Price?
Nokia chaliiiiiPrice?
mapato ya nokia 2015 = 13.88bNokia chaliiiii
It seems aisee, manake hata ukiangalia galaxy S7 kimwonekano ni 98% kama galaxy S6. Kama mtu unaconsider design unaipotezea tu hiyo S7kupungukiwa kwa ubunifu lazima urudi ukopi vya nyuma
utofauti unakua mdogo sanaIt seems aisee, manake hata ukiangalia galaxy S7 kimwonekano ni 98% kama galaxy S6. Kama mtu unaconsider design unaipotezea tu hiyo S7
Ata Iphone 6 na iPhone 6S ni zilezile tu kimwonekano. Tofauti yake iko ndani tu
Ukija kwenye reality hio lg5 imezidiwa na i phone4.
Hata 4 na 4s...It seems aisee, manake hata ukiangalia galaxy S7 kimwonekano ni 98% kama galaxy S6. Kama mtu unaconsider design unaipotezea tu hiyo S7
Ata Iphone 6 na iPhone 6S ni zilezile tu kimwonekano. Tofauti yake iko ndani tu
Hapo naongelea muonekano wa maandishi ya simu na hata quality ya picha zenyewe.. Regardless wameandika MP kubwa ila quality ya picha yenyewe unakuta imezidiwa.Kivipi?
Mimi removable battery is a dealbreaker.Ukija kwenye reality hio lg5 imezidiwa na i phone4.
Ila wewe si unataka removable?
I am waiting for the Samsung S7
Seriously??Betri kimeo, halafu 2nd camera ile ya selfie ya kiboya bora nikanunue Tecno c8
The S7 is out, where are you located?I am waiting for the Samsung S7