Mbona bei ndogo sana hiyo? Buswelu viwanja ndo bei bei kidogo,Kuna eneo panaitwa Sahwa Iko ktk kata ya Buhongwa Kuna mradi mkubwa wa maji na viwanja vyake vingi vimepimwa waweza kwenda ujionee unless labda itakuwa mbali na kazini kwakoWakuu kwa wale wenyeji wa Mwanza mtanielewa, nilbahatika kupata kazi Mwanza na sina muda mrefu sana lakin leo nimeshangaa kwan niliongea na mtu mmoja wa Buswelu ili anitafutie ka kiwanja nami nijenge angalau ili niepukane na upangaji.
Cha ajabu nimeenda kuonyeshwa kiwanja sehem moja inaitwa Nyamadoke karibu na Nyamhongoro ambacho upana ni hatua 26 na urefu ni 30 ambapo kwa kujenga nyumba ya kawaida kinatosha lakin kichekesho ni kwenye bei naambiwa milion 1 na nusu hakuna maji wala umeme pia hakujapimwa.
Kwa kwel sikuamin macho yangu ikabid niulize tena nikaambiwa vle vle, nimechanganyikiwa mpaka sasa najiuliza sijui nichukue au niache na kama hali ndiyo hii sijui baada ya miaka 3 hali itakuwaje Mwanza kwa upande wa ardhi?
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app