Arabela naomba ufungue moyo wako nitonye hajiwezi

Wasalam aleikum wana chitchat Muhammad wabarakatum!
Nawasalimia tu maana nahisi Kuna mtu anakaribia kuingia choo cha kike,ni hilo tu bandeko na ngai!
 
kwanza hiyo salam umekosea
 
Last edited by a moderator:
Wasalam aleikum wana chitchat Muhammad wabarakatum!
Nawasalimia tu maana nahisi Kuna mtu anakaribia kuingia choo cha kike,ni hilo tu bandeko na ngai!

brother naomba tafu katika hili usinipige majungu
 
upendo wangu kwako ni ule wakutaka uwe my waifu. Sio siri usiku silali nakuwaza wewe Arabela naomba pumziko ndani ya moyo wako

Ina maana lile jinamizi la kuachika na sweetlady ndio unataka kulihamishia kwa binti mrembo Arabela! You must be inscene! Nenda kafuatilie DNA ya mtoto kwa mtalaka wako kwanza. Niache nijivinjari na mtoto wa kitanga mie!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom