Ujenzi wa Nyumba za chini ni gharama sana kwa Taifa

PhD PM

Senior Member
Apr 29, 2019
112
226
Napongeza juhudi za serikali yetu kwa hili. Tumeshuhudia miradi mikubwa ya nyumba za ma askari Dar na ufunguzi wa nyumba baadhi kule Musoma na IGP. Ulinzi ni mhimu sana kwa Taifa. Naomba tuyathamini sana majeshi yetu yote.

Leo tumeshuhudia ufunguzi wa Nyumba 114 za Polisi Mkoani Geita na Mheshimiwa Rais wetu , Dr. John Pombe Magufuli. Zote ni za chini. Majuzi pia nilishihudia picha mbalimbali za Hospitali (kituo cha Afya) UKEREWE. Kile cha ahadi ya Dr. JPM baada ya kutokea ajali ya kivuko ziwa Victoria Mwaka jana, Sekondari Maalum inayojengwa Dodoma, Hospitali mbalimbali nchini (mf. Hospitali ya Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Mara,-Musoma, Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana-Mwanza, Hospitali ya Wilaya Tarime, nk), shule mbalimbali nchini (Primary na Secondary hata vyuo), Watumishi House - Kisesa Mwanza, PPF Houses -Buswelu -Mwanza, nk. Zote ni za chini.

Majengo ya hivi ni Mengi sana kote nchini. Hiyo ni mifano michache tu.

Ujenzi huu ni gharama sana kwa Taifa.

1. Ujenzi huu hutumia mali ghafi nyingi sana Ukilinganisha na ujenzi wa Gorofa. Mf. Mbao, rangi, nondo, Ciling Boards, misumari, taa za ndani/corrido, cement, fensi, mabati (vigae), idadi ya mafunfdi, muda wa ujenzi, nk. Hizi zote ni gharama kubwa. Ujenzi wa gorofa unaweza kupunguza gharama za ujenzi kati ya 30% hadi 40%.

Kwahiyo Billion 1 unaweza kujenga jengo 1 kubwa na la kisa tofauti na ujenzi wa vijumba vingiii utadhani Kambi za wakimbizi au nyumba za Waganga wa jadi!

2. Matumizi ya hovyo ya ARDHI. Ardhi ni rasilimali isiyo ongezeka (ni fixed). Mungu ametujalia sana Tz tuna ardhi kubwa . Kuna baadhi ya nchi kama China, nk, hufanya Landreclamation kupata ardhi kutoka baharini ili raia wapate pa kuishi au kambi za jeshi zipate kuishi. Nchi kama Uingrreza , treni za mwendo kasi hupita Ardhini- ili juu ya ardhi shughuli zingine za kiuchumi na za kijamii ziendelee kama kawaida. Nchi kama India, China, hata Kenya huchoma maiti kupunguza matumizi ya hovyo ya ardhi. Regional Engineer wa Tanzania ana sambaza tunyumba 114 katika ekari 10! Ili hali kiwanja cha 40*50 tu kinge beba vinyumba vyote. Hatujui thamani ya ardhi kabisaa!

3. Huu utitiri wa Nyumba za chini nchini, za raia wa kawaida na za serikali ni gharama ki usalama. Hasa sulua la Uokoaji, kugawa ulinzi kwa wote, miondo mbinu ya maji taka na salama (kwa afya inakuwa changamoto). Nyumba 1 ni rahisi hata SUMA JKT wawili (2) kuliinda. Tumshukru Mungu hatuna matukio ya Kigaidi. Binafsi na vishukuru vyombo vya ulinzi kwa hili. Pongezi kwenu.

4. Huu utiriri wa vinyumba ni uchafu kwa mji. Miji mikubwa hupambwa kwa By-passes (madaraja ya juu) nzuri, (achanana na hiyo By-Pass ya mfugale ya kishamba), barabara zilizo chorwa na kusanifiwa vizuri, magorofa mazuri na marefu yenye Design tofauti tofauti na za kuvutia. Tu design vitu vya Karne ya 21.

Huu utitiri baada ya miaka 20 ita bidi vibomolewe. Vitakuwa outdated! Angalia Kambi ya Polisi ya Mabatini Jijini Mwanza , nyumba hata hutamani kuziangalia. Utadhani za mwaka 1984!

Changamoto ni zipi?
1. Architect, Designers, Consultants, na Engineers wengi hawana Exposure/out-country training. External training ni mhimu sana au hawasafiri kujifunza. Nyerere alisomesha watu Russia, UK, China , nk ili ku transfer Technology na maarifa. Leo tume mpuuza Mwl Nyerere. Mtu kazaliwa Morogoro kasoma UDSM. Kaajiriwa Jiji la Dodoma. Hata kujaribu UNIQUE design ana ogopa. Either lita anguka au haelewi au kuogopa mzigo wa lawama (kesi), nk. Hata Traffic Jam ya Dar na Mwanza chanzo chake ni Designers wabovu! Barabara zimenyooka utadhani fimbo. Mwanza siji wana Permanent Contractor sijui walimtoa kwa MUNGU(NYANZA ROAD)!!!! Tujifunze kwa jirani zetu hapa karibu, kwa nauli ya Tshs 100,000 kwa basi. Mombasa Road, Thika Road, na Jogoo Road. Hii sekta kw sasa kuna mwamba 1, Mchina. Wana Goal yao 1 (One Belt one Road).

2. Sera na miongozo ya majenzi ya serikali au ya Makazi iliyo pitwa na wakati (Oudated). Kama waida zote zina miongozo yake ya Majenzi. Na hii awamu ilivyo kila mtu ni muoga hata ile idea ya innovation imepotea. No try culture! Na uvivu wa watumishi wa Serikali kudadisi na kujifunza vitu vipya ni tatizo pia. Wao wana uhakika wa mshahara. No hustle! Hata short course mtu hawezi jilipia kusoma hadi aambiwe na muajiri au asomeshwe au alazimishwe! Wote wanasubiria JPM awaambie jengeni choo cha mashimo 30!

3. Kipato. Watanzania wengi wetu karibu 95% wote ni maskini. Gari ni za mkopo, nyumba za mkopo, mshahara kidogo nk. Benki gani ikukopeshe mil 700? Hivyo ujenzi wa gorofa tuna shindwa. Kenya karibia Nairobi nzima (iwe Mombasa Road, Thika Road, Jogoo Road,nk) ni gorofa tu. Tena za watu binafsi, hasa APARTMENTS. Mtanzania mwenye biashara jenga gorofa lako refu pangisha. Ni bisshara nzuri sana. Huangaiki , hela inaingia tu ume lala. Jenga hadi gorafa 10 juu. Majengo haya hupamba mji.

4. Rigidity/inflexibility of ideas.
5. Lack of Exposure.
6. Mipango miji. Nchi nzima mipango miji ni mzigo. Ardhi haijapimwa, njia hakuna-watu wana bomolewa nyumba zao wao kucha nzima wame kaa maofisini tu. Hawana ushirikiano mzuri na TANROADS, MAJI, RAIA, na TANESCO.

Ili kufanikiwa ni lazima kuondokana na changamoto hizo hapo juu na mengine mengi.

Mfano Taifa kuwa na Thinking Tanks wa nchi. Mf. Watu 200 hivi, kufikiria kwa niaba ya nchi. Je Tz ya miaka 100 iweje? JPM hawezi elekeza kila sekta. Zingine hajui. Pia wanasiasa na wakuu wa mikoa/Wilaya kufanya kazi zao na waache wataalam wafanye kazi zao.

Ili tuwe na miji mizuri na ya kuvutia, yatupasa kuwa na Designers wazuri.

Naamini wote kwa pamoja, tuna ijenga Tanzania nzuri.
 
Wasomi wa Tanzania wanapitia huu uzi wakiwa ndani ya shuka, naona umewapasua pasua hadi si vizuri. Ila umesema kweli Hawa wasomi wetu architectures na civil ni sufuri bin sufuri kichwani wanashindwa hata na mafundi mshindo, hakika wajitathimini.
 
Kweli kabisa angalia kama zile flati za Zanzibar alizojenga karume hivi zingejingwa nyumba za chini ingekuwaje

Sehem kama BUGURUNI serikali ingejenga flati 3 tu msongamano wote ungeisha na zingepatikana sehem za wazi kwaajili ya michezo mbali mbali
 
Ni vigumu sana kwa jiwe kuelewa mambo haya, hata kama anajua basi atajipigia chapuo za kisiasa ili mradi mambo yaende kama anavyotaka yeye.
 
Inawezekana ni kweli, kuna mtu alisema; humu JF ukiposti, mchangiaji wa kwanza ana-dictate comments zinazofuata.

Kama ni maghorofa, tunayaona K/koo, Zanzibar, mathalani Zanzibar, kumejengwa maghorofa pale mjini na mengi hayafikiki kwa magari, wameacha vichochoro na imewalazaimu kufunga kamera ili kupunguza fikra za uhalifu kwenye vichochoro hivyo.

Ukibahatika kupita anga la Dar kwa umbali wa angalau Foot 5000 kutoka usawa wa bahari, utaona bado tuna eneo wazi kubwa mno mno, hata tukijenga vijumba hivi vya uwezo wetu, bado hatutaweza kuijaza ardhi kama mtoa mada alivyosema. Hata huko Duniani, kuna mashamba makubwa mno na ardhi tupu kubwa isipokuwa tu huduma nyingi hujirundika eneo moja.

Tupambane na mazingira tuliyonayo kwa uwezo uliopo.
 
Napongeza juhudi za serikali yetu kwa hili. Tumeshuhudia miradi mikubwa ya nyumba za ma askari Dar na ufunguzi wa nyumba baadhi kule Musoma na IGP. Ulinzi ni mhimu sana kwa Taifa. Naomba tuyathamini sana majeshi yetu yote.

Leo tumeshuhudia ufunguzi wa Nyumba 114 za Polisi Mkoani Geita na Mheshimiwa Rais wetu , Dr. John Pombe Magufuli. Zote ni za chini. Majuzi pia nilishihudia picha mbalimbali za Hospitali (kituo cha Afya) UKEREWE. Kile cha ahadi ya Dr. JPM baada ya kutokea ajali ya kivuko ziwa Victoria Mwaka jana, Sekondari Maalum inayojengwa Dodoma, Hospitali mbalimbali nchini (mf. Hospitali ya Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Mara,-Musoma, Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana-Mwanza, Hospitali ya Wilaya Tarime, nk), shule mbalimbali nchini (Primary na Secondary hata vyuo), Watumishi House - Kisesa Mwanza, PPF Houses -Buswelu -Mwanza, nk. Zote ni za chini.

Majengo ya hivi ni Mengi sana kote nchini. Hiyo ni mifano michache tu.

Ujenzi huu ni gharama sana kwa Taifa.

1. Ujenzi huu hutumia mali ghafi nyingi sana Ukilinganisha na ujenzi wa Gorofa. Mf. Mbao, rangi, nondo, Ciling Boards, misumari, taa za ndani/corrido, cement, fensi, mabati (vigae), idadi ya mafunfdi, muda wa ujenzi, nk. Hizi zote ni gharama kubwa. Ujenzi wa gorofa unaweza kupunguza gharama za ujenzi kati ya 30% hadi 40%.

Kwahiyo Billion 1 unaweza kujenga jengo 1 kubwa na la kisa tofauti na ujenzi wa vijumba vingiii utadhani Kambi za wakimbizi au nyumba za Waganga wa jadi!

2. Matumizi ya hovyo ya ARDHI. Ardhi ni rasilimali isiyo ongezeka (ni fixed). Mungu ametujalia sana Tz tuna ardhi kubwa . Kuna baadhi ya nchi kama China, nk, hufanya Landreclamation kupata ardhi kutoka baharini ili raia wapate pa kuishi au kambi za jeshi zipate kuishi. Nchi kama Uingrreza , treni za mwendo kasi hupita Ardhini- ili juu ya ardhi shughuli zingine za kiuchumi na za kijamii ziendelee kama kawaida. Nchi kama India, China, hata Kenya huchoma maiti kupunguza matumizi ya hovyo ya ardhi. Regional Engineer wa Tanzania ana sambaza tunyumba 114 katika ekari 10! Ili hali kiwanja cha 40*50 tu kinge beba vinyumba vyote. Hatujui thamani ya ardhi kabisaa!

3. Huu utitiri wa Nyumba za chini nchini, za raia wa kawaida na za serikali ni gharama ki usalama. Hasa sulua la Uokoaji, kugawa ulinzi kwa wote, miondo mbinu ya maji taka na salama (kwa afya inakuwa changamoto). Nyumba 1 ni rahisi hata SUMA JKT wawili (2) kuliinda. Tumshukru Mungu hatuna matukio ya Kigaidi. Binafsi na vishukuru vyombo vya ulinzi kwa hili. Pongezi kwenu.

4. Huu utiriri wa vinyumba ni uchafu kwa mji. Miji mikubwa hupambwa kwa By-passes (madaraja ya juu) nzuri, (achanana na hiyo By-Pass ya mfugale ya kishamba), barabara zilizo chorwa na kusanifiwa vizuri, magorofa mazuri na marefu yenye Design tofauti tofauti na za kuvutia. Tu design vitu vya Karne ya 21.

Huu utitiri baada ya miaka 20 ita bidi vibomolewe. Vitakuwa outdated! Angalia Kambi ya Polisi ya Mabatini Jijini Mwanza , nyumba hata hutamani kuziangalia. Utadhani za mwaka 1984!

Changamoto ni zipi?
1. Architect, Designers, Consultants, na Engineers wengi hawana Exposure/out-country training. External training ni mhimu sana au hawasafiri kujifunza. Nyerere alisomesha watu Russia, UK, China , nk ili ku transfer Technology na maarifa. Leo tume mpuuza Mwl Nyerere. Mtu kazaliwa Morogoro kasoma UDSM. Kaajiriwa Jiji la Dodoma. Hata kujaribu UNIQUE design ana ogopa. Either lita anguka au haelewi au kuogopa mzigo wa lawama (kesi), nk. Hata Traffic Jam ya Dar na Mwanza chanzo chake ni Designers wabovu! Barabara zimenyooka utadhani fimbo. Mwanza siji wana Permanent Contractor sijui walimtoa kwa MUNGU(NYANZA ROAD)!!!! Tujifunze kwa jirani zetu hapa karibu, kwa nauli ya Tshs 100,000 kwa basi. Mombasa Road, Thika Road, na Jogoo Road. Hii sekta kw sasa kuna mwamba 1, Mchina. Wana Goal yao 1 (One Belt one Road).

2. Sera na miongozo ya majenzi ya serikali au ya Makazi iliyo pitwa na wakati (Oudated). Kama waida zote zina miongozo yake ya Majenzi. Na hii awamu ilivyo kila mtu ni muoga hata ile idea ya innovation imepotea. No try culture! Na uvivu wa watumishi wa Serikali kudadisi na kujifunza vitu vipya ni tatizo pia. Wao wana uhakika wa mshahara. No hustle! Hata short course mtu hawezi jilipia kusoma hadi aambiwe na muajiri au asomeshwe au alazimishwe! Wote wanasubiria JPM awaambie jengeni choo cha mashimo 30!

3. Kipato. Watanzania wengi wetu karibu 95% wote ni maskini. Gari ni za mkopo, nyumba za mkopo, mshahara kidogo nk. Benki gani ikukopeshe mil 700? Hivyo ujenzi wa gorofa tuna shindwa. Kenya karibia Nairobi nzima (iwe Mombasa Road, Thika Road, Jogoo Road,nk) ni gorofa tu. Tena za watu binafsi, hasa APARTMENTS. Mtanzania mwenye biashara jenga gorofa lako refu pangisha. Ni bisshara nzuri sana. Huangaiki , hela inaingia tu ume lala. Jenga hadi gorafa 10 juu. Majengo haya hupamba mji.

4. Rigidity/inflexibility of ideas.
5. Lack of Exposure.
6. Mipango miji. Nchi nzima mipango miji ni mzigo. Ardhi haijapimwa, njia hakuna-watu wana bomolewa nyumba zao wao kucha nzima wame kaa maofisini tu. Hawana ushirikiano mzuri na TANROADS, MAJI, RAIA, na TANESCO.

Ili kufanikiwa ni lazima kuondokana na changamoto hizo hapo juu na mengine mengi.

Mfano Taifa kuwa na Thinking Tanks wa nchi. Mf. Watu 200 hivi, kufikiria kwa niaba ya nchi. Je Tz ya miaka 100 iweje? JPM hawezi elekeza kila sekta. Zingine hajui. Pia wanasiasa na wakuu wa mikoa/Wilaya kufanya kazi zao na waache wataalam wafanye kazi zao.

Ili tuwe na miji mizuri na ya kuvutia, yatupasa kuwa na Designers wazuri.

Naamini wote kwa pamoja, tuna ijenga Tanzania nzuri.
Umenena, ntakuja na mimi kutoa uzoefu wangu.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Tz siasa,siasa,siasa.kimsingi hatuna mfumo wa elimu na wasomi wakulivusha taifa.Wengi wetue ni mashahidi huko makazini angalia uwezo wa vijana wanaoajiriwa sasa hivi awe diploma,bachelor degrii uzamili nk utashangaa wako very shallow.
Sasa kwa sekta nyeti km hizi zinazohitaji weledi wa hali ya juu ,hali ni tete.
 
Unawalaumu wataalamu lakini hawa wanadesign na kujenga kutokana nq budget. Sasa nyumba ya chini na ghorofa ipi rahisi kujenga kama hauna hela?
 
Hivi Kati ya Nyumba ya chini na ya ghorofa,ipi ujenzi wake ni gharama ndogo?
 
Back
Top Bottom