Are we fighting an Endless Battle?.....

:A S 13:hv finest kaka,.ni uko realistic au?...ur life anacontrol mwingne?angalia asikuhelp na aza sTAFZ:tonguez:

tracy welcome to the club you will get all the realities when u are inside no regrets
 
Dears I hope wote mu wazima and had a nice weekend.

Kidogo nimechanganyikiwa hapa na ninahitaji msaada wenu bandugu......
... Currently ninasoma hiki kitabu "Men are from Space, Women Must be from Heaven" By H. Madson.

Kuna sehemu inasema .....By nature men are hunters and explorers- they tend to have several affairs (Infidelate) because they feel insecure in nature and therefore need to prove their masculinity and male ego.......

......... And for women they do so in search of something missing from their marriages either attention, caress, emotional love e.t.c.

Kama hii ni kweli is it possibe that we ladies are fighting an endless battle which we will never win? kwa kupiga vita hii nature ya wanaume kutoka nje ya ndoa zao....Si wanasema you cant fight over nature??

posting this topic is ur role in fighing the battle u (with ua fellow) will never win
 
Mjukuu unaulizia meno mdomoni?

Lini ulishawahi kusikia Mungu mama? Mungu ni Mwanaume! MUNGU BABA! MUNGU BABA WA MBINGUNI!
Na pia na siye wengine twaamini yaliyoandikwa kuwa " na tuumbe mtu kwa mfano wetu" akaumbwa Adamu ambaye ni mwanamume kisha Eva akatoka baade ubavuni mwake!! hahahahah! so muumbaji alikuwa mwanamume.
 
Hivi conclusion ya hii topic ilikuaje vile?? Men are from Mars and women from Venus?? au men are bound to infidelity na women are not... au?
 
Sasa wanaume mbona mnawasemea kina dada jamani?...... Is it kwamba nimewapa green light au?.... ah

But If it is this true basi ninawaomba mjitahidi kuwafulfill mawifi zangu ili wasitoke kutafuta nje kwa kumiss something !!

Yaaani! most of their statements zinaashiria kua assumption ya H. Madson inaweza kua kweli.
 
Hivi conclusion ya hii topic ilikuaje vile?? Men are from Mars and women from Venus?? au men are bound to infidelity na women are not... au?

Unajua ni kwanini inasemekana hivyo? Ni sababu ya ile hali ya mwanaume kushindwa kumuelewa mwanamke and vice versa.

Mfano; umeonana na a guy you really like mmehang out but umeshindwa kumsoma kama he is into you.

The guy anapomuaga the lady nakumwambia "see you later" JE is it see you later as in tonight or later as sometime in this lifetime?
 
Nasikitika sana kuona kwamba wanaume wa humu ndani wanafurahia kitendo cha wao kutoka nje eti kwa sababu tu wako entitled. Imeandikwa wapi? katika kitabu kipi cha DINI Qoran au Biblia ipi? Hivi huyo aliyeleta hii thread ni mwanamke au mwanamme?

Naomba nikujibu kama ifuatavyo: Are you married? If yes unapohalalisha maneno yaliyoandikwa na mwanadamu aliyezungukwa na upofu, ulemavu wa kufikiri, asiyekuwa na chembe hai ya fikira what is your expectations? If not; imagina una mume anatoka nje ya ndoa na wewe unafurahi kwa sababu ulisoma kitabu kikisema hivyo, where are you? zinduka best ukili mbaya wa maneno uliyowahi kutamka na kuyakubali basi ujue yatakufata mpaka mwisho wa maisha yako.

Wanaume nyie ni vichwa vya familia Imeandika kwenye biblia tangu enzi hizo, hakuna wa kuibadili), kama head of the family unapoenda mrama basi ujue na wafuasi wako wote wametenda dhambi. Wnawake ndiyo nguzo za familia kwenye malezi ya watoto na familia kwa ujumla kama utapotoka eti kwa sababu mumeo anaenda nje na wewe utoke nafikiri utakuwa hujamtendea haki.

Wanawake wengi wamekaa miujiza itendeke bila maombi, siku hizi naona hata kitchen party zinafundisha eti lazima unapoolewa uwe na "KDIMUMU" ili nyumba yao iwe stable, hivi kweli kuna kitabu chochote cha mwenyezi Mungu kinahalalisha UZINZI? Enyi kizazi chenye upofu, fungueni macho muone, acheni kusoma vitabu vinavyopotosha jamii, soma vitabu vyenye mafundisho mema kwa jamii na malezi mema kwa jamii zenu.

Wanaume mnapenda kwenda nje ya ndoa zenu nendetu tu kwa sababu nafsi yako hai haina utii mbele ya mwenyezi Mungu, na kwa kufanya hivyo unajipalia makaa ya moto siku yako ya mwisho. NI vizuri uanze kujifunza kuridhika na ulivyonavyo, kama hana hadhi ya vile unavyopenda ebu mpeleke shule kidogo ya kufanya yale unayopenda ili ujipunguzie hizo dhambi unazojitwika bila sababu. Sdihani kama wanawake tuko dull kiasi cha kutokufundishika. Kaeni chini msome maneno ya Mwenyezi Mungu mjue ni wapi mmepotoka, maisha yende vizuri.

Mwanajamii1 sijapenda thread yako, haina mafundisho yoyote kwa jamii zaidi ya kupotosha na kuchochoea vijitabia vya kizinzi kwa wanaume. Ona wote walivyokuitikia as if ndiyo umekubaliana nao kwa wao kufanya hivyo. Kabla ya kutoa thread angalia sana inawezaje kuokoa kizazi hiki chenye laana ya tamaa za mwili, fikra ndogo, kutokuwa n autii kwa nafsi zao wenyewe na Mungu?

Kama unaweza kusoma hizo novel zako zenye mafundisho ya hivyo basi soma hiki nacho ili uje ubatilishe lile unalosema hapa. THE WOMAN OF PROVERB 31" tuletee feedback hapa ili wajue who is a woman and its responsibilities to the family. Kama wewe ni wa kike basi utajua kosa lako liko wapi kuleta thread kama hii.

Nisamehe kama nimekukwaza! that is the reality!
 
hapa unamjibu nanni?? wanaume, mwanaume MJ1 au...........
 
Unajua ni kwanini inasemekana hivyo? Ni sababu ya ile hali ya mwanaume kushindwa kumuelewa mwanamke and vice versa.

Mfano; umeonana na a guy you really like mmehang out but umeshindwa kumsoma kama he is into you.

The guy anapomuaga the lady nakumwambia "see you later" JE is it see you later as in tonight or later as sometime in this lifetime?

siku hizi hakuna cha dume wala jike..... wote wasanii tu, na ukikuta asiye msanii unasali na kushukuru
 
Katika hayo maelezo toa kabisa wasanii mana hao ndio level nyingine kabisa. Hapa nazungumzia wale ambao genuinly wanataka kua katika relationship au tayari wapo katika relationship na pia toa kabisa wale wa kuchunana. I wish zile relationship ambazo zipo genuine zingekua zinadum mana zipo adimu but bahati mbaya nazo pia sometimes zinavunjika kwa sababu tu ya communication break down na hali wanapendana.
 
Nasikitika sana kuona kwamba wanaume wa humu ndani wanafurahia kitendo cha wao kutoka nje eti kwa sababu tu wako entitled. Imeandikwa wapi? katika kitabu kipi cha DINI Qoran au Biblia ipi? Hivi huyo aliyeleta hii thread ni mwanamke au mwanamme?

Naomba nikujibu kama ifuatavyo: Are you married? If yes unapohalalisha maneno yaliyoandikwa na mwanadamu aliyezungukwa na upofu, ulemavu wa kufikiri, asiyekuwa na chembe hai ya fikira what is your expectations? If not; imagina una mume anatoka nje ya ndoa na wewe unafurahi kwa sababu ulisoma kitabu kikisema hivyo, where are you? zinduka best ukili mbaya wa maneno uliyowahi kutamka na kuyakubali basi ujue yatakufata mpaka mwisho wa maisha yako.

Wanaume nyie ni vichwa vya familia Imeandika kwenye biblia tangu enzi hizo, hakuna wa kuibadili), kama head of the family unapoenda mrama basi ujue na wafuasi wako wote wametenda dhambi. Wnawake ndiyo nguzo za familia kwenye malezi ya watoto na familia kwa ujumla kama utapotoka eti kwa sababu mumeo anaenda nje na wewe utoke nafikiri utakuwa hujamtendea haki.

Wanawake wengi wamekaa miujiza itendeke bila maombi, siku hizi naona hata kitchen party zinafundisha eti lazima unapoolewa uwe na "KDIMUMU" ili nyumba yao iwe stable, hivi kweli kuna kitabu chochote cha mwenyezi Mungu kinahalalisha UZINZI? Enyi kizazi chenye upofu, fungueni macho muone, acheni kusoma vitabu vinavyopotosha jamii, soma vitabu vyenye mafundisho mema kwa jamii na malezi mema kwa jamii zenu.

Wanaume mnapenda kwenda nje ya ndoa zenu nendetu tu kwa sababu nafsi yako hai haina utii mbele ya mwenyezi Mungu, na kwa kufanya hivyo unajipalia makaa ya moto siku yako ya mwisho. NI vizuri uanze kujifunza kuridhika na ulivyonavyo, kama hana hadhi ya vile unavyopenda ebu mpeleke shule kidogo ya kufanya yale unayopenda ili ujipunguzie hizo dhambi unazojitwika bila sababu. Sdihani kama wanawake tuko dull kiasi cha kutokufundishika. Kaeni chini msome maneno ya Mwenyezi Mungu mjue ni wapi mmepotoka, maisha yende vizuri.

Mwanajamii1 sijapenda thread yako, haina mafundisho yoyote kwa jamii zaidi ya kupotosha na kuchochoea vijitabia vya kizinzi kwa wanaume. Ona wote walivyokuitikia as if ndiyo umekubaliana nao kwa wao kufanya hivyo. Kabla ya kutoa thread angalia sana inawezaje kuokoa kizazi hiki chenye laana ya tamaa za mwili, fikra ndogo, kutokuwa n autii kwa nafsi zao wenyewe na Mungu?

Kama unaweza kusoma hizo novel zako zenye mafundisho ya hivyo basi soma hiki nacho ili uje ubatilishe lile unalosema hapa. THE WOMAN OF PROVERB 31" tuletee feedback hapa ili wajue who is a woman and its responsibilities to the family. Kama wewe ni wa kike basi utajua kosa lako liko wapi kuleta thread kama hii.

Nisamehe kama nimekukwaza! that is the reality!
Hivi ilikuwaje sikuiona hii comment yako Da Caro?
Kwanza kabisa ninapenda kukuomba msamaha kwa kukukwaza kwa kuileta hii thread isiyokuwa na mafundisho yoyote katika jamii. NISAMEHE DADA YANGU

Ila ukisoma vizuri mie nimeiweka hapa kwa kuuliza sio kushauri. Nimeona kwenye kitabu nikasoma nikashangaa ndio maana nikaja kutaka mawazo ya wengine ili iwe rahisi na mie kumchallenge huyu mwenye kitabu hicho.
Kuhusu homework uliyonipa dada nitaifanyia kazi
Na mwisho nakubali kuwa umenikwaza kwa kuniattack kwa kitu ambacho hukuwa umekielewa vizuri kwa nini nimeilate hapa, hata hivyo nimekusamehe.

Ubarikiwe.
 
SMH...it is an endless battle....i like the honesty side of most men in JF.....eeeh!
 
Back
Top Bottom