- Feb 10, 2006
- 4,542
- 16,811
- Thread starter
- #41
Kuhusu notifications - tumedokezwa changamoto iliyopo, inafanyiwa kazi
Hiki ndo nilikuwa nasubiri... Ngoja ni update tuoneKwa wale wapigania haki, sasa unaweza kuwasilisha KERO, DOKEZO au HOJA na kufuatilia uwajibikaji wake. Aidha, imekuwa rahisi kuona submissions zote kutoka kwa wadau kwenye feed moja.
hii logo haina mpinzan asee. Boss Max fanya uirudishe.Tunashukuru mkuu ila logo yetu ya zamani ilikuwa nzuri sana hii ya sasa hata nikiangalia mara mbili tatu sielewi ni kitu gani.
Tunaomba mturudishie ile combined JF logo, kama hamtojali.
Maxence Melo
Logo hii hii iliyopo inafaa sana wafanyie design mzuri tu ila imekaa unyama sanahii logo haina mpinzan asee. Boss Max fanya uirudishe.
Wakuu,
Nachukua fursa hii kuwafahamisha kuhusu ujio wa App Mpya ya JamiiForums!
Hii sio update ya kawaida, bali tumeisuka upya kuanzia chini. Haya ni baadhi ya mambo mapya (features):
Brand-New Interface (Muonekano Mpya kabisa) - Tume-design app iwe cleaner, faster, na more readable. Tumezingatia suala la mobile-first experience. Kusoma nyuzi (threads) sasa hivi ni rahisi na haichoshi macho. Ukiitumia utaelewa naongelea nini.
View attachment 3647685
View attachment 3647686
View attachment 3647688
JamiiCheck Imerahisishwa - Tumeongeza sehemu maalum (dedicated place) kwa ajili ya mada zote zilizofanyiwa fact-checking. Sasa itakuwa rahisi sana kuziona taarifa zilizochakatwa JamiiCheck.
FichuaUovu Katika Feed Moja - Kwa wale wapigania haki, sasa unaweza kuwasilisha KERO, DOKEZO au HOJA na kufuatilia uwajibikaji wake. Aidha, imekuwa rahisi kuona submissions zote kutoka kwa wadau kwenye feed moja.
Switch Regions (Chagua Nchi Yako)
JamiiForums inakua, hivyo kila tutakapokuwa tunatoa huduma patahitaji kuhudumiwa bila kuingiliana! Sasa unaweza kuchagua nchi yako (Tanzania, Kenya, Rwanda, Uganda, n.k.) na kuona trending discussions zilizo karibu na wewe. Tunalenga kurahisisha mijadala ya eneo flani kujadiliwa kwa lugha wanayotaka bila kuingiliana.
Smoother Threads - Kwenye nyuzi ndefu (huge threads), sasa unaweza ku-jump kwenda kwenye post ya kwanza, ya mwisho, au pale ulipoishia kusoma (last-read post) kwa click moja tu. Pia, replies zitakuwa zina-load automatic kadri unavyo-scroll chini (infinite scroll). Mfumo wa replies umebadilishwa.
Composer Mpya (Eneo la Uandishi limeboreshwa) - Sehemu ya kuandika mada au comments imesukwa upya. Tumeleta rich text editor yenye BBCode inayoendana na App. Ku-format maandishi yako, ku-upload picha (images), na kuweka files sasa ni seamless kwa sasa.
App tayari ipo hewani. Fanyeni ku-update au ku-download, kisha mtupatie feedback. Maoni yenu ni muhimu sana ili tuendelee kuiboresha zaidi.
MSISITIZO: Feedback itasaidia kuondoa kasoro zitakazoianishwa na kuiboresha zaidi App ili iweze kurahisisha upatikanaji na matumizi ya JamiiForums.
Ibaki kama ilivyoNje ya mada: Fanyieni kazi kitufe ya Ignore, kipate nguvu zaidi.
Mtu asikutag, usione comments wala usimuone kwenye uzi.
Ignore/blocking ipo kwa ajili ya kulinda faragha ya pande mbili. Kumblock mtu ni kumheshimu.
Hiyo logo nzuri sana nilikaribia kushona kanzu afu niiattach mgongoni.hii logo haina mpinzan asee. Boss Max fanya uirudishe.
Congratulations and long life jamii forumsWakuu,