KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
dah! jamaa anatunisha misuli tu na mikwara, watu wanapiga ngozi....!
Rafiki unamzidisha hasira mtuna misuli....ohooo
dah! jamaa anatunisha misuli tu na mikwara, watu wanapiga ngozi....!
Huhitaji kusubiri mwenzio afanye maamuzi Mpendwa! Come huku ufurahie uwepo wako hapa duniani!
Copy: zubedayo_mchuzi
Akija usisahau kumpeleka kule kwenye KUKU WA MAZIWA
Akifika hapa atapata mapokezi kama uliyoyapata! Kila kitu atapata!
Rafiki unamzidisha hasira mtuna misuli....ohooo
tena usipandishe kabisa hasira zangu....ntakuja kutekeza familia yenu wote.....plz plz plz plz
Mdogo wangu km yamekushinda rudi nyumbani mwaya...yasijezidi ukarudi na mkono mmoja loh. Bado tunakupenda ndugu yetu tena saana ujue
narudi my sis nafatilia mgawanyo wa mali
amezidi kutishia....
sis nimekumiss
narudi my sis nafatilia mgawanyo wa mali