Are we fighting an Endless Battle?.....

Wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze Infidelity

Hivi huyu mwanaume hizo cheating anazifanya na jinsia ipi?
 
hahaha wanaume wote wa humu ndani wamefurahishwa na hii thread. Ila aliyeitoa hakusema mmpewa green light kutoka nje ya ndoa zenu. Anashangaa kwamba kutoka nje ya ndoa ni nature ya wanaume.

Du! hata mie nguvu zimeisha, ngoja tuone kama tutafika kwa nature hizi hizi.

tutafika tu, vigezo na masharti vikizingatiwa....hongera MJ1 kwa sredi hii

Ila hapo alipodai kwamba ni kwa sababu ya insecurity,,,,ninapadoubt ngoja nitafute journals....
 
Lady, naona umewapa hawa mabwana a green light to justify their unspeakable deeds,,..God wasnt stupid to say one- for- one and not one-for-two or three or four .....He created men, so he knows men better than men know themselves. It isnt nature that justifies your unlimited sexual desires but your selfish egos. And be informed, that you are not doin better in-doors, huwa tunawavumilia tuu but you are no good at all,......sasa huko nje sijui mnachemshaga vp ndo maana wanawachukuliaga hela zenu tuu, shame, lol!!:hand:
 
mie muislamu
 
This is exactly my point..... Darling si mie nilotoa green light na ndio maana nikatoa angalizo.... ni kitabu bwana.
 
Dah!MJ1...kuhusu alivyoandika huyo m2 kwa mtazamo wangu he is just like any other guy in the world..mangapi wanaume wanafanyia wanawake dat sio mazuri,wamama wamebeba mengi kifuani.mind u, kua unfaithful ni moja ya dhambi and kidunia ni part of domestic suggregation,.hivi how does a man feel siku ya ndoa yake?amekua mtumwa?if not,y do you go around looking for other women afu jioni unarudi to your wife and children,bila aibu you are the perfect daddy and hubby..there are alot of women that suffer bkoz of this thing kold ego ya mwanaume that today wako vitandani suffering from AIDS kisa their husbands..am not in fever of infidelity koz of ego,kwa women or men..show your ego by being there for your family,taking care of every kind of business at home,making your relationship work,..be an example to your kids..ckatai kuna kuteleza lakini making it a daily schedule hapana...........thanks MJ1 for the thread.:tonguez::tonguez:
 
Hivi nitafanya nini niikimbie hii necha dah kila nikitaka kuikimbia naona ndio inazidi kuniita
 
Lady, naona umewapa hawa mabwana a green light to justify their unspeakable deeds,,..God wasnt stupid to say one- for- one and not one-for-two or three or four .....He created men, so he knows men better than men know themselves. It isnt nature that justifies your unlimited sexual desires but your selfish egos. And be informed, that you are not doin better in-doors, huwa tunawavumilia tuu but you are no good at all,......sasa huko nje sijui mnachemshaga vp ndo maana wanawachukuliaga hela zenu tuu, shame, lol!!:hand:

NATURE inatu blow like a wind
 
finest,.piga picha mama nanilii ndo anado wat you are doing au look at your kids and jiulize your role au fikiria how your gf au wife anakutrust au the vows you took mbele ya wazazi wenu au unajiskiaje ukapita barabarani and unakutana na women kama kumi hivi wakujua in and out au jinsi your wife anavochukuliwa na watu bkoz shz ignorant of your your behaviour au pesa unazotumia koz of the relationshps u have,em zijumlishe kdg kama usingenunua gari au kwanini ulioa kama unapata vingne nje afu they are d sem,huez kumfanya your yf au gf awe wat you are looking 4?,.but above all Mungu atusaidie wanadam cc.
 
Unajua ukiwa member wa ISC unatimiza wajibu wako pande zote mbili bila kuwa na chembe chembe zozote za wewe kuhisiwa na pande husika una kuwa commited kwa kocha wako pia na kocha wa kigeni naye anapewa nafasi ya kuonyesha ujuzi wake kwingine kote itakuwa tunasawazisha na greda ili barabara ipitike vizuri
 
:A S 13:hv finest kaka,.ni uko realistic au?...ur life anacontrol mwingne?angalia asikuhelp na aza sTAFZ:tonguez:
 
Unajua ukiwa member wa ISC unatimiza wajibu wako pande zote mbili bila kuwa na chembe chembe zozote za wewe kuhisiwa na pande husika una kuwa commited kwa kocha wako pia na kocha wa kigeni naye anapewa nafasi ya kuonyesha ujuzi wake kwingine kote itakuwa tunasawazisha na greda ili barabara ipitike vizuri

hapa ndo pale wazazi walisema kua uyaone mwanangu:A S 13:mauvivu huanza polepole
 
MJ1, Ni ukweli ninaouona katika uhalisia!kucheat kwa wanawake huwa wanafeel gaps kama ulivyotaja, na kwa wanaume kitabu kimejieleza though in favour of men, but very realistic.Sasa hatuwezi kushindana nao,hata sulemani aliyekuwa na hekima nyingi sana alikuwa na wanawake wengi pia!Daudi the same etc etc so its nature and i can't compete to it zaidi ya kumkumbusha uaminifu na kumuombea.I wish ningekipata hicho kitabu lkn, ningemake sure hakionekani na mwanaume.
 
Back
Top Bottom