Arabela naomba ufungue moyo wako nitonye hajiwezi

Arabela naomba ufungue moyo wako nitonye hajiwezi

Bado narudia swali langu.. Una mali zisizohamishika nitonye..? Mwenyewe umeona walivyokujia juu.. Arushaone na KOKUTONA wakiongoza unoko dhidi yako..

Na Arabela hatakujibu mpaka uonyeshe mali ulizonazo..! Endelea na mashairi yako ya bulicheka..

Ha ha haa, mwambie huyo....kuongezea hata mali zake hatuzitaki kabisaaa

Asihangaike maana Arabela will never be his.

Atakula kuona..... nitonye tulia tu au try another place eeeh kaka.
 
Last edited by a moderator:
Arabela popote ulipo....salamu zangu zingalipo.....upitapo mwingi upepo.....sie bado tungalipo....yatupite mbali mapepo....hadi tuione pepo!

my dia Kaizer salam zimenifikia na nimezipokea kwa mikono miwili
 
Last edited by a moderator:
my dia Kaizer salam zimenifikia na nimezipokea kwa mikono miwili

Hivi ni kwambie kwa lugha gani unielewe ewe mrembo uwakae kama nyota zilizoko angani. Ninkugonza Arabela watwala omutima gwange gwona. Najiona nakarabia kuzama kwenye kilindi cha maji ambapo mtu pekee wa kuniokoa ni wewe Arabela.
Nakufananisha na dereva ewe binti uliye chukua moyo wangu ni lini utasema ndio ili moyo wangu upone.
Ewe binti ung'aae kama nyota angani moyo wangu unatamani kumulikiwa na wewe. Nakupenda sana haijalishi kama una mwanaume. Sema chocho mama mimi nitafanya hata kukubeba mgogoni kutoka kazini hadi nyumbani.

Jamani nitonye niseme nini kwakweli Arabela NAKUPENDA SANA
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom