si ndio ana watena wenye akili hizo??Nimependa shape ya simu maana kwangu muundo wa iphone 5, 5s na 5se ndo the best haya mengine yalikuwa hayanivutii sasa ninaona wamerudisha muundo huo safi sana.
Ila kitakachomuua iPhone ni kufikiri anajua sana kuliko wateja kama kilichomuua Blackberry,
iPhone amekuwa na kiburi kiasi kwamba ni kama vile ana anatuambia hataki wateja wapya ndiyo maana anasema tayari wateja wana chaja za zamani haina haja ya kuship simu na chaja mpya.
ios kama ios platform yake iko safi sana stable pia ila apple naona wameanza kuwa na ubabe wa kimonopolysi ndio ana watena wenye akili hizo??
mtu anakwambia kama umehamia IOS na unataka kuiona ikiwa kama android unakosea,yaani anaamua kuitetea na kuisema apple.
shauri yao,kwanza huawei aliishaanza kuleta upinzani usio wa kawaida kwenye kila secta.simu ilikiwa na speed sio ya kawaida.ios kama ios platform yake iko safi sana stable pia ila apple naona wameanza kuwa na ubabe wa kimonopoly
Nadhani bwana jobs angekuwepo asingeruhusu ushenzi huu,shauri yao,kwanza huawei aliishaanza kuleta upinzani usio wa kawaida kwenye kila secta.simu ilikiwa na speed sio ya kawaida.
wana bahati ban iliwaokoa na ushindani ambao walikuwa wameanza kuonyeshwa.
lazima umpe mteja kitu ambacho hawezi kipata kwingine.Nadhani bwana jobs angekuwepo asingeruhusu ushenzi huu,
Kiukweli huo muonekano wa 5s na SE huwa naupenda sana, hapa kwenye muonekano nawapongezaLazima niinunue hii kitu, maana wamerudi kwenye muundo ninaoupenda, sasa ukiwa na iphone 12 utajulikana siyo kama version zingine zinafanana na samsung, hakika nimefurahi sana tena sana kama ule ushindi wa Dkt Magufuli utakavyokuwa hapo 28.10.2020
😂😂aiseeMimi nadunda na infinix hot 8 lite karibia mwaka Sasa. Nilinunua kwa 220,000 Mbeya.
Sioni anachonizidi mwenye i4n daaadeq
shida ni kwamba hauko pure 5 maana una glass.ila wamejitahidi kuirudisha huku wakikimbizana na mahitaji ya sasa ya kioo kikubwa,wakaona walete na simu ndogo ambayo itakaribia zaidi ladha ile ile ya iphone 5,12 mini.Kiukweli huo muonekano wa 5s na SE huwa naupenda sana, hapa kwenye muonekano nawapongeza
Naamini wangekuwa wanagawa bure Iphone 12 na hiyo infinix yake sidhani kama angekubali kuchukua infinixwacha kujifariji bana.
usiseme hamma anchokuzidi,sema huna wewe huoni sababu ya kununua simu hiyo.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
hata 11 pro max ilikuwa 3.4
now ni 2.6 kabla ya 12 haijajngia sokoni.
ni mambo ya kawaida,tena apple kaingia soko la midd range ndio kabisaa,tegemea maajabu zaidi.
kumbe uko kwa ajiri ya kubishana hapa!!!2.6m ni ya 64gb usibishane kama huna facts
Naamini wangekuwa wanagawa bure Iphone 12 na hiyo infinix yake sidhani kama angekubali kuchukua infinix
masikini tuna tabu sana kujifanya vitu vizuri ni anasa
Masikhara hayo....MP sio ubora wa picha Bali inaongeza details hivyo iPhone amewekeza nguvu zaidi kwenye kutengeneza software za kuprocess picha vizuri.Na unapaswa ujue kwamba jinsi MP zinavyozidi kuwa kubwa software inazid kuzidiwa kwenye kuprocess picha ,Ndo maana ukiangalia simu za xiaomi zina Megapixels nyingi kuliko iPhone lakini picha zake hazina ubora lakini zina details zakutosha kuliko iPhone
kumbe uko kwa ajiri ya kubishana hapa!!!
haya nikuulize,hiyo ni 11,11 pro au 11 pro max???
maana inaonekana hata hujui naongelea kitu gani,12 pro max 512 inakwenda $1450,unajua baada ya mwaka itakuwa imeshuka kiasi gani!!!!
kujikamata ndio kufanyaje wewe kijana,nimekutajia bei tajwa ya iphone 12 gb 512 ili ulinganishe na iphone 11 pro max kwa saa sokoni.au hujaelewa??Naona atleast umeanza kujikamata sasa hio $1450 ni price ndogo?? Na ukizingatia promax ina mwaka tyr. Kitakacho fanya 11 promax ishuke ni demand kuwa kubwa kwenye iphone 12 ila trust me haiwez shuka bei kama unavofikir wewe iphone wako consistent sana kwe market.
Hawa jamaa hawajui wanasimamia nini na wapi, suala la kushuka bei na depreciation kwa ujumla linazikumba sana simu zingine na si issue ya ku discuss inajulikana na kila mtu, Apple wako vizuri kwenye hili na ndo wanaongoza kwa depreciation ndogo tena both quality na price. Android zinashuka sana bei na hawa vijana wanajua sema basi tu ilimradi thread ziwe nyingi.Naona atleast umeanza kujikamata sasa hio $1450 ni price ndogo?? Na ukizingatia promax ina mwaka tyr. Kitakacho fanya 11 promax ishuke ni demand kuwa kubwa kwenye iphone 12 ila trust me haiwez shuka bei kama unavofikir wewe iphone wako consistent sana kwe market.
mkuu 12 mini siyo simu ndogo na wala haikaribiani na iphone 5 kama unavyosema , 12 mini haina tofauti sana na 6 plus kwa ukubwa kwa hiyo usiilinganishe na iphone 5. Sometimes fanya ku google kabla ya kuja na post itasaidia sana mkuushida ni kwamba hauko pure 5 maana una glass.ila wamejitahidi kuirudisha huku wakikimbizana na mahitaji ya sasa ya kioo kikubwa,wakaona walete na simu ndogo ambayo itakaribia zaidi ladha ile ile ya iphone 5,12 mini.
katakiwa kadogo kabisa.
mimi nakushauri uwe unanisoma kwa utulivu.mkuu 12 mini siyo simu ndogo na wala haikaribiani na iphone 5 kama unavyosema , 12 mini haina tofauti sana na 6 plus kwa ukubwa kwa hiyo usiilinganishe na iphone 5. Sometimes fanya ku google kabla ya kuja na post itasaidia sana mkuu
Mkuu nataka ninunue s9 plus nifahamishe jinsi yakuepuka refurb1. S20 haijawahi kuwa juu ya pro max usichanganye s20 na s20 ultra.
2. Simu za samsung zinazoshuka thamani sana ni refurb ingia amazon sasa hivi s20 ultra inatembea zaidi ya dola 1200 ambayo ni 3m+
Naamini wangekuwa wanagawa bure Iphone 12 na hiyo infinix yake sidhani kama angekubali kuchukua infinix
masikini tuna tabu sana kujifanya vitu vizuri ni anasa