PostGE2025 Appreciation post kwako CDF Jacob John Mkunda

PostGE2025 Appreciation post kwako CDF Jacob John Mkunda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,913
Reaction score
14,675
Jacob John Mkunda is a Tanzanian military officer who currently serves as Chief of the Tanzanian People's Defence Force since 30 June 2022.

Early life​

Mkunda attended the Ruvu Secondary School, where he played on the football team and was involved in student government.[1]

Career​

In February 2020, Mkunda, at the rank of brigadier-general, led the Tanzanian People's Defence Forces' (TPDF) 202nd Western Brigade in Katavi Region in an operation to suppress rebel activity in refugee settlements, leading to weapons seizures and several arrests.[2][3] By 2021 he was chief of the TPDF's training staff.[4]

On 30 June 2022 Mkunda was appointed Chief of Defence Forces, replacing retiring General Venance Salvatory Mabeyo
 
Mavi matupu!

Umeshinda kwa 98%
Ila umetoa nje mpaka vifaru ili kuzima maandamano ya raia?

Hahaha jamani huyu bibi mtamuua kwa presha
ungejua mwenzako ndo kwanza anakula upepo bungeni, 98% wote wapo ndan wamemskiliza kamanda wao
 
Ni chizi peke yake ndo anaweza ona kuna amani ila nikuambie tu hii nchi ni ya moto sana ....yaaan siku ikiwaka hakuna wa kuizima mpaka wananchi wakiona wao wamerizika ndo itapoa...na ni uchizo na utahira kupongezana wakati unatawala kwa ubabe na mabavu
 
Hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania

Tufanye Kazi sasa,muda wa drama umekwisha
 
Watz mko mnapenda ugomvi.
kokoto...webp
 
Ni chizi peke yake ndo anaweza ona kuna amani ila nikuambie tu hii nchi ni ya moto sana ....yaaan siku ikiwaka hakuna wa kuizima mpaka wananchi wakiona wao wamerizika ndo itapoa...na ni uchizo na utahira kupongezana wakati unatawala kwa ubabe na mabavu
ongea bila kulia
 
Sawa Kwa hiyo ulitaka awaache vibaka mfaidike kuiba ? Najuwa hamuwezi kumpenda ameharibu dili zenu
Dili za kuteka na kufira, ama deal za kujaza kura fake kwenye mabox ya kura?
 
Back
Top Bottom