Apson: The Beginning of TISS's Failure

Mafaili ya Mramba, Karamagi, Magufuli, Apson, Chenge, Mkapa, Ballali, Meghji, Mzindakaya, Mkono, Yona na wengine wote waliotajwa pale mwembe yanga na Slaa yaangaliwe ili kujua ni mali zipi walizoorodhesha.
Kumbe jina la Marhum Pombe lilikuwepo kwenye ile orodha???
 
Mafaili ya Mramba, Karamagi, Magufuli, Apson, Chenge, Mkapa, Ballali, Meghji, Mzindakaya, Mkono, Yona na wengine wote waliotajwa pale mwembe yanga na Slaa yaangaliwe ili kujua ni mali zipi walizoorodhesha.
Kweli mtandao haufuti kitu, mpaka mwendazake mkuu umemtaja hapa, ila baada ya Urais akavikwa umalaika.
 
Mafaili ya Mramba, Karamagi, Magufuli, Apson, Chenge, Mkapa, Ballali, Meghji, Mzindakaya, Mkono, Yona na wengine wote waliotajwa pale mwembe yanga na Slaa yaangaliwe ili kujua ni mali zipi walizoorodhesha.
Zamani kama leo..
 
Kumbe na Magufuli aliwahi kutajwa kwenye Ile list halafu watoto wa juzi wametoka kulima wanakuambia alikuwa "mzalendo" sijui mzalendo pub.
 
Back
Top Bottom