Huyo apson asubiri kuungana na wakina mramba segerea.
Wazee wa kufukuaAisee R I P
Ze manInawezekana aliyemteua alikuwa na dhamira njema. Ila watu wanabadirika. Ni kama Mkapa alipomteua Sumaye kuwa Waziri Mkuu lakini sasa anasema kuwa CCM haijafanya lolote kwa miaka 50
Kuiva? howBila wale vijana kukamatwa nahisi muda huu Lowassa ndio angekuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania.
Apumzike kwa amani Bwana Apson, Hakika wewe ulikuwa miongoni mwa wakurugenzi mliopikwa na kuiva hasa.