Apple wamezindua simu mpya ya iPhone SE

Apple wamezindua simu mpya ya iPhone SE

Betri kimeo, halafu 2nd camera ile ya selfie ya kiboya bora nikanunue Tecno c8
Tafuta hata iphone 6.. ina front camera ya 1.2 Mp. Bt kwa quality ya pcha hata tecno phantom z mini yenye front camera 8 Mp haifikiihyo iphone yenye 1.2 .. tumia utaona utofaut.
 
Haya makampuni yanatiana kiwewe tu.utasikia nao sumsung wanatoa toleo jingine wakati hata s7 bado.
 
Are u sure about this mkuu??.. 4", No radio, 1642mAh battery!!.. Very poor features.
 
kupungukiwa kwa ubunifu lazima urudi ukopi vya nyuma

Na sio tu ubunifu mkuu,pia cku hizi kuna masimu mengi yenye specifications za juu sana kuliko iphones na ambazo bei zake ni cheap ukilinganisha na iphones. Tatizo jamaa walijiona keki sana, na nafikiri ndio wameanza kushtuka now kutoka usingizini baada ya kuona wenzao wanafanya vizuri sokoni ndio maana wametuletea haka kacheap mobile phone.
 
Tafuta hata iphone 6.. ina front camera ya 1.2 Mp. Bt kwa quality ya pcha hata tecno phantom z mini yenye front camera 8 Mp haifikiihyo iphone yenye 1.2 .. tumia utaona utofaut.
And this is what i was telling Kiranga
 
Na sio tu ubunifu mkuu,pia cku hizi kuna masimu mengi yenye specifications za juu sana kuliko iphones na ambazo bei zake ni cheap ukilinganisha na iphones. Tatizo jamaa walijiona keki sana, na nafikiri ndio wameanza kushtuka now kutoka usingizini baada ya kuona wenzao wanafanya vizuri sokoni ndio maana wametuletea haka kacheap mobile phone.
Tatizo ni specifications za juu au tatizo ni quality?
Lets say unaweza kufananisha front camera ya techno 8MP na front camera ya iphone6 yenye 1.2 mp???
 
Hiyo 5SE ni cheap huko kwao huku Tz itakuwa sawa na i6
 
Mim sijawaelewa kwanin wameamua kuleta hiyo version kama ya iPhone 5s

walivyotoa iphone 6 wateja wengi walilalamika wakitaka design ya iPhone 5s iendelee na kama ujuavyo sio kila mtu anapenda simu kubwa..kwa hiyo apple wamesikiliza wateja wao nikiwamo mimi.
 
Apple inaelekea wanaishiwa ideas.
Nothing new here considering the new phone SE SPECS zake kama iphone 6 just packed in a small casing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom