Apple Iphone 12 is finally here

Wewe jamaa bana! 😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾 nikiangalia profile picture yako na nikisoma hiki ulichokiandika hapa. 🙌🏾😂 kwa kweli unafaa kuwa Hakimu Mfawidhi 😂
 
Basi mie nikajua hutaki maendeleo ya vitu
Maendeleo ya vitu ndo huleta maendelo ya Watu... Sasa mimi mkulima bila barabara ntasafirishaje mazao yangu... Nikishauza mazao ndo nanunua iPhone ... maendeleo ya vitu
....japo sidhani Kama ntakuja nunua iPhone LOOOH... But never say never
 
Karibu tupite kwny flyover na baadae kwny sgr.
 
Lazima niinunue hii kitu, maana wamerudi kwenye muundo ninaoupenda, sasa ukiwa na iphone 12 utajulikana siyo kama version zingine zinafanana na samsung, hakika nimefurahi sana tena sana kama ule ushindi wa Dkt Magufuli utakavyokuwa hapo 28.10.2020
Usikute bete 2300 AmH maana enz za kutembea na powerbank zimepita
 
Oooh Asante mkuu ila kwa opinions za watu online naona Kama apple this time wamechemsha
Siku nyingi sana nimewasoma maana hizi iPhone 12 ilibidi zitoke mapema ila corona imezichelewesha. Hawa iPhone wameyumba ila ndo hivo tiyari wana wateja wa kudumu
 
Muongo! Muongo mkubwa wewe.
 
hutaki kumfulia boyfriend wako nguo... Eti kisa hamjafunga ndoa!
Una akili timamu?
 
Hata hivyo kupanga ni kuchagua namiliki PC ya apple iMac pro lakini simu ninayotumia ni tecno k7 chaji ikiwi ni kichwa cha Samsung na yuesibii
ya dukani
 
Ooh that is a nice analysis!! Ukishauza mazao yako unitafute nikuongezee fedha ili uimiliki iPhone, angalau hata iphone10 tu,.. Hiyo iphone12 tutafika wakati Apple wakitoa iphone14.
Like you said, Vitu haviepukiki katika maendeleo, kwani Fedha, Mazao, Nyumba, Simu n.k vyote hivyo ni Vitu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…