Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,520
- Thread starter
-
- #121
Sabotage sio ufisadi. Sio wizi, sio rushwa. Economic sabotage ndio inayo fanana fanana na ufisadi. Lakini Sabotage ya kwenye sheria haija defainiwa kama economic sabotage.
Ufisadi ni kosa gani la kisheria?Theft? Embezzlement?
TE TE TE TE TE TE SINGLE YANGU NAWEZA UZA BILBORD EHEE,MSHIKAJI SI NDUGU YANGU WALA NIKIMWONA SIMJUI,BALI SIKU MOJA NILINGIA VICTIRIA NIKAONA KAZI NZURI,KWA HIYO NACHANGIA NACHOJUA SIFUATI UPEPO PALI NASOMA MAPYA NA KUYAPIMAAisee!!,Hii tungo kiboko bwana.naelekea kufikiri kama wakapewa TMK,Wanaume Family,basi hiyo single itauza sana.....
TE TE TE TE TE TE SINGLE YANGU NAWEZA UZA BILBORD EHEE,MSHIKAJI SI NDUGU YANGU WALA NIKIMWONA SIMJUI,BALI SIKU MOJA NILINGIA VICTIRIA NIKAONA KAZI NZURI,KWA HIYO NACHANGIA NACHOJUA SIFUATI UPEPO PALI NASOMA MAPYA NA KUYAPIMA
swali langu lilisema "ufisadi ni kosa gani la kisheria".... ?Wizi wa mali ya uma
Kuhani... unafanya kazi nyepesi kuwa ngumu... Ufisadi ni kosa gani la kisheria?
Kujineemesha kwa kujipatia mali ya umma kinyume na sheria mbalimbali kama nilivyo ziorodhesha hapo juu.
Kwa hiyo ufisadi ni kujineemesha tu kwa mali ya umma...?
...kinyume na sheria mbalimbali kama nilivyo ziorodhesha hapo juu.
(naona uliacha kipande cha jibu langu.)
so ufisadi kwako ni lazima ihusishe kujipatia mali ya umma kinyume cha sheria? Au yawezekana kuna vitendo vingine vya kifisadi ambavyo havihusiani na kujipatia mali ya umma?
kujineemesha, sio tu kujipatia, mali ya umma.
Ninaposema kujineemesha nina maana kunufaika.
Kujineemesha kwa kujipatia mali ya umma kinyume na sheria mbalimbali kama nilivyo ziorodhesha hapo juu.
Now, bear in mind, Benjamin akimsaidia mkewe, Anna, kumiliki mtambo wa kutengeneza Umeme kinyume cha sheria, basi Benjamin nae amenufaika, na anaingia katika definition yangu ya ufisadi.
Nina maana yangu ya kutaka usahihi wa hivi vitu kabla hatujaenda mbali.
Kwa hiyo katika definition yako hii ni lazime mtu "anufaike" ndipo kuwe na ufisadi. Hivyo kama Lowassa alivyofanya na hakuna ushahidi wa yeye kunufaika na Richmond ni haki kuita uzembe wake na kutokuwajibika kwake kuwa ni sehemu ya ufisadi?
ukisema kwamba hakuna ushahidi Lowassa alinufaika, lakini twajua alihusika katika vitendo vilivyo sababishia Taifa hasara ya mabilioni
Je vitendo vilivyosababishia nchi hasara ya mabilioni hata kama mtu hajanufaika yeye mwenyewe tunaweza kuviita ni vya kifisadi?