Ina maana lile jinamizi la kuachika na sweetlady ndio unataka kulihamishia kwa binti mrembo Arabela! You must be inscene! Nenda kafuatilie DNA ya mtoto kwa mtalaka wako kwanza. Niache nijivinjari na mtoto wa kitanga mie!
Ishia hapo hapo, unakapenda nini? Mdogo wangu Arabela siyo spoiled brat sawaa.......ishu ya my sista ukagera tupa kuleeeee. Afu wewe........ Kaizer hivi umeona hii? Filipo njoo kuna mtu ananchokozea mdogo wangu Arabela. Arushaone kuhusu utaratibu
me too shem wangu YNNAH.. Mbona ulipotea ghafla..? Mpaka nikawa na shaka ikabidi nimuewekee surveillance Judgement maana yeye ndo alikuwa anatoa vitisho hapa.. Halafu inasemekana ni mtaalam wa kung'oa kucha kwa pliers.. Nafurahi uko pouwa shem wangu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.