Apple Iphone 12 is finally here


12 mini siyo kasimu kadogo wala ladha yake haifanani na 5 . Ni vitu viwili tofauti tena kwa kila kitu. Jina mini lisikudanganye
 
12 mini siyo kasimu kadogo wala ladha yake haifanani na 5 . Ni vitu viwili tofauti tena kwa kila kitu. Jina mini lisikudanganye
mkuu tuliza akili basi,mbona unaendelea kupuyanga!!!!

hata wao kuamua kuiita min wanamaanisha,simu ndogo kiumbo sio kiuwezo.au zimelingana zote kwa mujibu wa google yako??

kwani hata ilipotoka SE 2,ulitaka ifanane mpaka ram ndio ukubali kwamba hii ni SE???
 

Mkuu 12 mini kiumbo ni kubwa sana haifanani na 5 . Ndo maana nikakwambia jina mini linakudanganya . 12 mini imeizidi iphone 6 kiukubwa sasa unailinganishaje na 5 ? Acha ubishi mkuu google kwanza utaona kwamba ni makosa kuitaja 5 na 12 mini kwenye suala lolote including umbo. Huwezi pata ladha ya 5 kwenye 12 mini mkuu .
 
Hawa jamaa bhana camera zao huwa wanafanyaje? utakuta 12mp camera kali kuliko 108mp za simu zingne naelewa somo la mega pixels...ila wao huwa wanafabyaje nauliza
Usijidanganye mkuu fanya uchunguzi wa 12mp na 108 mp ndio unajua
 
hiyo simu kwa screen ya 5.4 kiumbo haitaizidi iphone 6,maana itakuwa ndogo kiumbo kuliko iphone x yenye 5.8.ambayo kimsingi huwa inazidi urefu kidogo ipjone 6.

nimesema hivi,iphone 12 zote mwaka huu zimekuwa designed kifuata structure ya iphone 5 series,nikimaanisha 12,12pro na 12 pro max ni simu kubwa kiumbo zaidi.

simu itakayokaribia kumatch zaidi iphone 5 kimuonekano ni 12 mini maana ina umbo dogo zaidi.mkuu sijui una tatizo la kuelewa au umemua kutokuelewa!!!!!
 
Mkuu nataka ninunue s9 plus nifahamishe jinsi yakuepuka refurb
Kuna possibility kubwa kupata refurb ukinunua hapa kwetu ama chanell za kichina kama Aliexpress, Gearbest etc.

Ngumu kuijua simu refurbished mpaka uishike mkononi, ukiwa nayo mkononi unaweza angalia
1. Model yake kama ni simu ililokiwa na mitandao ya simu ya nje ama ni international version G960F ama G960F/DS ni international, zilizobakia sio za hapa kwetu. Na njia ya uhakika kujua model ya simu yako ni kuingia download mode.

2. Pia zipo apps nyingi zinazoangalia data za simu yako mfano ni mara ngapi headphone imechomekwa, mara ngapi charger imechomekwa etc mfano wa hizi apps ni kama samsung info. Hivyo mtu akikwambia brand new open box lakini ukicheki imeshakuwa charged mara 500 ujue hapo unapigwa mchana kweupe.
 
Nianza kutumia iPhone 2010 sikurudi nyuma na kuamini Android hakuna kitu. 2019 nililazimika kutumia android baada ya kung'ang'anizwa nimpe apple
. Tangu hapo nikaanza kuidharau apple baada ya kuitest ANDROID after 9 years.
 
Seems hizi aspect ratio mpya zinakuchanganya. Device za sasa zina vioo vikubwa kwenye maumbo madogo.

Iphone 12 mini
Urefu 131mm
Upana 64mm

Iphone 6
Urefu 138mm
Upana 67mm

Iphone 6 ni pana na ni ndefu sana compare na 12 mini.
 
Thanks sana
Wapi naweza agiza na nikapata ambayo siyo refub
 
shida ni kwamba hauko pure 5 maana una glass.ila wamejitahidi kuirudisha huku wakikimbizana na mahitaji ya sasa ya kioo kikubwa,wakaona walete na simu ndogo ambayo itakaribia zaidi ladha ile ile ya iphone 5,12 mini.

katakiwa kadogo kabisa.
Kabisa, hako ka-min ndo kenyewe sasa kwa watu tusiopenda sim kubwa.
 
Hii na iPhone 5 ndo the best looking iPhones ever...ukiachana na hilo li notch🤦🏽‍♂️
 
Mkuu kuna hili suala,Iphone ikiwa na charge 90℅ ukaiacha hata masaa mawili unakuta asilimia hizo hizo hazijapungua ila ni tofauti kwa Android,yenyewe ukiiacha hata kama huitumii utakuta charge imedrop....Hii hasa inasababishwa na nini kama unafaham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…