Hicho kiwanja kwa Arusha kitafika hadi 20mcatapila au zaidi kidogo. Viwanja bei ni kubwa sana Arusha
Kwa hiyo mnasema Arusha watu hawajengi au ?
Hicho kiwanja kwa Arusha kitafika hadi 20mcatapila au zaidi kidogo. Viwanja bei ni kubwa sana Arusha
Mbona umepata bahati sana....kwa sababu Nyamadoke ni jirani kabisa na makao makuu ya wilaya ya Ilemela.
Kuna mpango wa kuboresha miundo mbinu kuanzia Igoma,Nyamongholo,Nyamadoke mpaka Buswelu wilayani....pia kuunganisha na Igombe na Kayenze!
Nunua haraka na hutajutia.
Nlinunua kiwanja Buswelu kwa 10 mil vimeshikana viwili kama bado unataka vipo vingine jirani 2 kila kimoja kinataka 5 to 4.5 milWakuu kwa wale wenyeji wa mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa nyamadoke karibu na nyamhongoro ambacho upana ni hatua 26 na urefu ni 30 ambapo kwa kujenga nyumba ya kawaida kinatosha lakin kichekesho ni kwenye bei naambiwa milion 1 na nusu hakuna maji wala umeme pia hakujapimwa, kwa kwel sikuamin macho yangu ikabid niulize tena nikaambiwa vle vle, nimechanganyikiwa mpaka sasa najiuliza sijui nichukue au niache na kama hali ndiyo hii sijui baada ya miaka 3 hali itakuwaje mwanza kwa upande wa ardhi???
Bei ya mil 1 Buswelu ni bei ya kutupa chukua haraka kabla mwenye nacho hajashtuka. Nauza changu mahina 790sqm 10 mil njoo nikupe kina miamba2 so hununui kokoto wala mawe ya kujengeaWakuu kwa wale wenyeji wa mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa nyamadoke karibu na nyamhongoro ambacho upana ni hatua 26 na urefu ni 30 ambapo kwa kujenga nyumba ya kawaida kinatosha lakin kichekesho ni kwenye bei naambiwa milion 1 na nusu hakuna maji wala umeme pia hakujapimwa, kwa kwel sikuamin macho yangu ikabid niulize tena nikaambiwa vle vle, nimechanganyikiwa mpaka sasa najiuliza sijui nichukue au niache na kama hali ndiyo hii sijui baada ya miaka 3 hali itakuwaje mwanza kwa upande wa ardhi???
Buswelu sehemu gani na vina ukubwa gani?Nlinunua kiwanja buswelu kwa 10 mil vimeshikana viwili kama bado unataka vipo vingine jirani 2 kila kimoja kinataka 5 to 4.5 mil
Buhila ni vikubwa vinatoshaBuswelu sehemu gani na vina ukubwa gani?
Kati ya Buhyila na Busenga ni wapi pako vizuri zaidi?Buhila ni vikubwa vinatosha
Busenga pako poaKati ya Buhyila na Busenga ni wapi pako vizuri zaidi?
Hivi Buhyila ni mbele ya Kahama?Bus
Busenga pako poa
Duh mi sio mwwnyeji sana ila buhila ukitoka round about ya buswelu kama km1.5 hivi unapanda kushotoHivi Buhyila ni mbele ya Kahama?
Vina ukubwa gani?Nlinunua kiwanja buswelu kwa 10 mil vimeshikana viwili kama bado unataka vipo vingine jirani 2 kila kimoja kinataka 5 to 4.5 mil
Mahina sehemu gani?Bei ya mil 1 buswelu ni bei ya kutupa chukua haraka kabla mwenye nacho hajashtuka. Nauza changu mahina 790sqm 10 mil njoo nikupe kina miamba2 so hununui kokoto wala mawe ya kujengea
Buhila ni njia ya kuelekea kiseke Kabla ya NsumbaHivi Buhyila ni mbele ya Kahama?
Kwahiyo busenga pako vizuri kuliko Buhyila?Buhila ni njia ya kuelekea kiseke Kabla ya Nsumba