Apple wamezindua simu mpya ya iPhone SE

Apple wamezindua simu mpya ya iPhone SE

Hapo naongelea muonekano wa maandishi ya simu na hata quality ya picha zenyewe.. Regardless wameandika MP kubwa ila quality ya picha yenyewe unakuta imezidiwa.
Kama ukizitumia ndio utaelewa what i mean.. Buta kama hujazigusa hutaelewa ninachomaanisha hutaamini.
Kwaiyo umetumia vigezo gan? Huez fanananisha g5 na iphone 4
 
381e9b5958dce71b69225b367d09f19a.jpg
 
Kwa vigezo vip sasa 3g ni better zaid ya g5

Mana unaongea tu bila fact
Kuna point moja sana nitakupa ila sitaki kubishana na wewe, kama utanielewa sawa kama hutakubaliana na mimi basi..
Techno phantom front camera ina 8MP na iphone 6front camera 1.2MP,
Kwenye uhalisia na kwa maoni ya watumiaji simu gani kati ya hizo ina picha zenye quality nzuri??
 
Sasa lg sio tecno

Pili camera ni mambo mengi sio mp tu hadi lens hivyo usi compare tecno na Iphone based on mp

Kingine hivi tuna compare simu kwa kigezo kimoja tangu lin?
Vip kuhusu

Ram
Gpu
Internal memory
Soc
Design
Display
Betwork
Battery
Hata gsmarena hawasemi kigezo kimoja kama unavosema wewe.
Anyway kama ulivyosem hutak mabishano basi mjadala na uishie hapa.

Hata NECTA hawamtangazi TO kwa kuangalia alieongoza somo moja , wataangalia mkali wa masomo yote. .
Ve a nyc day mkuu
 
Hii ikiingia kwenye soko lazima niitafute, kwanza kwa upande wa apple hii ndo naweza kusema budget iphone ever ikiwa na sifa za high end phone specs

cheki simu za xiaomi redmi 3 na redmi note 3 zote zina battery life nzuri sana na bei ni affordable kuanzia dola 100 tu.

pia hiki kisimu kinakaa na chaji kushinda simu kama iphone 6 na 6s sababu kakioo kake nako kadogo inamaana hakili umeme mwingi
 
walivyotoa iphone 6 wateja wengi walilalamika wakitaka design ya iPhone 5s iendelee na kama ujuavyo sio kila mtu anapenda simu kubwa..kwa hiyo apple wamesikiliza wateja wao nikiwamo mimi.
Kweli nakumbuka siku ile walivyokupigia simu.
 
Kweli nakumbuka siku ile walivyokupigia simu.

sio lazima upigiwe simu mkuu naamini malalamiko ya wateja wengi yamesikilizwa na mimi nikiwa mmoja wa hao wateja.
kama unatumia iphone kuna kitu kinaitwa Apple support communities ukiingia humo utanielewa nilichomaanisha.
 
Bigger ram or bigger megapixels or bigger screen resolution don't make one phone better than the other.
Kama ingekuwa hivyo basi apple wangebaki nyuma because kuna simu nyingi zenye ram kubwa, au mp kubwa.
Mnajua ni kwa nini apple products zipo better and kwa nini apple is the most successful company in history??
 
Apple wapo bora kwa sababu they are more concerned about the user experience. They make products that are more enjoyable to use and feel better in the hands.
Though they buy components like flash storage from other companies but apple invest a lot of resources:time and money to develop their own components which are more compatible. Unlike other companies who buy different parts and just put them together . Ndio maana iphone ya 2gb ram is still better than simu nyingine yoyote yenye 8gb ram.
Company zote ambazo zipo Kwenye competition wanafahamu Hilo na wanatambua kuwa apple products zipo way ahead of their products: no tablet compares to the iPad, no smart phone compares to the iphone,iPod,i watch......
Company zingine wao ni kuiga vitu ambavyo apple wanafanya ndio maana samsung mpya zinafanana na iphone. Ila still they can't catch up coz they don't understand what apple are doing.
Apple are in a league of their own.
 
Dah... Hii si recycling kabisa , yani wamechukua IPhone 5s na kuweka Soc na camera tofauti.. No innovation.. Lakini ZITANUNULIA kwa wingi... kweli SHIKAMOO APPLE
 
Itafute habar juu ya nokia,bbc swahili fb page
-kwanza bbc
-halafu bbc swahili
-halafu facebook

asilimia 99 huyo jamaa nae kaskia skia tu kacopy kapaste.

nimekupa links za uhakika kama google finance tafuta link yako yoyote mapato utapata hayo hayo. kampuni iliokufa haiwezi kununua kampuni mwenzake kwa dola bilioni 18,
 
Apple wapo bora kwa sababu they are more concerned about the user experience. They make products that are more enjoyable to use and feel better in the hands.
Though they buy components like flash storage from other companies but apple invest a lot of resources:time and money to develop their own components which are more compatible. Unlike other companies who buy different parts and just put them together . Ndio maana iphone ya 2gb ram is still better than simu nyingine yoyote yenye 8gb ram.
Company zote ambazo zipo Kwenye competition wanafahamu Hilo na wanatambua kuwa apple products zipo way ahead of their products: no tablet compares to the iPad, no smart phone compares to the iphone,iPod,i watch......
Company zingine wao ni kuiga vitu ambavyo apple wanafanya ndio maana samsung mpya zinafanana na iphone. Ila still they can't catch up coz they don't understand what apple are doing.
Apple are in a league of their own.
usitaje neno kuiga kwa favour ya apple. hakujawahi tokea kampuni duniani inayocopy technology za wenzake kushinda apple.

kuanzia computer zao za mac ambazo ifixit wamezifingua hazina hata technology moja iliogunduliwa na apple.

kwenye simu kitu pekee ambacho apple wanaweza jivunia ni soc ya A9 na hiyo nayo wameshindwa kesi juzi wamecopy technology ya chuo fulani huko marekani

Apple faces damages bill after jury finds iPhone and iPad chip violates processor patent

sijaanza Nokia na Erricson ambao wanajichotea mabilioni ya hela toka Apple baada ya hili tunda kugundulika linacopy technology za wenzie
 
Hapa tulikuwa tunajadili ubora wa simu. Kwa maoni yako simu ipi u can compare to apple?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom