Ardhi sio uwekezaji kwa mtu anayejitafuta

Ardhi sio uwekezaji kwa mtu anayejitafuta

Hakuna uwekezaji usiokuwa na risk.
Ardhi haina formula ya kuongezeka thamani, unaweza kununua leo kwa sh mil 5 ukauza kesho kwa mil 12. Sio lazima kungoja miaka 14 ili thamani iongezeke. Vilevile ardhi ni rahisi kuiongeza thamani kwa vitu vidogovidogo kama kupanda miti.
Ardhi bado ni njia nzuri sana ya kutunza na kukuza thamani ya fedha.
 
  • uwekezaji kwenye ardhi pia una risk
  • unaweza kununua ardhi kumbe ni ardhi iliyotengwa Kwa ajili ya maeneo ya wazi, sehemu ya viwanda,hifadhi ya barabara,hifadhi ya vyanzo vya maji, hifadhi ya miundombinu ya maji like dawasa, pia kunaweza kukawa na migogoro ya ardhi.
Hii sio shidah. Kwan yote hayo yanaepukika before hata hujanunua iyo ardhi.
 
Hii sio shidah. Kwan yote hayo yanaepukika before hata hujanunua iyo ardhi.
  • yana epukika kweli lakini sio yote.
  • Wakazi wa kimara waliobomolewa nyumba hawakujua upana wa barabara
  • Kuna utapeli pia kwenye ardhi i.e double allocation unanunua ardhi ya mtu
-Cha muhimu ni kufanya diversification
- Kwa mtu anayejitafuta kama sisi vijana kununua ardhi halafu usubiri upande thamani wengi wetu tunaona sio
 
Izi shida nyingi unasema zinaepukika ndg may be kama mtu hafati utaratibu unaotakiwa kisheria.

Ila ni kweli kununua ardhi kwa kijana ambaye ndo anajitafuta sio uwekezaji wenye ambao unaweza kumbadisha life. Ila kama mtu hana maarifa mengine especially ya biashara ni bora akawekeze tu huku kwa ardhi coz biashara haifanyi kwa kubahatisha au kuamka tu na kuaza ni risk so maarifa ni y mhimu ili kuminimaizi izo risk au kuepuka ikibidi.
 
Habari zenyu wana JF

Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.

Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
Huo ndio ukweli mkuu kuwekeza kwenye real estates kunahitaji ambao tayari wana mitaji mikubwa ila kwa mtu anaeanza yani ndio kwanza umebahatisha milioni 5 za kujiunga unga tayari ukimbilie kwenye ardhi ambayo itakuja kukupa faida baada ya miaka 10 hii sio sawa, kwa mtaji mdogo sio sawa nakataa.
 
  • uwekezaji kwenye ardhi pia una risk
  • unaweza kununua ardhi kumbe ni ardhi iliyotengwa Kwa ajili ya maeneo ya wazi, sehemu ya viwanda,hifadhi ya barabara,hifadhi ya vyanzo vya maji, hifadhi ya miundombinu ya maji like dawasa, pia kunaweza kukawa na migogoro ya ardhi.
Ni kweli risks zipo lakini kwa mtu makini anaweza akaziepuka kwa kuzingatia utaratibu wa manunuzi ya ardhi mfano kabla hajalipa kuuliza majirani wa eneo husika kinachoendelea kwenye ardhi anayotaka kuinunua so kama pana mgogoro unaambiwa mapema.

Kuhusu kutengwa kwa shughuli za kijamii anaenda serikali ya mtaa husika kuulizia ramani ya eneo zima na kuangalia,ardhi bado ni salama sana kuweka hela japo ajali inaweza kutokea pia.
 
Acha kupotosha watu, mwaka huu nimeunguza karibia milioni 8 Kwa kufosi biashara.

Akili inanituma kuwekeza kwenye ardhi ( viwanja na mashamba) Kwa sasa. Huyo ndiyo mkombozi asiyesaliti.
 
Acha kupotosha watu, mwaka huu nimeunguza karibia milioni 8 Kwa kufosi biashara.

Akili inanituma kuwekeza kwenye ardhi ( viwanja na mashamba) Kwa sasa. Huyo ndiyo mkombozi asiyesaliti.
Sawa kaka but ni muhimu kuwa financially stable kabla ya kuwekeza kwenye ardhi
 
Habari zenyu wana JF

Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.

Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?

Upo sahihi in general view.

Maybe in some special circumstances ambapo inaweza ikaendana na Marengo na mazingira ya mtu husika.
 
Sawa kaka but ni muhimu kuwa financially stable kabla ya kuwekeza kwenye ardhi
Mkuu!
Ukifanya risk estimation kati ya biashara na ardhi, biashara is too risky compared to ardhi.

Ardhi inaweza kukupa double or triple return within 3- 4 years.
 
Ni kweli risks zipo lakini kwa mtu makini anaweza akaziepuka kwa kuzingatia utaratibu wa manunuzi ya ardhi mfano kabla hajalipa kuuliza majirani wa eneo husika kinachoendelea kwenye ardhi anayotaka kuinunua.

Kuhusu kutengwa kwa shughuli za kijamii kwenda serikali ya mtaa husika kuulizia ramani ya eneo zima na kuangalia,ardhi bado ni salama sana kuweka hela japo ajali inaweza kutokea pia.
- Usiende serikali ya mtaa kwenda kuulizia matumizi ya eneo mara nyingi Huwa wanadanganya Ili wapate ile % yao, manispaa au halmashauri ya maji.
-unatakiwa pia kufanya investigation of title kwenye masuala ya umiliki wa ardhi mfano.kama ni ardhi ya Wana ndoa ni lazima kuwe na ridhaa ya mwenzi, usipofanya hivyo utapelekwa Mahakamani kufunguliwa kesi za Objection proceedings na mauzo kubatilishwa
  • Kama ni ardhi iliyopimwa unatakiwa uangalie existence of mortgage/rehani Kwa sababu unaweza kuuziwa ardhi yenye rehani benk
  • pia zingatia ownership i.e co ownership of land, nk
 
Shida ni baada ya mda mrefu kama hapo ni 14yrs
Kwenye mfano wangu pale juu yule aliyepewa 63 mill assuming alipanunua kwa 5mill (japo haikufika kwa sababu viwanja vyetu vinafanana ukubwa kidogo na muuzaji alikuwa mmoja) baada ya 14 years amekuja kupauza 63mill kwamba 63-5=58 yaani faida 58mil unataka kusema huu ni uwekezaji wenye hasara?

Kiwanja kimekaa tu halipii kodi,halipii ulinzi maji au license?mkuu hesabu zako za kwenye makaratasi huku mitaani hatuzizingatii sana hiyo 5mill aliyoiwekeza wakati ule isingetosha kuanzisha biashara itakayompa leo faida ya million 58 kwa wakati mmoja wakati faida aliyoipata kutokana na mtaji wa mill tano anaweza akaanzisha biashara ya kumpa faida ya huo mtaji kila mwezi.
 
Habari zenyu wana JF

Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.

Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
Pole sana kwa ushauri ardhi ni asset sahihi kabisa kati ya asset zote kwanza inapanda samani kila kukicha
 
Kwenye mfano wangu pale juu yule aliyepewa 63 mill assuming alipanunua kwa 5mill (japo haikufika kwa sababu viwanja vyetu vinafanana ukubwa kidogo) baada ya 14 years amekuja kupauza 63mill kwamba 63-5=58 yaani faida 58mil unataka kusema huu ni uwekezaji wenye hasara?

Kiwanja kimekaa tu halipii kodi,halipii ulinzi maji au license?mkuu hesabu zako za kwenye makaratasi huku mitaani hatuzizingatii sana hiyo 5mill aliyoiwekeza wakati ule isingetosha kuanzisha biashara itakayompa leo faida ya million 58 kwa wakati mmoja wakati faida aliyoipata kutokana na mtaji wa mill tano anaweza akaanzisha biashara ya kumpa faida ya huo mtaji kila mwezi.
  • hoja yake ni inachukua muda mrefu,
  • na Msingi wa thread hii ni kwamba kama bado unajitafuta umepata hela ya ngama letsay 4m kuinunulia ardhi halafu usubiri ipande thamani ni changamoto kidogo.
-
 
Usitumie nguvu kumwelekeza mtu
 
  • hoja yake ni inachukua muda mrefu,
  • na Msingi wa thread hii ni kwamba kama bado unajitafuta umepata hela ya ngama letsay 4m kuinunulia ardhi halafu usubiri ipande thamani ni changamoto kidogo.
-
Mkuu kutafuta hela hakuna kituo maana tunaandika hapa kana kwamba mtu akipata hela yake kidogo basi atakuwa ameji-limit kwamba asiendelee kufanya kile alichofanya kikampa hiyo hela eg ajira,winga au udalali basi atoke akaanzishe biashara,ila tujue pia kwamba kwenye biashara kadiri mtaji unavyokuwa mdogo ndivyo inavyompa ugumu mmiliki kuiendesha na kuwa failed.

Hata wengi walionunua hizo ardhi na leo wanaziuza kwa bei kubwa hawakuwa na lengo la kuziuza au hawakujua zitakuja kuwa na thamani kubwa kiasi hiki sababu hawakuzinunua kibiashara,my point is mtu akipata hiyo mill 4,(sisemi 20mil sababu huo tayari ni mtaji japokuwa kama anahisi hana idea sahihi ya biashara bora na yenyewe akaitia kwenye ardhi) aiweke kwenye ardhi huku akiendelea kujazia mtaji siku akiona anaweza akafanya kitu akauze kiwanja ajazie afungue biashara kuliko kulazimisha biashara na mtaji mdogo.
 
Back
Top Bottom