nazitumia kupingana na hii...... ningezitumia shamba saa hizi ningekuwa mkulima tajiri.

But nafikiri bado kuna umuhimu wa kuendelea kugangamala kwenye vita hii kwani tukiwaruhusu kiwazi mbona itakuwa balaa??
Utamu nikutoruhusu kiwazi....Unatakiwa kuelewa tu, then una-play part yako bila kuleta ukomando kwenye mkondo wa maji mengi!
 
MJ1....nadhani cha kufanya ni kutafuta 'best way' ya kutekeleza necha (nimegundua kwamba infidelity sio mila tu n necha), bila kuathiri pande husika....vitu kama safety gears etc..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom