Apple wamezindua simu mpya ya iPhone SE

Apple wamezindua simu mpya ya iPhone SE

Tatizo ni specifications za juu au tatizo ni quality?
Lets say unaweza kufananisha front camera ya techno 8MP na front camera ya iphone6 yenye 1.2 mp???
Kuna simu zenye spec za juu na ni za high quality kabisa mkuu, ambazo zina cost less than iphones, mfano:
>OnePlus
>Asus, ZenFone2( hii camera yake ina feature ambayo iphone6 na Galaxy s6 hawana)
>Alcatel-Lucent, OneTouch Idol3
Nubia Z9 , n.k

Nikushauri tu mkuu usingangane na feature moja tu ya camera. Take your time angalia spec za hizo android devices hapo juu ndio utaelewa nachokisema.
 
Hahaha Apple for classic people..watu wengi hawajui kwa nini battery za smartphone zinawahi kudrain, katika teknolojia as long as unaongeza capacity ya processor+added services basi ndio consumption ya power inazidi kuongezeka, teknolojia inayotumika kutengeneza battery kwa muda huu hairuhusu kutengeneza battery ambayo itakuwa slim na itakuwa na supply power kubwa. Tatizo linakuja kwamba wateja wanataka simu zizidi kuwa slim na pana wakati teknolojia hairuhusu kutengeneza battery slim zenye ubora kwa ajili ya kufit simu hizo, kinachotokea ni kwamba battery zinawahi kudrain kwenye smartphone nyingi.

Kuhusu iPhone SE naona Apple wako right. Apple wanatoa simu mpya kutokana na wateja wake wanataka nini within their limitations na sio competitor wake ametoa nini. iPhone 6S and 6S + at the moment ipo kwenye peak, and studies show that iPhone users wengi wanaprefer 4.7" display, so kitu alichofanya Apple ni kuimprove hiyo Simu kwa kufanya iwe strong than ever happened in the universe even to extraterrestrial beings.
 
Extraterrestrial tena mkuu!!
 
Ni li stack kwenye 5 kwasababu nilukuwa sipendi ukubwa wa hizo generation mpya

Nashukuru wameileta hio hope customers tumesikilizwa vizuri
 
Mimi mwanasiasa simu za kudukuana hat a siziwezi.

Nasubiria simu zenye night vision ndio ninunue.
 
Hapa tulikuwa tunajadili ubora wa simu. Kwa maoni yako simu ipi u can compare to apple?
1.Sony Xperia Z5 Premium
2.Samsung Galaxy S6/edge/edge +
3.Lg g4
4.Nexus 6P
5.Samsung Galaxy Note 5

Just to mention a few, according to DxOmark simu tajwa hapo juu kwanza zina camera bora kiliko which ilikuwa ya mwisho iPhone 6s /6s plus.

Samsung galaxy s6 ina the best screen hands down according to all reviewers, plus best design in 2015.

Sasa tukiingia kwenye innovation za simu tajwa hapo juu mfano Fast charging, 4k display, 2k display, edge screen, best finger print scanner (nexus 6p), Ip certification, etc.

iPhone ilikuwa zamani ndio premium kwa sasa wana lag behind.. Sema Kudos Ios sibishi ni nzuri but in terms of an all round phone iPhones aren't that great.
 
Dah... Hii si recycling kabisa , yani wamechukua IPhone 5s na kuweka Soc na camera tofauti.. No innovation.. Lakini ZITANUNULIA kwa wingi... kweli SHIKAMOO APPLE

thumb up! Wanachokijua Apple ni marketing.
 
kwa
Hahaha Apple for classic people..watu wengi hawajui kwa nini battery za smartphone zinawahi kudrain, katika teknolojia as long as unaongeza capacity ya processor+added services basi ndio consumption ya power inazidi kuongezeka, teknolojia inayotumika kutengeneza battery kwa muda huu hairuhusu kutengeneza battery ambayo itakuwa slim na itakuwa na supply power kubwa. Tatizo linakuja kwamba wateja wanataka simu zizidi kuwa slim na pana wakati teknolojia hairuhusu kutengeneza battery slim zenye ubora kwa ajili ya kufit simu hizo, kinachotokea ni kwamba battery zinawahi kudrain kwenye smartphone nyingi.

Kuhusu iPhone SE naona Apple wako right. Apple wanatoa simu mpya kutokana na wateja wake wanataka nini within their limitations na sio competitor wake ametoa nini. iPhone 6S and 6S + at the moment ipo kwenye peak, and studies show that iPhone users wengi wanaprefer 4.7" display, so kitu alichofanya Apple ni kuimprove hiyo Simu kwa kufanya iwe strong than ever happened in the universe even to extraterrestrial beings.

Kwa SE apple kawa
Tumia iphone halaf utaona.... kwa hyo 1.2Mp yao hata wale wenye front camera ya 8mp hawamfikii kwa quality ya pcha... tumia utaona

kwa upande wa Camera iPhone hazifanyi vzuri!
 
-kwanza bbc
-halafu bbc swahili
-halafu facebook

asilimia 99 huyo jamaa nae kaskia skia tu kacopy kapaste.

nimekupa links za uhakika kama google finance tafuta link yako yoyote mapato utapata hayo hayo. kampuni iliokufa haiwezi kununua kampuni mwenzake kwa dola bilioni 18,
Ukurasa wa bbc swahili on fb page,hivi leo kwenye soko la simu za mkononi NOKIA unaiweka kundi gani?nokipa atapambana na nani?nokia ana ubunifu gani?Finland wenyewe serikali yao inakiri kuwa kwa sasa soko la simu limeifanya Nokia iyumbe.Mi mwenyewe nilikua mteja wa Nokia ila hawez kukimbizana na HTc wala Sony,huko kwenye apple na Samsung ndo usiseme.Na Nokia ndo ilipaswa kuwa juu ya hao kwa unguli wake sokoni,ila wamekiri kuwa wamepotea kwa sasa.Kuchangia pato la nchi si ajabu,mbona hata hapa Bongo Dhahabu inachangia pato na bado kwenye soko la dunia haina soko
 
Kuna point moja sana nitakupa ila sitaki kubishana na wewe, kama utanielewa sawa kama hutakubaliana na mimi basi..
Techno phantom front camera ina 8MP na iphone 6front camera 1.2MP,
Kwenye uhalisia na kwa maoni ya watumiaji simu gani kati ya hizo ina picha zenye quality nzuri??
Iphone
 
Hawa jamaa kwanini tusimu twao twingi tunafanana?
 
Hapa tulikuwa tunajadili ubora wa simu. Kwa maoni yako simu ipi u can compare to apple?
ina depend unataka kufanya nini mfano Adreno 530 ya snapdragon 820 ndio best gpu kwenye market kwa sasa hivyo kama mtu anapenda kucheza games au kuangalia video za kisasa (x265 10bit), kuconvert video, launchers na customise simu nk atachagua simu yenye snapdragon 820 kama lg g5, xiaomi mi5 nk. ili aweze kuenjoy
79353.png

79355.png

wengine wanapenda camera, wengine wanataka simu zinazokaa na chaji nk

sasa hivi kuna vitu vimeingia kama hujavisikia vinaitwa virtual reality (VR), hii technology hutumia simu yako na headset unayovaa kwenye macho, ili utumie kioo cha simu kinabidi kiwe na resolution kubwa sababu distance baina ya jicho na display inakuwa ndogo sana. kwa resolution ya display za iphone ni ndoto kutumia VR ila kwa wanaotumia simu kama xperia z5 premium yenye 4k na simu za QHD wanaenjoy hivi vitu
gear-vr.jpg

ni matumizi yako tu kaka, kwenye huu ulimwengu wa technology hakuna simu bora kumshinda mwenzake
 
And this is what i was telling Kiranga
Sijawahi kununua simu kwa sababu ya camera.

Sina hobby ya kupiga picha kwa simu, na nikitaka kupiga picha natumia Sony a6300.

Tumeongelea vitu vingine, hatujaongelea camera.

Vitu viwili vikubwa ambavyo vinanifanya nisinunue simu ya Apple ni.

1. Kutokuwa na removable batteries.
2. Kutokuwa na SD card slot.

Kutokuwa au kuwa na hivyo viwili kunakuwaje suala la quality ya specification?

How is that equal to less or more megapixels?

Viwili vyote hivi ni sehemu ya idea kubwa ya closed systems.

Katika computer systems closed systems ni systems za lusers, power users always wanataka kuwa na open systems wanazoweza kuzi customize, tinkering around etc.

Sasa mimi najihesabu power user, naweza kukaa na rafiki zangu wa SETI (Search for Extra Terrestrial Intelligence) wakasema tunataka kuongeza processing power ya Aracebo dishes kwa ku borrow cycles kwenye simu zenu, kuna ki chip tunataka kuweka. Nikiwa na open system nitafungua na kuweka, nikiwa na closed aystem nitawekaje?

Ukisoma biography ya Steve Jobs (au kuangalia movie iliyokuwa based kwenye hiyo biography) na kujua sababu zilizomfanya aifanye Apple iwe closed system unnecessarily utaona how insulting the entire idea is.
 
Ukurasa wa bbc swahili on fb page,hivi leo kwenye soko la simu za mkononi NOKIA unaiweka kundi gani?nokipa atapambana na nani?nokia ana ubunifu gani?Finland wenyewe serikali yao inakiri kuwa kwa sasa soko la simu limeifanya Nokia iyumbe.Mi mwenyewe nilikua mteja wa Nokia ila hawez kukimbizana na HTc wala Sony,huko kwenye apple na Samsung ndo usiseme.Na Nokia ndo ilipaswa kuwa juu ya hao kwa unguli wake sokoni,ila wamekiri kuwa wamepotea kwa sasa.Kuchangia pato la nchi si ajabu,mbona hata hapa Bongo Dhahabu inachangia pato na bado kwenye soko la dunia haina soko
nokia kaacha kutengeneza simu toka 2013 hukusema unazungumzia nini, na kuhusu ubunifu wa nokia hauna mpinzani, leo hii ni 2016 lakini still hakuna simu duniani inayotengenezeka bila kutumia technology zake. Tofauti na makampuni uliyoyataja hapo juu Nokia yupo level nyengine linapokuja suala la kugundua vitu
-movie moja ya HD ni sawa sawa na internal memory ya simu bila kampuni kama Nokia ambazo zinatoa technology zake zikafanya compression kama x264 na x265 leo hii ungedownload movie gb20? au video fupi za dakika kadhaa kwa mamia ya mb?
-unaona raha kutumia internet za kina Tigo na Voda ila kuna mtu aligundua hio internet na akahangaika huko nyuma. Nokia na Ericson wao wawili kwa asilimia kubwa wamechangia hili la sivyo ungekuwa na cable internet yako ukitaka kucheki msg whatsapp hadi uchomeke waya
 
Sasa ameacha kutengeneza sim 2013 wenzie kila siku wanatoa simu huoni kama nokia ameshapotezwa?
 
Sasa ameacha kutengeneza sim 2013 wenzie kila siku wanatoa simu huoni kama nokia ameshapotezwa?
kaacha sababu kauza department yake ya simu. lakini still ana tech zake za simu na ip na anaendelea kubaki kampuni yenye technology nyingi zaidi za simu.

na kama nilivyokwambia hapo juu simu haitengenezeki bila kutumia technology zake au kwa lugha nyengine hujawahi kumiliki simu isio tumia technology ya nokia, au kwa lugha nyengine hujawahi nunua simu hela yako kiasi kadhaa isiende kwa nokia unless unatumia manufacture ambae ni mwizi asielipia tech za watu.

kama still dunia inategemea technology za nokia huwezi sema hii kampuni imeachwa bali imebadilisha tu mfumo wa biashara, kuna kampuni nyingi dunia kama ericson, sharp, toshiba, zeis, nk hawatengenezi simu zao ila wanapata hela za kutosha tu kwenye soko la simu na hao unaoona wanatengeneza simu si watengeneza vifaa vya simu wao wanaunga unga tu.
 
Naweza rusha apps kutoka wp kwenda android ? Kama ipo Ni appps gani inahusika wadau .je Kuna application itakayoniwezesha kusikiliza redio off line kwa window Na android Kama zipo Ni zip maaana baadaya kuiroot android yangu nilifuta kifailcha redio. Sasa nafanyaje.niweze sikiliza ? Mkwawa msaada kwa hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom