Elections 2015 Apson Mwang'onda, nzi aliyejaribu kubaka demokrasia ya CCM na Tanzania bila ya mafanikio

Lowasa ndiyo basi tena na Apson wake ufisadi wao walidhani utafua dafu kwa watanzania wenye mapenzi ya dhati kwa nchi yao.
 
Bila wale vijana kukamatwa nahisi muda huu Lowassa ndio angekuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania.

Apumzike kwa amani Bwana Apson, Hakika wewe ulikuwa miongoni mwa wakurugenzi mliopikwa na kuiva hasa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom