Arabela naomba ufungue moyo wako nitonye hajiwezi

Arabela naomba ufungue moyo wako nitonye hajiwezi

obaogile nkaa si we?. nyegela muno noyenda engozi za Arabela?. akaisiki kashemela muno. mia

amahangaiko ga mujini ngambuza omwanya gwo kwija omu jf. Aisee aka akaisiki ninkagonza mno
 
Last edited by a moderator:
Mmh!! hivi yule Zubedayo Mbabe kaacha kutoa kucha za wakware wake???

Zubedayo kiboko yake ukisema wewe ni mchawi, hafurukuti, tena kwa sura ya nitonye ilie akimtishia kumroga anakabidhi hadi cheti cha ndoa...
 
Last edited by a moderator:
Sura hujaaliwa, hata pesa pia zinakukwepa? Toka akuache sweetlady umefuliaje?
 
Last edited by a moderator:
Nakuonya acha kumpigia nitonye ndogondogo. mia mbili.

hahahaaaa...!!!. kila nikiona id yako nacheka sana. juzi nakupigia simu sijui ulijua unapigiwa na nani. haaaa...!!!. pole sana ndugu, mwenyewe niliponea kwenye tundu la sindano. mwenyewe sasa hivi nikipigiwa simu hata kama ndo mimi lakini nina mashaka nawe nakwambia umekosea namba. hahahaaa...maisha haya bana. mia
 
maisha mabaya utadhani digidigi anamuhofia simba
 
Kama ingekuwa ni ugonjwa ningesema nakaribia kukata kauli kwa jinsi mapigo ya moyo yanavyonienda mbio nimuonapo binti huyu. Arabela nakupenda sana nipe pumziko ndani ya moyo wako. Ni jambo lipi jema zaidi ya kumwambia mtu "NAKUPENDA"

unanichekesha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom