Are we fighting an Endless Battle?.....

Nilijua wapo wenzio wanakuja kukupa suport
me ngoja nione mnavyoflow kwanza
FL1 hebu tukitetee mydia hawa wanatake advantage ya umasculinity wao je na sie tutake advantage ya utender wetu?..... tuwe na affairs kwa kisingizio cha kumiss something in our marriages? ...... Off course we are missing a lot kwa kweli (watafulfill saa ngapi wakati wako buzy kuinfidelate?) lakini cha ajabu akikukamata unacheat hakuna msanaha..... this isnt fair kwa kweli bros.
 
Sasa wanaume mbona mnawasemea kina dada jamani?...... Is it kwamba nimewapa green light au?.... ah

But If it is this true basi ninawaomba mjitahidi kuwafulfill mawifi zangu ili wasitoke kutafuta nje kwa kumiss something !!

Well guidelines za topic hii zinakupa green light moja kwa moja hakuna argument yoyote ni kuaccept hii kitu and you move on
 
Is our mighty chairman informed? We need to set a meeting with this new born queen....Of course hakutakuwa na kuhamishana meza!:llama::llama:
HEHEHEHE!
usisahau kuwa queens are meant for the kings!MIND YOU BROTHER!.....

I BEG OOOOOOOOOOOOOOOOOOH
 
Roya ........ kusema ukweli nadhani very soon nitaamua kuokoka maana naona sasa sina jinsi yaani hiki kitabu kimenimaliza kabisa nguvu zangu za kike.

I think I dont want to fight with you anymore............. lol (kama nawaona wapwa wanavyofurahia!!)

You are already SAVED grandie! This is how ladies are saved..... Njoo chukua upako wako hapa mwarubaini guest and rest house!
 
fl1 hebu tukitetee mydia hawa wanatake advantage ya umasculinity wao je na sie tutake advantage ya utender wetu?..... Tuwe na affairs kwa kisingizio cha kumiss something in our marriages? ...... Off course we are missing a lot kwa kweli (watafulfill saa ngapi wakati wako buzy kuinfidelate?) lakini cha ajabu akikukamata unacheat hakuna msanaha..... This isnt fair kwa kweli bros.
mayo neneeee.... :a s 13:
 
You are already SAVED grandie! This is how ladies are saved..... Njoo chukua upako wako hapa mwarubaini guest and rest house!
HEHEHE!
mkuu unasahau kuwa queens are ONLY MEANT FOR THE KING!

na unajua kuwa i am the ''ONLY KING'' HEREIN!.....

I AM THE ''MSWATI'' bana:llama:
 
HEHEHE!
mkuu unasahau kuwa queens are ONLY MEANT FOR THE KING!

na unajua kuwa i am the ''ONLY KING'' HEREIN!.....

I AM THE ''MSWATI'' bana:llama:

Hivi rule no 3 ina limitations?
 
HEHEHE!
mkuu unasahau kuwa queens are ONLY MEANT FOR THE KING!

na unajua kuwa i am the ''ONLY KING'' HEREIN!.....

I AM THE ''MSWATI'' bana:llama:

Kamati itengenezee separate rule kwa ajili yako
 
mayo neneeee.... :a s 13:
Vipi Kamanda mbona.....?

kitabu kinaendelea kusema kuwa Men are constant liars but women tend to lie before marriage but after getting married they NEVER lie. So kinashauri women tusiwetunachukulia too serious mkicheat au mkisema uwongo as ni nature yenu... ni kweli?
 
hahaha wanaume wote wa humu ndani wamefurahishwa na hii thread. Ila aliyeitoa hakusema mmpewa green light kutoka nje ya ndoa zenu. Anashangaa kwamba kutoka nje ya ndoa ni nature ya wanaume.

Du! hata mie nguvu zimeisha, ngoja tuone kama tutafika kwa nature hizi hizi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom