.............Arabela utendeee haki Moyo wako.........

.............Arabela utendeee haki Moyo wako.........

Last edited by a moderator:
ni kweli my sis mwambie zubedayo_mchuzi jinsi gani nateseka kwa matendo yake.. Natamani kudai talaka ila nampenda. Vitisho vyake mpaka nyumban. Hanibembelezi

Dai talaka yako sisi tutakuwa mawakili wako akitaka kaunzisha timbwili bana. Au nikutafutie baunsa kabisa wa kutembea nae lakini yeye ni nyuki wa mashine kwa maana hana madhara lol.
 
dah! jamaa anatunisha misuli tu na mikwara, watu wanapiga ngozi....!
 
Waione:
Arushaone, Filipo Kaizer Mzee wa Rula, Erickb52 , watu8 na wengine waliokwishawekeza kwa Arabela mtaji wa duka la simu za Tecno pale Majani-Mapana.

Kwakuwa na mimi ni mmojawapo, maana ndiye niliyekarabati kile chumba, nawaomba wanaume wenzangu shime tuungane tumsakizie
zubedayo_mchuzi ili APIGWE TU na vijana wa Pinda!

Baada ya hiyo red, Nitaendelea na mpango wangu wa muda mrefu na Arabela kwa misingi ya kisheria, kikatiba na wigo mpana wa kidemokrasia!

Copy: KOKUTONA, Kaizer, YNNAH, Mzee wa Rula, Arushaone.
 
Last edited by a moderator:
umewah ona sisimizi anapambana na tembo? Sina haja ya kupgana na mtu ,namuheshimu my arabela sana...ila hawa vijana wanaonijaribu wanapima upepo...ndio wanaonichefua.
 
..........HabARI ZENU WANAJAMVI....???


..................Nachukua fursa hii kukuomba ili kuepusha mijadala na watu ambao mwisho wa siku nitawafanyia operation za lazima ni vizuri ukaamua wewe mwenyewe kuutendea haki moyo wako.

Shughuli zangu zinanifanya nipotee sana hata si kidogo,kama zitakuwa ni chanzo cha wewe kukosa furaha katika ndoa,uwe mkweli kwa hilo na amua unaloona lina wezekana kukupa furaha na Amani ya moyo wako.

Ukiamua mwenyewe sitakuwa na tatizo ila kama utadanganywa basi nitafanya kisasi na kwa yyt utakae kuwa nae......
.........sina mengi zaidi ya hayo.

..............THE STRONG IS ONLY FOR THE FITEST........

acha kutishia kujamba wakati unaharisha kaka
 
Back
Top Bottom