Apple wamezindua simu mpya ya iPhone SE

Apple wamezindua simu mpya ya iPhone SE

Naweza rusha apps kutoka wp kwenda android ? Kama ipo Ni appps gani inahusika wadau .je Kuna application itakayoniwezesha kusikiliza redio off line kwa window Na android Kama zipo Ni zip maaana baadaya kuiroot android yangu nilifuta kifailcha redio. Sasa nafanyaje.niweze sikiliza ? Mkwawa msaada kwa hili
nenda store search fm radio
 
kaacha sababu kauza department yake ya simu. lakini still ana tech zake za simu na ip na anaendelea kubaki kampuni yenye technology nyingi zaidi za simu.

na kama nilivyokwambia hapo juu simu haitengenezeki bila kutumia technology zake au kwa lugha nyengine hujawahi kumiliki simu isio tumia technology ya nokia, au kwa lugha nyengine hujawahi nunua simu hela yako kiasi kadhaa isiende kwa nokia unless unatumia manufacture ambae ni mwizi asielipia tech za watu.

kama still dunia inategemea technology za nokia huwezi sema hii kampuni imeachwa bali imebadilisha tu mfumo wa biashara, kuna kampuni nyingi dunia kama ericson, sharp, toshiba, zeis, nk hawatengenezi simu zao ila wanapata hela za kutosha tu kwenye soko la simu na hao unaoona wanatengeneza simu si watengeneza vifaa vya simu wao wanaunga unga tu.
Nimekupata mdau
 
Hii offline radio inafanya kazi kama nimezima data???maana me nimeinstall nikizima data radio nayo inakata matangazo,au apps zina differ?
kama una hardware ya fm radio ndio itafanya kazi, fm radio ni ya offline kama redio za kawaida kujua kama unayo fm radio au huna angalia specification za simu yako kwenye site kama gsmarena
 
BODYDimensions146 x 72 x 7.3 mm (5.75 x 2.83 x 0.29 in)Weight152 g (5.36 oz)SIMNano-SIM - IP68 certified - dust proof and water resistant over 1.5 meter and 30 minutesDISPLAYTypeIPS LCD capacitive touchscreen, 16M colorsSize5.2 inches (~70.9% screen-to-body ratio)Resolution1080 x 1920 pixels (~424 ppi pixel density)MultitouchYes, up to 10 fingersProtectionScratch-resistant glass, oleophobic coating - Triluminos display
- X-Reality EnginePLATFORMOSAndroid OS, v4.4.4 (KitKat), v5.0.2 (Lollipop), planned upgrade to v6.0 (Marshmallow)ChipsetQualcomm MSM8974AC Snapdragon 801CPUQuad-core 2.5 GHz Krait 400GPUAdreno 330MEMORYCard slotmicroSD, up to 128 GB (dedicated slot)Internal16/32 GB, 3 GB RAMCAMERAPrimary20.7 MP, f/2.0, 25mm, autofocus, LED flash,check qualityFeatures1/2.3" sensor size, 1.12 µm pixel size, geo-tagging, touch focus, face detection, HDR, panoramaVideo2160p@30fps, 1080p@60fps, 720p@120fps, HDR, check qualitySecondary2.2 MP, f/2.8, 1080p@30fpsSOUNDAlert typesVibration; MP3, WAV ringtonesLoudspeakerYes, with stereo speakers3.5mm jackYesCOMMSWLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, Wi-Fi Direct, DLNA, hotspotBluetoothv4.0, A2DP, apt-XGPSYes, with A-GPS, GLONASS, BDSNFCYesRadioFM radio, RDSUSBmicroUSB v2.0 (MHL 3 TV-out), USB HostFEATURESSensorsAccelerometer, gyro, proximity, compass, barometerMessagingSMS (threaded view), MMS, Email, IM, Push EmailBrowserHTML5JavaNo - Fast battery charging: 60% in 30 min (Quick Charge 2.0) - only Japanese versions
- ANT+ support
- Active noise cancellation with dedicated mic
- Xvid/MP4/H.264 player
- MP3/eAAC+/WAV/Flac player
- Document viewer
- Photo viewer/editor
- Voice memo/dial
BATTERY Non-removable Li-Ion 3100 mAh batteryStand-byUp to 890 h (2G) / Up to 740 h (3G)Talk timeUp to 14 h (2G) / Up to 16 h (3G)Music playUp to 130 hMISCColorsBlack, White, Copper, Silver Green, PurpleSAR US0.80 W/kg (head) 1.44 W/kg (body) SAR EU0.62 W/kg (head) 0.65 W/kg (body) Price group8/10TESTSPerformanceBasemark OS II: 1109 / Basemark X: 12637DisplayContrast ratio: 1333:1 (nominal), 2.618 (sunlight)CameraPhoto / VideoLoudspeakerVoice 69dB / Noise 66dB / Ring 67dBAudio qualityNoise -86.4dB / Crosstalk -86.6dBBattery lifeEndurance rating 85h

Kwa.specifications hizo does it allow or not
 
zimejipaste vibaya nitajie jina au link niangalie mwenyewe
 
simu nishaipata ya kijinga tuu bora 6+ hawa watetengenezaji wa simu inabid wakae watulie waje na ugunduzi mpya sio wanaipigia promo simu yao flagship kumbe wameboresha tuu camera tena hata previous phone inakua kali. kama window na samsungu na iphone wananiboa sana shenzi zao
 
Hao wanatumia jina tu kuuza simu battery gani halafu un removable. ..wanazarau sana apple
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom