Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,305
- 8,655
Mkuu naomba comment yako kuhusu Hp prodesk G2 I5-8500Mkuu kuna sababu kwanini windows ipo sana Maofisini....
Mkuu naomba comment yako kuhusu Hp prodesk G2 I5-8500Mkuu kuna sababu kwanini windows ipo sana Maofisini....
I5 8th gen machine nzuri mkuu, itafanya shughuli zote mpaka kubwa.Mkuu naomba comment yako kuhusu Hp prodesk G2 I5-8500
Nafikiri ni 65w bossI5 8th gen machine nzuri mkuu, itafanya shughuli zote mpaka kubwa.
Angalia tu na size ya powersupply kwa ajili ya upgrades za baadae.
Nishauri na aina ya Monitor ya Kuchukua Chief kwa Budget ya 300KI5 8th gen machine nzuri mkuu, itafanya shughuli zote mpaka kubwa.
Angalia tu na size ya powersupply kwa ajili ya upgrades za baadae.
Shida ya hizi mashine ni zikicorrupt au zikiharibika zikihitaji matengenezo. Legacy support ya apps na hardware nayo ni muziki mwingine.Nina ka steshenari kangu na nina tumia iMac
Kazi kubwa ya iMac kwenye kasteshenari kangu ni kuandika na kuprint
Nimeiunga na printer na scanner
Sijawahi kupata shida yoyote tajwa hapo juu zaidi ya changamoto ya matumizi pale unapopata mfanyakazi mpya.
Wengi hawawezi kutumia iMac
Inabidi umpe darasa kidogo la namna ya kutumia
65W ni cpu, ulaji umeme wa cpu upo rating hivyo, power supply inakua nyuma ya pc. Hii ina variant 2 moja ina 180w na nyengine 310W, hio ya 310W itakuwa future proof zaidiNafikiri ni 65w boss
Kibongo bongo ngumu kupata mpya, ila monitor most of time hazisumbui.Nishauri na aina ya Monitor ya Kuchukua Chief kwa Budget ya 300K