.............Arabela utendeee haki Moyo wako.........

.............Arabela utendeee haki Moyo wako.........

Waione:
Arushaone, Filipo Kaizer Mzee wa Rula, Erickb52 , watu8 na wengine waliokwishawekeza kwa Arabela mtaji wa duka la simu za Tecno pale Majani-Mapana.


Kwakuwa na mimi ni mmojawapo, maana ndiye niliyekarabati kile chumba, nawaomba wanaume wenzangu shime tuungane tumsakizie
zubedayo_mchuzi ili APIGWE TU na vijana wa Pinda!

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha huwa napigana na kijiji......si watu wachache kama nyie....nimetulia kimya nafanya kazi zangu zenye kuleta ridhiki nikipata nafasi mtajuta
 
Last edited by a moderator:
nadhan mtakuwa mashahidi kwa kauli hii.. Najivua gamba... Sina niendapo ila naomba ufute kauli yako mbovumbovu

mpaka utakapo rudi kwenye nyumba yako ndio ntafuta kaULI....watoto ulowaacha wanalia kila siku nakukuulizia....mi niwajibuje.....
 
nadhan mtakuwa mashahidi kwa kauli hii.. Najivua gamba... Sina niendapo ila naomba ufute kauli yako mbovumbovu

tena usipandishe kabisa hasira zangu....ntakuja kutekeza familia yenu wote.....plz plz plz plz
 
Obama ameleta balaa huu mwezi wa seveni!! Kila ninapo pita ni matangazo ya ndo kuvinjika!! Tatizo nini? FBI!au CIA
 
Anakumbwa na matatizo ya kuoa mke mzuri, yani presha muda wote

Ha ha haa YNNAH mchokozi wewe....mwenzio roho juu....anatamani amfungie ndani na kumpatia huduma zote self inside
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ni kweli my sis mwambie zubedayo_mchuzi jinsi gani nateseka kwa matendo yake.. Natamani kudai talaka ila nampenda. Vitisho vyake mpaka nyumban. Hanibembelezi

Mdogo wangu km yamekushinda rudi nyumbani mwaya...yasijezidi ukarudi na mkono mmoja loh. Bado tunakupenda ndugu yetu tena saana ujue
 
Dai talaka yako sisi tutakuwa mawakili wako akitaka kaunzisha timbwili bana. Au nikutafutie baunsa kabisa wa kutembea nae lakini yeye ni nyuki wa mashine kwa maana hana madhara lol.

Mmmmhh...mmepania?
 
Back
Top Bottom