App gani nzuri kwa sms kwako?

MC44

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
2,170
3,269
Nilikuwa natumia mood lkn inachelewa kufunguka inaweza kaa sek 5 hadi 10.
Nipo kwenye Textra ipo Fasta sana ila haina features nzuri kama mood.
Ipi nzuri kwako?

Mood niliipenda kwa haya.
-ina simple reply
-ina option ya call
- Ina onesha jina la namba
-ina option ya search
 
Back
Top Bottom