Ardhi Mwanza haishikiki!

Ukwel mtupu

Member
Jan 30, 2014
40
8
Wakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji.

Cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa Nyamadoke karibu na Nyamhongoro ambacho upana ni hatua 26 na urefu ni 30 ambapo kwa kujenga nyumba ya kawaida kinatosha lakin kichekesho ni kwenye bei naambiwa milion 1 na nusu hakuna maji wala umeme pia hakujapimwa.

Kwa kwel sikuamin macho yangu ikabid niulize tena nikaambiwa vle vle, nimechanganyikiwa mpaka sasa najiuliza sijui nichukue au niache na kama hali ndiyo hii sijui baada ya miaka 3 hali itakuwaje Mwanza kwa upande wa ardhi?
 
Scramble for Mwanza ilianza early 2005!
Na, jiji-ardhi; ni among of corrupted dept in the country.
Jaruba langu la mpunga nililiachia kwa 40,000; niliporudi after 10 yrs; linauzwa 30millions! Najuuuuta!

Mmmmmh pole mkuu!!!
 
Chukua faster kabla watu hawajasikia, tena usishangae kesho ukirudi ukakuta ni shiling 3m. Mji wa mwanza unakuwa sana kwa kasi ya ajabu hiyo ni bei ya kutupa
 
Kwan arusha pakoje huko mkuu???

Nchi nzima hapa bongo ughali wa Ardhi upo Arusha,hicho jamaa anachosema m 1.5 huko unapigwa m 10-15 na watu hawaulizi punguzo.Inayofuata nafikiri ni Kilimanjaro.Hizo sehemu nazipend ila siwezi jenga huko,gharama mnoooo???
 
Kalipie haraka sana hiyo bei ni sawa na bure aisee, hakuna mji ardhi ghali kama dar es salaam arusha inasubiri
 
Nchi nzima hapa bongo ughali wa Ardhi upo Arusha,hicho jamaa anachosema m 1.5 huko unapigwa m 10-15 na watu hawaulizi punguzo.Inayofuata nafikiri ni Kilimanjaro.Hizo sehemu nazipend ila siwezi jenga huko,gharama mnoooo???


Hicho kiwanja kwa Arusha kitafika hadi 20mcatapila au zaidi kidogo. Viwanja bei ni kubwa sana Arusha
 
Back
Top Bottom