App gani nzuri kwa sms kwako?

Customizing ni kubwa,kusend sms ndefu bila kua converted to mms,ila ninayoipenda mim kweny textra ni ile feature ya sending delay..hii feature makin sana..niliitafuta baada ya kutoa boko siku moja..

Hapo chini ni screenshot jinsi ya sending delay ilivyo,huo mstar mpana unatembea kutoka kwanzo hadi mwisho kisha sms inajituma..huo mstar unatembea kutokana ma delay second ulizo set ww mwenyew,so ukitoa boko ukatuma sms kwa bahat mbaya basi unaweza ku cansel kwa kutumia hiko ki X huko mwishon...

Lakin pia kama hutak ichelewe basi we unaclick tu hyo icon ya send na itatumwa hapo hapo bila kungoja zile delay second hapa incase unajua hujakosea kutuma hiyo sms..

Yalinikuta ndio mana nikaisaka hii feature na sasa nimeipata kweny textra pro

Attachment inagoma inaniambia need valid post ID sjui..ikikubali nitaweka hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Huawei nayotumia ipo kwenye settings za sms, huitaji app... Sasa sijui kama ni kwa aina ya cm nayotumia au ni EMUI version...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nishawai kutumia app nyingi ila hii nayotumia sasa nimeielewa aisee siiachi hata kwa dawa link hii waweza khidownload ambazo nishawai tumia ni mood messenger, secure sms nk ila hii app nayotunia sasa ni kitimbi inaitwa messenger link hii hapa, ina sehem ya kuficha sms za watu ambao hutak zionekane hata kama amekutumia inakuja na ili kuisoma lazima ikudai password, thems, nk

Recommend a greaaaaat app to you, it's easier and safer. Try to let it replace the old sms messages: Privacy Messenger - Private SMS messages, Call app - Apps on Google Play

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1334433

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu zinatumia data?

Sorry zinatumia mb?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja watakujibu wengine mkuu.. mim natukia textra haina hyo feature unayosema

Sent using Jamii Forums mobile app
Textra binafsi ndio kimbilio langu kila mara nikihitaji app ya sms. Japo ina features chache sana halafu ningumu kuzipata kwenye app zingine mfano ile ya kuonesha sms imetumwa muda gani na imekufikia muda gani.
Ingawa mood ipo vema zaidi lakini inaniboa mtandao ukiwa na weak signal sms zina fail sana. Halafu unakuta kumbe imeenda ila huku unapata error message.

Awali Gosms walikuwa moto wakaivuruga vuruga app walipunguza karibu 80% user huwezi kufanya customization nikaipotezea mazima.
 
Back
Top Bottom